18/04/2023
ZEEKA UZEE MWEMA!!!
Umeshajipanga kuzeeka na kustaafu?
Ili uzeeke vizuri ni lazima utengeneze "Cash flow"..Tengeneza kipato huru endelevu ambacho kitakuingizia pesa kila wakati bila wewe kuwepo kazini, maana uzeeni nguvu za kazi hupungua.
Kipato huru endelevu kitakusaidia kuepuka kuwa Mzee msumbufu na kutamka laana kwa watoto kwa sababu hawakukumbuki. Jipange kuwa Mzee mwenye KUBARIKI.
Je unahitaji tukusaidie kupanga kustaafu kwako? Je unahitaji kutengeneza kipato huru endelevu?? Karibu ofisini.
Ofisi zetu zipoDar es Salaam:
- Makumbusho Noble Centre
- Kariakoo mtaa wa Uhuru
Kwa mawasiliano zaidi;
Call/Watsapp 0763116983
Follow: Instragram - @ hatuamahiri