22/05/2024
My baby...u kill it...๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Minaake...DARASA LA SABA ALIYEAMUA KUISHI MAISHA YA NDOTO ZAKE...amesema hata k**a Mungu hakunipa nafasi ya KUSOMA...ila opportunity zipo nitapambana...
Anasafiri dunia ...
Analipwa mshahara wa masome CEO...
Anajifunza kila siku akili yake inakuwa...
Kuna tofauti kubwa sanaa Kati ya.. EDUCATION NA SCHOOL ๐ซ...
๐ฒ๐บ๐๐๐โ๏ธ #