Fursa za mafanikio

Fursa za mafanikio Watu makini ambao , Wana Malengo, Wachapa Kazi, pia Wenye Mtazamo sahihi na Wale wanaotafuta Namna ya Kuishi Maisha Mazuri Baadae. KARIBU SANA

06/04/2026

Je unajua? Kwa mtaji mdogo tu unaweza kuanza biashara ya afya na lishe na:
✅ Kuongeza kipato chako
✅ Kujenga mtandao wa wateja
✅ Kusaidia watu kuboresha afya zao
✅ Lakini Pia Kusafiri Na Kufurahia na marafiki.

Hii sio kazi ya kubahatisha — ni mfumo unaofanya kazi.

📲 Nitumie neno "BIASHARA" kwenda WhatsApp namba 0629224104 nikupe maelezo.

04/04/2026

Vijana wengi wanataka mafanikio…
Lakini sasa hawataki kujifunza kile kinachozalisha mafanikio yao.

⚠️ Ukweli ni huu Biashara sio mtaji kwanza lazima uwe na UJUZI!

K**a unataka kuanza biashara ya kufanikiwa, hakikisha una ujuzi huu muhimu 👇

✅ 1. UWE NA UJUZI WA KUONGEA NA WATU (Communication Skills)

Nazani ushawai kusikia ya kwamba Biashara ni watu sasa Ukijua kuongea vizuri, kushawishi na kuelezea bidhaa au huduma yako tayari una silaha kubwa ya mafanikio yako.

✅ 2. UWE NA UJUZI WA KUUZA (Sales Skills)

Watu wengi wanaogopa kuuza…
Lakini ukweli ni kwamba:
👉 K**a huuzi, huna biashara.
Jifunze jinsi ya kumshawishi mteja mpaka aamue kununua bila kulazimishwa.

✅ 3. UJUZI WA UVUMILIVU NA NIDHAMU
Biashara haiji na mafanikio ya siku moja.
Kuna kupanda na kushuka.
👉 Wanaoshinda ni wale wanaoendelea hata wanapokataliwa.

✅ 4. UJUZI WA KUTUMIA MITANDAO (Online Skills)
Leo hii pesa iko mtandaoni!
Ukijua kutumia WhatsApp, Facebook, Instagram kuuza — unafungua mlango wa wateja wengi zaidi.

✅ 5. UJUZI WA KUJIFUNZA KILA SIKU
Dunia inabadilika…
Na biashara pia zinabadilika.
👉 Usipojifunza, utapitwa.

💡 HABARI NJEMA KWAKO…
Huhitaji kuwa na ujuzi wote tayari!
Unaweza kujiunga na mfumo sahihi unaokufundisha hatua kwa hatua 👇

🚀 Ninakupa fursa ya kuanza biashara na: ✔ Mafunzo ya kuuza
✔ Mbinu za kupata wateja
✔ Mwongozo wa hatua kwa hatua
✔ Na support ya karibu mpaka uanze kuona matokeo
━━
📩 Uko tayari kubadilisha maisha yako?
Niandikie neno “NATAKA BIASHARA” nikuelekeze jinsi ya kuanza leo.

📞 Call / WhatsApp: +255 629 224104.



31/03/2026
25/03/2026

Alipo kutana na fursa Hakusema wacha nijifikie alichukua maamuzi mapema..
K**a unataka mafanikio na bado haufanyi maamuzi ya kuanza mapema.
Itafikia muda unataka kuanza lakini inashindikana k**a una umri wa miaka 25 kwenda juu wewe unao uwezo wa kutimiza malengo mapema.
Karibu nikupe muongozo.
Whatsapp namba 0629224104

21/03/2026

Nawatakia EID MUBAARAK watu wangu makini MUNGU awe nanyi.

20/03/2026

Anza biashara ya kutimiza malengo yako Nichek nikupe muongozo Bure kabisa.
Whatsapp namba 0629224104

09/03/2026

Kamwe usiwe miongoni mwa watu wanaokataa Fursa ni Bora kuifanya kuliko kukataa..
━━
📩 K**a uko tayari kujifunza biashara inayokupa mwelekeo, andika “NIKO TAYARI” nikuonyeshe njia.

📞 Call / WhatsApp: +255 629 224104.



16/02/2026

Hii siku ilikuwa mara yangu ya kwanza kutoa pesa bank nikasema wacha nijaribu kwanza zitatoka 😂😂😂.
Aiseee Raha Kweli kweli.
━━
📩 K**a uko tayari kujifunza biashara inayokupa mwelekeo, andika “NIKO TAYARI” nikuonyeshe njia.

📞 Call / WhatsApp: +255 629 224104.



09/02/2026

Rafiki yangu Maisha yako yanabebwa na watu unaotumia nao muda wako.

K**a kila siku uko na marafiki:
● Wanaoua muda kwa porojo
● Wanaocheka ndoto zako
● Wanaosema “acha kujisumbua, maisha ni haya haya"

😎 Basi Tambua polepole wanaweza kuondoa ndoto za maisha yako hata k**a hawakuchukii.

➡️ Jiulize kwa uaminifu:
● Miaka 3 ijayo, hawa marafiki watanifikisha wapi?
● Nikipata shida leo, ni nani kati yao atanisaidia kweli?

Je, wao wana ndoto au wanaepuka kuwaza kuhusu kesho?

🔴 Marafiki wasio na mwelekeo hawakuui kwa kisu wanakuua kwa kicheko na kupoteza muda wako.

➡️ Dalili kuwa muda wako unapotea
● Unajua kila habari za watu, lakini hujui mpango wako wa maisha
● Unaanza vitu vingi lakini hukamilishi
● Una ndoto, lakini huchukui hatua
● Unajilaumu kimya kimya

Usipo zinduka maisha yatakutoroka taratibu.

━━
📩 K**a uko tayari kujifunza biashara inayokupa mwelekeo, andika “NIKO TAYARI” nikuonyeshe njia.

📞 Call / WhatsApp: +255 629 224104.



ContentMarketing

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255763193241

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa za mafanikio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fursa za mafanikio:

Share