Polivision Speakers

Polivision Speakers A polititian

21/10/2025

Tembea ndani ya mpango;
Andaa mpnago
Uweke mpamgo ndani ya Mpango mwingine mkuu
Tembea ndani ya Mpango mabao uko ndani ya mpnago.

20/10/2025

tumeumbwaaaa

20/10/2025
17/10/2025

Mama Samia Rais wa Kwanza Mwanamke! Msimuonee Donge!

Wajasiliamali
09/09/2022

Wajasiliamali

14/02/2020

*KUPANDA KWA BEI ZA MAZAO, UHABA WA MAGHALA NA MAISHA YA MKULIMA*

Bei za mazao k**a Nyanya na amahindi zimepanda Sana. Hili linaashiria kuwa wanunuzi wanaouwezo wa kununua (Purchasing power) inamaana bei inaweza kupana ikabaki juu bila kumuumiza mlaji.

Hapa swali ni bei ipi haimuumizi mlaji na hamuumizi mkulima?

Anayepaswa kupanga bei ni mkulima. Akishapanga bei hata k**a mahindi au nyanya vikiwa vingi, yeye asishushe bei. *Wateja wasiponunua aweke mazao yake kwenye maghala*.

Tunasisitiza
*Uza kutoka kwenye ghala, lima uweke Ghalani*

Imetolewa na *AGRICHAIN FARMERS*
Tunasisitiza

08/02/2020

K**a umetenga mtaji na unatafuta KAMPUNI ya KUKULIMIA kwa uhakika zaidi, Njoo tuzungumze. Pesa unaweka Bank K**a fixed deposit sisi tunalima kwa Invoice guarantee. Yaani Baada ya kulima ndo Pesa inalipwa.
WhatsApp

Address

Garden Avenue
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Polivision Speakers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Polivision Speakers:

Share