fursa na ajira

fursa na ajira Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from fursa na ajira, Business Center, l, Dar es Salaam.

Unaweza kutumia muda wako wa zaida na kutengeneza kipato kikubwa ambacho kinaweza kukupa faida nzuri.Haijalishi wewe ni ...
05/02/2024

Unaweza kutumia muda wako wa zaida na kutengeneza kipato kikubwa ambacho kinaweza kukupa faida nzuri.

Haijalishi wewe ni mwanafunzi 📚,Muhitimu🎓,Muajiriwa💼 au Mfanyabiashara unaweza kutenga Masaa yako zaidi (2 mpaka 4) kwa siku ukayatumia kujenga biashara kubwa ya kimataifa ambayo hautatumia muda mwingi au kumuajiri mtu na bado ukafikia mafanikio.

Tutakufundisha namna unaweza kutumia mitandao ya kijamii k**a facebook,instagram na nyingine) kupata masoko makubwa.

Hii FURSA ni ya kipekee mnoo,Mimi imenisaidia sana kujenga biashara na mafanikio.Hivyo naimani Mtu yoyote anaweza kupata vile vile.

K**A KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE UNATAMANI KUJUA ZAIDI.
COMMENT NENO “FURSA” kwenda number 0785457265.

Ningependa kuzungumza na wanawake, vijana ambaye unatamani sana kuanzisha biashara yako wewe mwenyewe na ukaishuhudia ik...
16/01/2024

Ningependa kuzungumza na wanawake, vijana ambaye unatamani sana kuanzisha biashara yako wewe mwenyewe na ukaishuhudia ikifika mbali sana.

Baadhi ya changamoto ambazo inawezekana zinakukwamisha usifanikiwe kuanza biashara ni pamoja na wazo la biashara ( yaan ufanye biashara gani?), sina mtaji,muda hautoshi,sina ujuzi,sina wa kunishika mkono,nikifeli itakuwaje,nitapata wapi wateja na mengine mengi.

Nataka nikuambie dunia inatabia ya kuchuja watu ambao wako serious na wasio serious. Wale waliofanikiwa ni watu walioamua kupiga moyo konde na kuamua kuanza jambo kwa ujasiri na imani.

Mimi binafsi kuna siku nilichukua hatua, nikafanya maamuzi ya kuanza ambayo yamenipa nafasi ya kujenga biashara kubwa ambayo imegusa maisha ya watu.

Je wewe ungependa kuanza biashara? K**a ungependa kujifunza zaidi wasiliana nasi kupitia number; 0785457265

Wasiliana nasi 0785467265NINA FURSA MOJA KIBOKO SANA NATAKA KUSHARE NA WEWE 📌MUHITIMU ULIYEMALIZA CHUO NA UKAKOSA AJIRA ...
11/11/2023

Wasiliana nasi 0785467265
NINA FURSA MOJA KIBOKO SANA NATAKA KUSHARE NA WEWE
📌MUHITIMU ULIYEMALIZA CHUO NA UKAKOSA AJIRA NA HUJUI NINI CHA KUFANYA
📌KWA AJILI YA WAAJIRIWA AMBAO KIPATO CHAO HIKITOSHI
📌KWA WOTE AMBAO FURSA YAANI HAWAJUI NINI CHA KUFANYA NA WANAMTAJI MDOGO SANA
📌PIA KWA WAMAMA WA NYUMBANI AMBAO WANATAFUTA NINI CHA KUFANYA

NJOO NIKUFUNDISHE BIASHARA AMBAYO UTAIFANYA KUPITIA SIMU YAKO HAPO HAPO KWA MUDA WAKO WA ZIADA NA KUWEZA KUKUINGIZIA KIPATO CHAKO NA KUMUDU MAHITAJI YAKO YA KILA SIKU NA KUWEZA KUKUTIMIZIA NDOTO ZAKO

HELLO!!KWA MAJINA NAITWA DIRECTOR PENDO NINA FURSA MOJA KIBOKO SANA NATAKA KUSHARE NA WEWE 📌MUHITIMU ULIYEMALIZA CHUO NA...
11/11/2023

HELLO!!
KWA MAJINA NAITWA DIRECTOR PENDO
NINA FURSA MOJA KIBOKO SANA NATAKA KUSHARE NA WEWE
📌MUHITIMU ULIYEMALIZA CHUO NA UKAKOSA AJIRA NA HUJUI NINI CHA KUFANYA
📌KWA AJILI YA WAAJIRIWA AMBAO KIPATO CHAO HIKITOSHI
📌KWA WOTE AMBAO FURSA YAANI HAWAJUI NINI CHA KUFANYA NA WANAMTAJI MDOGO SANA
📌PIA KWA WAMAMA WA NYUMBANI AMBAO WANATAFUTA NINI CHA KUFANYA

NJOO NIKUFUNDISHE BIASHARA AMBAYO UTAIFANYA KUPITIA SIMU YAKO HAPO HAPO KWA MUDA WAKO WA ZIADA NA KUWEZA KUKUINGIZIA KIPATO CHAKO NA KUMUDU MAHITAJI YAKO YA KILA SIKU NA KUWEZA KUKUTIMIZIA NDOTO ZAKO
KARIBU SANA KWA MAFUNZO

WHATSAPP US 0785467265

Tutakuwa na mkutano mkubwa sana Tarehe 25 mwezi huu wa 8 ni mkutano wa kila kijana ambae anahitaji kufanikiwa na mwenye ...
19/08/2023

Tutakuwa na mkutano mkubwa sana Tarehe 25 mwezi huu wa 8 ni mkutano wa kila kijana ambae anahitaji kufanikiwa na mwenye uchu na nia ya kutimiza ndoto zake.
Watu mbalimbali waliofanikiwa kwenye biashara zao watakuwepo njoo ujifunze kupitia kwao.
Mahali ni SUMA JKT( Dar es salaam) saa saba mchana hadi saa kumi jioni.
Tuma neno VIJANA kwenda number 0785457265
Tutakupa mwongozo wa wewe kufika kwenye mkutano.

JE,UNATAKA KUFANYA BIASHARA AMBAYO UTAIFANYA KUPITIA SIMU YAkO HAPO HAPO KWA MUDA WAKO WA ZIADA NA UKAWEZA KUINGIZA KIPA...
14/08/2023

JE,UNATAKA KUFANYA BIASHARA AMBAYO UTAIFANYA KUPITIA SIMU YAkO HAPO HAPO KWA MUDA WAKO WA ZIADA NA UKAWEZA KUINGIZA KIPATO CHAKO NA KUMUDU MAHITAJI YA KILA SIKU? KARIBU SANA kWA MAFUNZO.

whatsapp us 0785457265

Address

L
Dar Es Salaam

Telephone

+255785457265

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fursa na ajira posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share