06/10/2026
Karibu Mack Business Solutions tukusaidie katika: 1. Usajili wa Asasi (NGOs na CSOs), 2. Usajili wa Makampuni, 3. Usajili wa Jina la Biashara, 4. Usajili wa Umilki Manufaa (Beneficial Ownership), 5. Usajili wa Alama za Biashara na Huduma (Trademark), 6. Usajili wa Hataza (Patent), 7. Maombi na Kufuatilia Leseni na Vibali Mbalimbali, 8. Kufanya Mabadiliko wa Taarifa za Kampuni na Kuandaa Retani, 9. Maombi ya Cheti cha Kuzaliwa, Pasipoti, Viza n.k, 10. Kuandaa Wasifu wa Kampuni na Nembo ya Kampuni/Biashara, 11. Kukupa Ushauri na Mafunzo ya Biashara, 12. Kuandaa Mpango wa Biashara (Business Plan) na Andiko la Mradi (Project Proposal), 13. Kuandaa Nyaraka za Biashara (Business Documentation) na Taarifa za Biashara, 14. Kuandika Andiko na Sera za Kukopeshea, na 15. Kutengeneza Matangazo ya Biashara.