12/06/2025
*NFT ni nini?*
Umeshawahi kusikia watu wakisema wanamiliki picha ya kidigitali ambayo haiwezi kuibiwa, kubadilishwa, wala kutolewa copy?
π Hii si uchawi ni teknolojia mpya inayoitwa NFT (Non-Fungible Token)
π Inakupa uwezo wa kumiliki vitu vya kidigitali k**a vile mchoro, muziki, tiketi, hata ardhi ya mtandaoni (metaverse)
π Ukiwa na NFT, unakuwa na uthibitisho halali wa umiliki, ni k**a cheti chako cha mtandaoni, haki ya pekee ambayo haifutiki!
Lakini je: β
NFT inafanyaje kazi?
β
Inafaida gani kwa msanii au mwekezaji?
β
Ina hatari zipi?
β
Kuna tofauti gani kati ya NFT na pesa za mtandaoni k**a bitcoin?
Somo liko tayari kwenye WhatsApp Channel yetu
Soma leo ujifunze kwa undani kuhusu dunia hii mpya ya umiliki wa kidigitali.
ππ
https://whatsapp.com/channel/0029VaJfSVn9MF98BQu1q510