Timiza ndoto yako

Timiza ndoto yako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Timiza ndoto yako, Business Center, dar es salaam, Dar es Salaam.

Beauty club na timiza ndoto yakooo ni fursa kwa Ajiri ya wanawake kwa kuwawezesha namna ya kujiongezea kipato kikubwa kw...
22/03/2023

Beauty club na timiza ndoto yakooo ni fursa kwa Ajiri ya wanawake kwa kuwawezesha namna ya kujiongezea kipato kikubwa kwa mtaji mdogo😊😊😊😊je? uko na dadaaa ,aunt , girlfriend na wanaitaji kujiongezea kipato💃💃💃🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️wasiliana nasi sasAaa kwa maelekezo zaidi karibu inbox

Faida ya kufanya  kazi namimi😊😊😊😊kupata malipo kila mwisho wa mwezi,Kupata cash support  money 😊Kukuakikishia afya bora ...
21/03/2023

Faida ya kufanya kazi namimi😊😊😊😊kupata malipo kila mwisho wa mwezi,
Kupata cash support money 😊
Kukuakikishia afya bora k**a unahitaji utaratibu namna yakuwa nasi type mi inbox😊✊✊✊✊Timiza ndoto yako

Hiiii si yakukosaaa wanawake ma super women 🔥🔥💥💥💥
18/03/2023

Hiiii si yakukosaaa wanawake ma super women 🔥🔥💥💥💥

*WOMEN WHO WIN TANZANIA IKISHIRIKIANA WOMEN BEAUTY NA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2023*Katika kuelekea maadhimisho ya mwezi...
14/03/2023

*WOMEN WHO WIN TANZANIA IKISHIRIKIANA WOMEN BEAUTY NA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2023*

Katika kuelekea maadhimisho ya mwezi huu wa Wanawake duniani,
napenda kuwakumbusha kuwa wanawake tunatakiwa tuendelee kuitambua nafasi na wajibu wetu katika jamii kwamba sisi ni jeshi kubwa na kila mmoja wetu aenzi aone mchango wa mwanamke mwingine katika jamii.

mwanke huona FURSA
Mwanamke ni jasiri anaona na kuitumia nafasi yake katika kujiendeleza na kuzichangamkia fursa zilizo mbele yake.

*mwanake ni JASIRI*
Mwanamke haogopi kushindwa na changamoto zilizo mbele yake, siku zote huchagua kuzikabili.

*DHANA YA KUJIKWAMUA*
Wanawake wengi wamefanikiwa kuinua uchumi wao na kuzisimamia familia zao, wakati mwingine bila hata ya msaada wa moja kwa moja wa wengine.

Ni wanawake wenye nyadhifa za uongozi wakifanya kazi na kuleta maendeleo kwa bidii.

Wanawake wote kwa Umoja wetu tuungane katika kutafakari kwa kina umuhimu na nafasi zetu katika shughuli za kuleta maendeleo kwetu na jamii kwa ujumla.

*mwaka 2023*
Tusibaguane na Tusaidiane katika kuwapa wanawake wengine Fulsa za kijasiriamali Nawaomba wanawake tuthaminiane, tupendane na tuinuane katika nyanja zote za maisha na tubadilike fikra ili tufikie katika kutimiza malengo na ndoto, nichukue nafado hii kukukaribisha tarehe 21 mwez huu March katika seminar hii kubwa ya wanawake 0674645280 piga cm kwa maelkezo zaidi

Uhuru wa kipato Uhuru wa mda ,changamkia fursa ilituweze kujikomboa na kujikwamua kiuchumi kwa kuanzisha biashara kubwa ...
12/03/2023

Uhuru wa kipato
Uhuru wa mda ,changamkia fursa ilituweze kujikomboa na kujikwamua kiuchumi kwa kuanzisha biashara kubwa kwa mtaji mdogo,popote ulipo tunakufikia tunatoa elimu ilikuakikisha unatimiza ndoto yako 💥💥jiunge nasi tutumie ujumbe mfupi wa niko tayar kwa fursa tutakusaidia

Timiza ndoto yako leo kwa kuanzisha biashara ya kimataifa ,mbinu ya namna ya kufanikiwa tutakufundisha tupo kwa Ajiri ya...
12/03/2023

Timiza ndoto yako leo kwa kuanzisha biashara ya kimataifa ,mbinu ya namna ya kufanikiwa tutakufundisha tupo kwa Ajiri ya kukushika mkono ili kufikia ndoto yako k**a sisi tulivyo fundishwa na tumefanikiwa tuko tayari ,kuwaajiri yako piah , kwa kujiunga nasi wasiliananasi kwa namba +255674645280 karibu sanaaa timiza ndoto yako nasi leo

Fursa ni kwa kila mtu aliyetayari kutimiza ndoto yake, je?? ungependa kufahamu kuhusu fursa nzuriii yenye manufaaa kwako...
10/03/2023

Fursa ni kwa kila mtu aliyetayari kutimiza ndoto yake, je?? ungependa kufahamu kuhusu fursa nzuriii yenye manufaaa kwakoooo sasa na maisha ya baadae???karibu Inbox au wasiliana nasi iliupate mwongozo wa namna ya kutimiza ndoto yako kupitia biashara ya kimataifa

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255674645280

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Timiza ndoto yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Timiza ndoto yako:

Share