Asia Mkuki / Women Business Adviser

Call Directions Website Contact the business

Asia Mkuki / Women Business Adviser Kwa Wewe Kijana/Mwanamke Karibu Nikuoneshe Biashara Ambayo Ndani Ya Siku 90 Itakusaidia Kujiongezea Kipato Kizuri Na Kuishi Maisha Yasio Na Stress.

Kwangu imewezekana Hata Kwako Inawezekana Pia.
📲wame./255625027298

🔥 Haikuwa rahisi, lakini umefanikisha! 🚘🏆FAITH + GOAL + DISCIPLINE + CONSISTENCY 🔥💯Vitu hivi vimekuwa sehemu ya safari y...
15/08/2026

🔥 Haikuwa rahisi, lakini umefanikisha! 🚘🏆

FAITH + GOAL + DISCIPLINE + CONSISTENCY 🔥💯

Vitu hivi vimekuwa sehemu ya safari yako na vimekusaidia kufanikisha NDOTO YAKO YA KUNUNUA GARI LAKO LA KWANZA. 🚘❤️
Kuna mtu Ana mtaji na hajui afanye biashara gani,
Pia kuna wewe ni kuajiriwa Lakin unahitaji kuongeza Kipato chako Lakin hauelewi ufanye nini
Jibu Unaweza kutumia muda wako wa Ziada kwa wewe muajiriwa,Mwanachuo ama mama wa nyumbani kuanza biashara kwa mtaji wa laki mbili tu na KUTIMIZA NDOTO zako
K**a kusomesha watoto shule nzuri,kumiliki usafiri wako,kujenga nyumba ya NDOTO yako inawezekana anza biashara Leo
Inbox nikupatie MUONGOZO

Hongera sana My Champion! 🏆🔥

15/08/2026

🔥 KWA KIJANA YEYOTE MWENYE NDOTO KUBWA — UJUMBE HUU NI WAKO! 🔥

🔥🔥 DAR ES SALAAM, HII SIO YA KUKOSA! 🔥🔥

🏆 HONGERA SANA CHAMPION WANGU EVELINE! 🎉🚘🔥

Umetimiza ndoto yako ya kumiliki GARI LAKO LA KWANZA kupitia biashara na mauzo ya rejareja! 🚘❤️

Kinachonigusa zaidi ni kwamba Eveline aliniamini tangu nilipokuwa bado naanza na sikuwa na matokeo makubwa. Akaamua kuanza safari pamoja nami… na leo tunaona matokeo! 💯🔥

🚘 HILI GARI SIO GARI TU… NI USHUHUDA KWAMBA NDOTO ZINAWEZEKANA!

Eveline alifikia lengo lake kwa sababu alifanya uamuzi wa kuanza, akajifunza, akafanya kazi na hakukata tamaa. 🔥

Na k**a na wewe umekuwa ukitafuta fursa ya kuanza biashara, unaweza kuanza kwa mtaji kuanzia laki mbili tu, kulingana na mpango wa biashara unaouchagua.

📩 Tuma ujumbe “NINA MTAJI” k**a ungependa kujua jinsi ya kuanza.

🏆 HONGERA SANA CHAMPION WANGU EVELINE! ❤️🚘🔥

THE SUCCESS TEAM
🔥 WINNING IS OUR CULTURE
🏆 WE CREATE WINNERS

DarEsSalaam

*MUNGU NI MWEMA SANA!**SHANGWE LIMERUDI TENA!*Tunakualika kwenye SHEREHE KUBWA ya mapokezi ya gari la mjasiriamali mwenz...
15/08/2026

*MUNGU NI MWEMA SANA!*

*SHANGWE LIMERUDI TENA!*

Tunakualika kwenye SHEREHE KUBWA ya mapokezi ya gari la mjasiriamali mwenzetu — Eveline William!

Hii ni hatua nyingine ya uhalisia wa ndoto ndani ya Dream With Us.

📍 Ukumbi: Ilala–Boma, Floor No. 7
📆 Tarehe: August 16, 2026
⏰ Muda: saa 7 mchana

Hii ni nafasi ya kushuhudia safari ya mafanikio, nguvu ya kusimama kwenye ndoto yako, na namna ushindi wa mtu mmoja unavyoweza kuwasha moto wa wengine.

Njoo, Shiriki sherehe hii na Jifunze ili Uhamasike kuapambania ndoto zako.

Hii ni sherehe yetu ya sita ya Dream With Us, na tunataka uhudhurie na kuwa sehemu ya historia.

IFANYE NDOTO YAKO IHAMASISHE WENGINE


UMEWAHI KUJIULIZA KWA NINI WENGINE WANAONGEZA KIPATO HUKU WAKITUMIA SIMU TU? 📱💰K**a una mtaji kuanzia TSh 200,000, una s...
11/07/2026

UMEWAHI KUJIULIZA KWA NINI WENGINE WANAONGEZA KIPATO HUKU WAKITUMIA SIMU TU? 📱💰

K**a una mtaji kuanzia TSh 200,000, una simu yenye internet, na uko tayari kujifunza, kuna fursa inaweza kukusaidia kuanza safari ya kujenga kipato endelevu.

📍 Meeting kupitia Google Meet
🗓 Kila Jumamosi na Jumapili
🕝 Saa 2:30 Usiku

⚠️ Tunahitaji watu walio serious, wenye nidhamu ya kujifunza na wako tayari kuchukua hatua.

Nafasi ni chache.

📩 Andika “NATAKA LINK” kwenye DM au comment nikutumie link ya kujiunga.

Usiache mwaka huu upite ukiwa unatazama wengine wakibadilisha maisha yao. Huenda hatua yako ya kwanza inaanza leo. 🚀

🚨 JE, UNA SIMU NA MTAJI KUANZIA LAKI MBILI TU?Huenda hiyo ndiyo hatua unayohitaji kuanza kujenga kipato endelevu kupitia...
11/07/2026

🚨 JE, UNA SIMU NA MTAJI KUANZIA LAKI MBILI TU?

Huenda hiyo ndiyo hatua unayohitaji kuanza kujenga kipato endelevu kupitia biashara inayofanyika kwa kutumia simu na internet.

💼 Hakuhitaji ofisi kubwa.
📱 Unaanza ukiwa popote ulipo.
🎯 Unahitaji kuwa serious, tayari kujifunza na kuchukua hatua.

📅 Kila Jumamosi na Jumapili
🕝 Saa 2:30 Usiku
💻 Kupitia Google Meet

⚠️ Nafasi ni chache sana kwa sababu mafunzo haya yanahitaji ushiriki wa karibu.

📩 Andika “NATAKA LINK” kwenye DM au comment nikutumie link ya kujiunga.

KESHO INAANZA NA UAMUZI UNAOFANYA LEO.

TheSuccessTeam WinningIsOurCulture WeCreateWinners Entrepreneur FinancialFreedom BiasharaMtandaoni Tanzania Africa PassiveIncome NetworkMarketing

25/05/2026
MC GARA WHAT….?
25/05/2026

MC GARA WHAT….?

Vijana Fursa ni nyingi sana huna haja kuilalamikia serikali,Wazazi,Ndugu,Marafiki,nkNi muda Sasa kuchangamkia fursa na M...
25/05/2026

Vijana Fursa ni nyingi sana huna haja kuilalamikia serikali,Wazazi,Ndugu,Marafiki,nk
Ni muda Sasa kuchangamkia fursa na MUONGOZO wa kufanya biashara nitakupatia nitafute namba zipo bio

TUMEBAKIWA SANA NA UJIO WAKO MHE:DENNIS LONDO(MP) WAZIRI WA WIWANDA NA BIASHARA KWENYE ARISE AND SHINE RECOGNITION RALLY...
25/05/2026

TUMEBAKIWA SANA NA UJIO WAKO MHE:DENNIS LONDO(MP) WAZIRI WA WIWANDA NA BIASHARA KWENYE ARISE AND SHINE RECOGNITION RALLY 24/05/2026 THE SUPER DOME

MHE.DENNIS LONDO(MB)Naibu Waziri wa Viwanda na biashara
25/05/2026

MHE.DENNIS LONDO(MB)
Naibu Waziri wa Viwanda na biashara

Address

Ilala, Boma
Dar Es Salaam
12101

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 08:00 - 00:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255625027298

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asia Mkuki / Women Business Adviser posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Asia Mkuki / Women Business Adviser:

Shortcuts

Share