20/01/2020
MAGONJWA SUGU KWA WANAWAKE
1.1.1 UTANGULIZI
Mwanamke ni kiumbe cha thamani sana na cha kipekee, upekee na uthamani wake unatokana na maumbile yake yalivyo. Kwa kawaida mwanamke katika ukuaji wake anapitia katika hatua tano muhimu, kwanza kuvunja ungo, pili hatua ya ndoa (kushiriki tendo la ndoa), tatu hatua ya ujauzito, nne hatua ya malezi na tano ni hatua ya kukoma kwa hedhi. Katika hatua zote hizi mwanamke anakuwa hatarini Sana kushambuliwa Na magonjwa mbali mbali sehemu zake za siri kutokana Na maumbile yake yalivyo. Viungo vya uzazi WA mwanamke vinatakiwa kulindwa Kwa thamani kubwa kuliko kitu chochote kwasababu kinapopata changamoto familia nzima huathirika, kwasababu mwanamke ndio kila kitu katika kuhakikisha familia inastawi vizuri.
1.1.2 UGONJWA WA UTI
1.1.2.1 UTANGULIZI
Kwanza kabisa kirefu cha cha herufi UTI ni URINARY TRACT INFECTION ikimaanisha ni maambukizi yanayotokana na bacteria kwenye njia ya mkojo. Msomaji anapaswa kujua njia ya mkojo ni ipi, inaanzia wapi na inaishia wapi. Kwa ujumla njia ya mkojo inaanzia kwenye mrija wa mkojo kwa mwanaume na mwanamke. Mrija huu unajulikana k**a URETHRA na ukishapata maambukizi ugonjwa sehemu hii unaitwa URETHRITIS. Njia ya mkojo inayofuata baada ya urethra ni BLADDER yaani kibofu. Wanawake wanakua na urethra fupi 4cm kulinganisha na wanaume 25cm hivo hali hiyo hupelekea wanawake kupata UTI kwa urahisi zaidi ukilinganisha na wanaume. Kibofu kikipata maambukizi ugonjwa unajulikana k**a CYCITITIS. Baada ya kibofu inafuata mirija miwili inayo kwenda kwenye figo mbili. Mirija hii inaitwa ureters na ikishaambukizwa inajulikana k**a URETITIS.Na mwisho wa njia ya mkojo ni figo mbili yaani kidneys na hizi figo zikishaambukizwa ugonjwa unajulikana k**a NEPHRITIS
1.1.2.2 VISABABISHI
Visabibishi vya ugonjwa huu huambatana na chanzo cha tatizo katika mojawapo ya sehemu husika. ๏ท Ugonjwa wa sukari hufanya kiwango cha sukari kuwa kikubwa kwenye damu kwa vile mafigo kazi yake ni kuchuja damu hivyo ni kusema sukari huingia kwa wingi kiasi cha kusababisha vidudu bakteria kuzaliana kwa wingi kwenye figo au kibofu cha mkojo kusababisha maambukizi.
Madawa /sumu huchubua utando wa njia ya mkojo na kusababisha bacteria kuzaliana
Matatizo ya vijiwe kwenye figo/ mirija ya mkojo, kibofu, hufanya msongomano wa mkojo na Vijidudu huzaliana.
Maradhi ya Tunda Prostate gland huvimba na kufunga njia ya mkojo matokeo yake kuuzuia na kuuweka mkojo mda mrefu kwenye kibofu mpaka bacteria kuzaliana.
Tendo la ndoa, sexual intercouse unapata vijidudu moja kwa moja kutoka kwa mwanamke mwenye uambukizo
Kujichua, tendo hili mara nyingi watu hutumia mafuta au sabuni ambazo huwa zina kemikali zinazopenya kwenye mrija wa mkojo huwasha na kusababisha vidonda ambayo bacteria hukua na kazaliana
Usafi, aidha kwa kujikamua sana baada kukojoa, kutawaza maji machafu kutokuwa na hali ya unadhifu, huko chini kuna vijidudu ambavyo huishi baina ya njia ya haja kubwa na makorodani kutokana na hali ya ujoto humea vizuri na hupata nafasi ya kukuingia kwenye mirija k**a utakuwa huna tabia ya kuwapunguza kwa usafi
1.1.2.3 DALILI
Dalili za UTI zinaonekana kulingana na aina ya maambukizi, lakini dalili kuu kwa watoto na watu wazima zinafanana, zifuatazo ni dalili za UTI kulingana na aina ya maambukizi;
Maumivu wakati wa kukojoa na pengine kutoka uchafu au usaha kwenye njia ya mkojo.
Urethritis dalili zake ni kupata maumivu wakati wa kukojoa
Cystitis dalili zake ni kupata maumivu ya tumbo chini ya kitovu na saa nyingine kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu.
Pyelonephritis dalili zake ni Homa, kichwakuuma, kichefuchefu, kutapika, maumivu ya tumbo sehemu za pembeni na mgongo kuuma.
1.1.2.4 MADHARA
Hatari kubwa ya kukaa na UTI kwa mda mrefu bila kutibiwa husababisha bacteria kusambaa kutoka kwenye kubofu hadi kwenye figo. Bakteria hawa huwe ku athiri utendaji kazi wa figo kitu ambacho ni hatari sana kwa watu wenye matatizo ya figo.
Pia kuna uwezekano mdogo wa bacteria hawa kuingia kwenye mfumo wa damu iwapo hali itatokea huweza kusababisha athari katika viungo vingine,
Hatari ya mama mjamzito kuwa na UTI huweza kumpelekea kujifungua kabla ya wakati au kujifungua mtoto mwenye uzito mdogo
1.1.2.5 MATIBABU YAKE YA KUDUMU UTI
ni ugonjwa unaotibika kabisa, pindi utapopata dalili hizi unashauriwa kufika hospital na kupata vipimo na matibabu ninayo shauri mwanamke au msichana ambae amepima na akakutwa na tatizo hili ni Dawa aina ya Femicare ambayo asilia kwa asilimia 100% dawa hii inauwezo wa kumtibu mtu na kumkinga asipate tena https://wa.me/255712033268