Usiku fikilia Afya

Usiku fikilia Afya Mshauli wa Afya ya mwanaume kwa matumizi ya tiba lishe(Supplements)

05/04/2023
*UJUE UGONJWA WA KISUKARI* Kisukari ni moja ya Magonjwa yasiyo ya kuambukiza toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine ...
01/04/2023

*UJUE UGONJWA WA KISUKARI*

Kisukari ni moja ya Magonjwa yasiyo ya kuambukiza toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo.

Kisukari ikiwa ni moja ya muuaji wa kimya kimya katika kundi hili la magonjwa yasiyo ya kuambukizwa
Ugonjwa huu unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu.

Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati.

CHANZO CHA UGONJWA WA KISUKARI

Viko vyanzo mbalimbali, navyo ni

1.Shinikizo la juu la damu (B.P)
2.Viwango vya juu vya triglyceride (Mafuta)

3.Lishe yenye Mafuta mengi na Wanga

4.Utumiaji mkubwa wa Pombe
5.Ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi

6.Mtindo wa maisha usiofaa kiafya

7.Uzito na unene uliozidi
8.Kuto ushughulisha mwili

9.Umri

NI NANI ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KISUKARI?

Watu walio katika makundi yafuatayo wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kisukari:-
– Wenye uzito uliozidi

– Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia zao
– Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi

– Watu wasiojishughirisha au wasiofanya mazoezi
– Wenye shinikizo la damu

– Wenye msongo wa mawazo na
– Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.

*Watu hawa wanashauriwa kupima sukari yao kila mwaka wakiwa na umri wa miaka 45 na kuendelea.*

Dalili za jumla za ugonjwa wa kisukari ni pamoja na:

Njaa iliyoongezeka
kiu kikubwa

kupungua uzito
Kukojoa mara kwa mara

maono machafu

uchovu uliokithiri
vidonda visivyopona

*Dalili katika wanaume*

kupungua kwa uwezo wa tendo la ndoa (ngono), uharibifu wa erectile (ED), na nguvu za misuli duni.

*Dalili kwa wanawake*

Wanawake wenye ugonjwa wa kisukari wanaweza pia kuwa na dalili k**a vile maambukizi ya njia ya mkojo (U.T.I, Kichocho, n.k), na ngozi kavu.

TIBA YA MAGONJWA YA KISUKARI

Ugonjwa wa Kaisukari unatibika kwa njia K**a
1.kutumia kemikali 2.Kutumia mionzi
3.Upasuaji 4.Virutubishe(njia salama)

~ Uume Unasimama legelege~Unakosa hamu ya tendo ~Unawahi kumwaga~Unachelewa Sana kumwaga~Unawahi kuchoka na kuishiwa ngu...
30/03/2023

~ Uume Unasimama legelege

~Unakosa hamu ya tendo

~Unawahi kumwaga

~Unachelewa Sana kumwaga

~Unawahi kuchoka na kuishiwa nguvu

Tumia package hii imesaidiwa wengi na Kuleta Amani katika ndoa na Mahusiano mengi

Tumia Bedroom package leo upate matokeo ndani ya siku 7 Hadi 10 za kwanza

30/03/2023

Jiepushe na madawa ya kujiboost wakati wa tendo la ndoa

Tumia virutubisho lishe hivi kumaliza kabisa changamoto na kukuacha ukiwa salama kabisa

~ Some Amaizing Feedback kutoka Kilimanjaro 😄😄
28/03/2023

~ Some Amaizing Feedback kutoka Kilimanjaro 😄😄

23/02/2023

Hebu anza kwa kujiambia “Niko Kwenye Mchakato”

Kila mtu anaweza kupata sababu ya kwa nini ni ngumu kwake kufanikiwa.

Kuna ambaye alikanwa na Baba yake, akalelewa na mama yake pekee kwenye mazingira magumu.

Huyu mwingine alishindwa kuendelea na masomo kwa kukosa ada.

Kuna mwingine ambaye amejaribu mara kadhaa ila kila wakati anapoteza mtaji.

Na huyu atasema ametokea familia ya kimaskini na ni ngumu kwake kufanikiwa.

Ukweli ni kuwa, hakuna ambaye hawezi kuwa na sababu ya kutofanikisha malengo yake.

Kwenye maisha ni lazima uamue kati ya haya mawili;

Changamoto ulizopitia/ulizonazo ziue ndoto zako zote au

Upambane na changamoto zinazokukabili na baadaye zitumike K**a ushuhuda wa ushindi.

Mungu ameruhusu changamoto zije kwa sababu anataka kuwathibitishia wengine kupitia wewe kuwa, pamoja na changamoto bado mtu anaweza kuinuka.

Yaani, wewe ni mwakilishi wa washindi wanaotengenezwa hapa duniani ili wengine wasikate tamaa. Uko kwenye mchakato.

Unachopitia unaweza kukishinda, usifunge ukurasa, bado una nafasi.

Nakukumbusha, Uko kwenye mchakato, usiishie Njiani.

See You At The Top

KWAKO MWANAU'MEIMARISHA AFYA YA UZÀZI NA TENDO.Je' Umekuwa ukishindwa kumridhisha mwenzi wako mpaka kukupelekea kuanza k...
16/02/2023

KWAKO MWANAU'ME
IMARISHA AFYA YA UZÀZI NA TENDO.
Je' Umekuwa ukishindwa kumridhisha mwenzi wako mpaka kukupelekea kuanza kuwa muoga wa kukutana na mwenzi wako kwa kuogopa kurudia makosa yale yale ya KUWAHI KUFIKA KILELENI, KUSHINDWA KURUDIA TENDO, DHAKARI KUWA LEGEVU, KUTOA KIWANGO KIDOGO SANA CHA MBEGU au MBEGU KUWA NYEPESI SANA n.k?
Hii PACKAGE INAMALIZA CHANGAMOTO ZIFUATAZO:

- KUWA NA UWEZO. KURUDIA TENDO VIZURI.

-KUONGEZA IDADI YA MBEGU

-KUSIMAMISHA UU'ME VIZURI.

- KUBORESHA MZUNGUKO WA DAMU.

-KUIMARISHA MISULI

-KUPATA HAMU YA KUFANYA TENDO

-KUTOFIKA MAPEMA KILELENI

TUNAFANYA DELIVERY TANZANIA NZIMA NA NCHI JIRANI MZIGO UTAKUFIKIA POPOTE ULIPO.
Vunja ukimya usikubali changamoto ndogo ndogo zivunje HESHIMA YAKO, wengi tumewasaidia na wako sawa SASA karibu tukushauri.

Call/SMS/WhatsApp +255742960312

16/02/2023

Umechoka minyama uzembe ?

Umechoka Kitambi ?

Badilishaa muonekano wako Sasa ndani ya siku 9 tu..
.ukiwa chini ya program SPECIAL na uangalizi upate matokeo unayoyatamani

29/01/2023

~Upo tayari kwenda kuweka P**O au kufanya upasuaji utoe Kitambi na nyama uzembe?

Najua hautaki kuweka P**O

Najua hautaki kufanya upasuaji

Yeah najua hupend ndiyo

~Sasa fanya hivi Bonyeza kitufe cha Message hapoo ...upate Program SPECIAL ya kupunguza
1.Kitambi

2.Nyama uzembe

3.Mafuta na Sumu mwilini

Tutakusaidia kupata mwonekano safi na ngozi yenye kuvutia kabisa

By the way..

Nani mwingine anataka kupungua?

~Pressure au Shinikizo la damuKatika miaka ya hivi karibuni Shinikizo la damu(pressure)...imekuja kuwa ni changamoto za ...
28/01/2023

~Pressure au Shinikizo la damu

Katika miaka ya hivi karibuni Shinikizo la damu(pressure)..
.imekuja kuwa ni changamoto za kiafya si kwa watu wazima tu bali kwa watu wenye umri mdogo pia.

~Sasa wewe unahisi ni kwanini?

Yeah upo sawa kabisa

Lifestyle ya kisasa imefanya pressure au Shinikizo la damu liwe tatizo kwa watu wa lika zoote.

By the way ngoja nitumie sekunde 60 tu...hapa chini nikueleze baadhi ya sababu zinazo semekana ni Chanzo Cha Pressure.

~Ni nini husababisha shinikizo
la damu(Pressure)?

Kwa watu wengi, si sababu moja tu ambayo
huleta shinikizo la damu.

Hatujui hasa ni nini
husababisha shinikizo la damu.

Tunajua..
.kuwa mienendo yako maishani huendaikaathiri uwezekano wa kupata hali hii.

Unahatari zaidi ikiwa:

••Huli kiasi cha kutosha cha mboga na matunda

••Unakula chumvi nyingi

••Hufanyishi mwili mazoezi;

••Una uzani mkubwa(uzito mkubwa)

••Unakunywa pombe kupita kiasi.

~I hope umejifunza kitu hapo.

~Habari nzuri ni kuwa Changamoto hii hutibika na kupona kabisa..
.na nimesaidia watu wengi sana kupona changamoto hii, wengine wame furahi na hata kunipatia zawadi ya shuklani😀😀

Unahitaji kupona Pressure

Tuwasiliane Sasa hivi niweze kukuhudumia

~usiku fikilia Afya

Baada ya kutumia Bedroom package unajua nini huwa kinafata kwenye mahusiano afya yako ya uzazi?Sasa K**a ulikuwa hujui.....
27/01/2023

Baada ya kutumia Bedroom package unajua nini huwa kinafata kwenye mahusiano afya yako ya uzazi?

Sasa K**a ulikuwa hujui...
. Cha kwanza kabisa huwa ni Cheko

Yaani furaha katika penzi lako huwa ni maradufu😀

Then hivi pia viafuata

2.utamlizisha mwenziwako

3.utasimama K**a msumali

4.nguvu za kurudia tendo zitaimalika

5.hamu ya kurudia itaongezeka maradufu

6.wenye tezi dume hupona kabisa✅

By the way K**a unachangamoto za nguvu za kiume na uzazi...
. Bonyeza kitufe cha Message sasahivi tutakusaidia changamoto yako

~Usiku fikilia Afya

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Usiku fikilia Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share