Enterprenuer Ship/ujasilia Mali

Enterprenuer Ship/ujasilia Mali Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Enterprenuer Ship/ujasilia Mali, Business service, Dar es Salaam.

25/12/2017

Habr Za Uzma Wana Ujasiliamali?
Ni Kipnd Kiref Hamkuweza Kupata Mafunzo Hyo Ilitokana Na Maboresho Na Maandalz Mazr Ya Page Ye2 Ili Muweze Kuelimika Vyema Ktk Swala Zma La Biashara
Pia 2naomb Radh Kwa Ukimya Wa Muda Mrefu

TUNAWATAKIA HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA
ASANTENI

16/11/2016

Zingatia Elimu Hii Itakusaidia...
"FAIDA ZA KUWA NA BIASHARA"..'!
Lengo Kuu La Kuanzisha au kufungua biashara kwa wafanya biashara wote ni kupata faida..
Biashara ina faida kubwa sana kwa m2 anayefanya. kwanza kumbuka unapokuwa umefungua biashara, unakuwa umejiajiri wewe mwenyewe..@
Nasema hv kwasababu kuna uhuru wa m2 kujiajiri yeye mwenyewe , hiyo ni moja ya faida utakayoweza kuipata endapo utafungua biashara au utaanzisha biashara.
Wengi hawajui kwamba kuajiriwa ni utumwa.

ZIFUATAZO NI FAIDA UTAKAZOPATA ENDAPO UTAFUNGUA BIASHARA
i) Utakuwa na uhakika wa pesa wakati wowote.
ii)utakuwa na uhuru wa kufungua muda na wakati wowote upendao na siyo kulazimishwa.
iii)utakuwa na uhakika wa matumizi madogo madogo k**a vile kuvaa na kula kila cku.
iv)uwezo wa kuinuka kimaisha ni mkubwa tofaut na kuajiriwa.
v)utapata umaarufu k**a vile kujulikana sana.
vi)uwezo wa kuwasaidia ndugu na jamaa ni mkubwa k**a vile kuwakopesha pesa.
HIZI NI BAADHI 2 YA FAIDA ZITOKANAZO NA BIASHARA...

16/11/2016

:ITAKUSAIDIA K**A WEWE NI MFANYABIASHARA AU UNATARAJIA KUWA MFANYABIASHARA...:
""" MAANA YA BIASHARA""
Biashara ni shughuri ya kununua bidhaa na kuuza, ili kupata Faida Ambayo itatumika kujipatia riziki za maisha ya mfanyabiashara...!
Yawezekana mtu anafanya biashara kwasababu alimuona mtu fulani anafanya na hana taarifa kuhusiana na biashara,. wala hajui hata maana ya biasharaa..

Watu hawa ni pamoja na wastaafu wa kazi, wengi wao hukurupuka na kuanza biashara na mwisho wake hushndwa kujua wapi walipokosea,. kwasababu kila mtu anafanya biashara fulani kwa kuwa anatarifaa kamili kuhusu biashara hiyo na ana sababu za kutosha za kufanya biashara hyo,,. Hivyo usiwe mtu wa kufuata mkumbo bali tafuta kwanza kujua biashara unayo taka kufanya ndipo uanze kufanya...!
Andaaa Mikakati Yako Au Malengo Yako Ya Biashara Panga Kwenye Karatasi Vile Unavyotaka Biashara Yako Iwe. Weka Miundo Ya Biashara Yako Kabla Hujaanzaa Kufanya Biashara..',! Hakika Kwa Kufanya Hvi Biashara Yako Itakuwa Babu Kubwa. THINK BIG U WIL

13/11/2016

"MAFAFANUZI YA NJIA ZA KUPATA MTAJI!!"
A:ku2mia Taaluma Yako
Ikiwa unataaluma fulani ambayo umesomea, au uliyo pata kutoka mahali fulani bas unaweza kui2mia k**a mtaji wa kkuwezesha kufany biashara..
B:KU2MIA RASILIMALI ZAKO
Pia unaweza ku2mia rasilimali zako k**a mtaji wa biashara kwa kuviuza, rasilimal hzo n k**a nyumba, gari, mashamba, vwanja nk.
C:KUTAFUTA KAZI KWA MUDA
Unaweza kutafuta kazi kwa muda ili kujipatia kias fulan kinachoweza ku2mika kma mtaji wa kukuwezesha kufanya biashara. na baada yakupata kias fulan unacho fikir knatosha kuwa mtaji waweza acha hyo kazi na kufanya biashara.
D:KUWEKA AKIBA
Waweza kuweka akiba kutoka kwenye shughuli zako za kila cku, yaan hcho kias kidogo unachopata kwa cku, kwa wik au kwa mwezi, kikihifadhiwa vizuri kinaweza kuwa mtaji wa kukuwezesha kufanya biashara. unatenga kiasi fulan cha fedha zako, mfano: kwa sku unapata 20,000 tenga kila sku 5,000*mwezi 1=150,000 bas waweza kuendelea namna hii mwsho lengo lako litatimia. kwa mfano kwa mwaka unakuwa na 180,0000Tz.$

13/11/2016

Somo: JINSI YA KUANZISHA BIASHARA NA UENDESHAJI WAKE!!.

Kwa uhakika biashara ndiyo jambo la msingi zaidi ambalo huweza kupunguza umasikini kwa urahs zaidi katika zama hz za maendeleo yanayokuwa kwa kasi.
Ni madhumuni yangu kwamba page hi itakupa nuru ya kuona pale ww mwenyewe ulipo simama kuhus jambo hli. Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Mafundisho Haya Pia Masomo Haya Yanafaa Kusoma Na Wafanyabiashara Wakubwa Kwa Wadogo, Matajiri Na Wasio Matajiri.
A:JINSI YA KUPATA MTAJI WA KUFANYA BIASHARA
Huwezi Kuanzisha Biashara Bila Kuwa Na Mtaji. Kwa Sabab Mtaj Ndio unaokuwezesha kufanya biashara. pia ukiwa na afya njema ambayo mungu amekupa huo ni mtaj tosha!!, kwa sa7bu ukiwa hauna afya njema huwez kufanya chochote, ndio maana k**a mungu amekujalia mtaji huu wa kwanza bs mtaji wa kukuwezesha kufanya biashara utapata tu.
A1:NJIA ZA KUPATA MTAJI
A:kutumia Taaluma Yako
B:ku2mia Rasilimali Zako
C:kutafuta Kazi Kwa Muda
D:kuweka Akiba
Njia Zote Hizi Zaweza Kukusaidia Kuweza Kupata Mtaji Wa Kufungua Biashara Unayotaka..

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Enterprenuer Ship/ujasilia Mali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share