Fursa mafanikio halisi

Fursa mafanikio halisi Nafundisha biashara itakayokupa kipato endelevu hivyo utajikwamua kiuchumi na kuwa na uhuru wa pesa

NATAFUTA AINA NNE (4) ZA WATU1. MIMI NINA AJIRA LAKINI madeni yameniandamaKipato changu hakikidhi mahitaji yangu yote.-K...
24/07/2026

NATAFUTA AINA NNE (4) ZA WATU
1. MIMI NINA AJIRA LAKINI madeni yameniandama
Kipato changu hakikidhi mahitaji yangu yote.
-Kutafuta kipato cha ziada
-Napenda kusafiri ila kipato hakitoshi
-utulivu kwenye biashara

2. Mimi sina AJIRA LAKINI nahitaji kuwa imara kifedha
-Nataka kujenga urithi kwa familia yangu
-Nimechoka kukaa nyumbani bila kufanya chochote

3. MIMI NI MWANACHUO/MUHITIMU LAKIN
-Nahitaj kipato sijui pa kuanzia
-Nina mtaj sijui cha kufanya

4. MIMI NAPENDA LIFESTYLE NAPENDA KUSAFIR DUNIA
LAKINI SIJUI PA KUANZIA..

2026 NINA PLAN NZURI SANA YA BIASHARA, AMBAYO NITAKUSIMAMIA HATUA KWA HATUA KUHAKIKISHA UNATIMIZA NDOTO ZAKO. JUMAPILI HII TUTAKUWA SINZA DAR ES SALAAM

*VIGEZO*
1. Uwe na Ndoto kubwa
2. Uwe Tayari kujifunza

K**A UNAHITAJ TUMA NENO BIASHARA KWENDA WHATSAPP
NO 0656456202@

🌟 Je, unatamani kuwa na chanzo cha kipato kinachoendelea kukua bila kuathiri shughuli zako za kila siku?Karibu kwenye mk...
14/06/2026

🌟 Je, unatamani kuwa na chanzo cha kipato kinachoendelea kukua bila kuathiri shughuli zako za kila siku?

Karibu kwenye mkutano maalum wa fursa ya biashara yenye KIPATO ENDELEVU. Utajifunza namna ya kujenga kipato cha ziada na kufungua milango ya mafanikio ya kifedha.

Usikose! Huenda huu ukawa mwanzo wa mabadiliko makubwa katika maisha yako

πŸ“ž 0656456202 – Naomi Sawike

🌟 Mafanikio huanza na uamuzi  wako mmoja wa kukua!Karibu kwenye mkutano wetu ujifunze kumiliki biashara kubwa kwa mtajib...
24/05/2026

🌟 Mafanikio huanza na uamuzi wako mmoja wa kukua!

Karibu kwenye mkutano wetu ujifunze kumiliki biashara kubwa kwa mtajibmdogo, uunganishwe na watu sahihi, na ufungue milango ya fursa mpya za kiuchumi.

πŸ”₯ Usikose nafasi hii adhimu ya kubadilisha maisha yako!

πŸ“ Mwenge Social Hall
πŸ—“ 31/5/2026
⏰ Saa 7 mchana

πŸ“ž Director Naomi β€” 0656456202

09/03/2026

siku ya wanawake duniani ilitimia kihivyo

09/03/2026

Ktka kusherehekea siku ya wanawake duniani, tulikuwa pale Suma jkt mwenge Mambo yalikuwa super

09/03/2026

Mabadiliko ya kweli huanza pale unapochukua hatua binafsi, si kusubiri mtu aje akushike mkono. Kila hatua ndogo unayopiga leo, ndiyo inajenga kesho yako. Watu wanaweza kukushauri na kukutia moyo, lakini jukumu la kubadilika lipo mikononi mwako. Jiamini, simama imara, weka malengo yako wazi na uyafanyie kazi kwa nidhamu. Kumbuka, hakuna kinachobadilika kwa maombi pekee bila vitendo. Anza leo, si kesho, kwa sababu muda bora wa kuijenga version bora ya wewe mwenyewe ni sasa.
Thubutu, Anza safari yako yamafanikio leo.

mafanikio Ni mchakato, HAYAJI GHAFLA K**a chafyaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Address

Sinza, Africasana
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255656456202

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa mafanikio halisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fursa mafanikio halisi:

Shortcuts

Share