08/10/2023
βπππππππππ πππππβπ
Hongereni Sana & Robert Simon & Godson Mgina Kwa Kupanda Cheo Na Kuwa πππππ πππ πππππππππππππͺπ.
=> ANETH MALLYA Nilikutana Nae 2019 Hapa Instagram, Nikamshirikisha Fursa Yetu Ya Kufanya Biashara Akiwa Chuo Mwaka Wa Kwanza, Akaipenda Na Akawa Tayari Kuanza Kuifanyia Kazi Kwa Mda Wake Wa Ziada Anavyotoka Darasani,Akafanikiwa Kumaliza Chuo Na Kuanza Kufanya Biashara Kwa Mda Wake Wote. Amekuwa Akifanya Kazi Kwa Bidii Kujenga Biashara Yake Kila Siku,Na Kutimiza Malengo Yake Huku Akifanya Kazi Na Vijana Wengine Pia Kuwaonyesha Namna Gani Wanaweza Kufanikiwa Kupitia Mfumo Wetu wa Kufanya Biashara. And Today We Celebrate Your Success πππ₯π₯
=> ROBERT SIMON, Pia Alikutana na Hii Biashara Kupitia Social Media baada tu ya Kumaliza Form 6 Akiwa Anajiandaa Kwenda Chuo.Baada ya kupitia Changamoto Nyingi Kidogo za Kimaisha,Ikabidi atafute Kitu cha kufanya And Ndipo Akakutana na Biashara Tunayoifanya Which Was The Best Option Kwake.Akaanza Kuifanyia Kazi Kwa Bidii Biashara Yake Kila Siku Na Kutimiza Malengo Huku Akifanya Kazi Na Vijana Wengine Pia Kuwaonyesha Namna Gani Wanaweza Kufanikiwa Kupitia Mfumo Wetu wa Kufanya Biashara.
And Today We Celebrate Your Success πππ₯π₯
=> Godson Mgina,Alikutana Na Hii Biashara Akiwa Chuo IFM. Akaanza Kuifanyia Kazi Kwa Mda Wake Wa Ziada,Amefanikiwa Kumaliza Chuo, and Siku zote amekua Akiifanyia Kazi Biashara Yetu Kwa Mda Wake Wa Ziada Huku Akitimiza Malengo Yake Na Kuwaonyesha Vijana Wengine Namna Wanaweza Kufanikiwa Kupitia Mfumo Wetu Wa Kufanya Biashara. And Today We Celebrate Your Success πππ₯π₯
KUWA SUPERVISOR, MEANS MORE MONEY IN YOUR POCKET ππ
Tunafurahia Sana Hiii hatua yenu Mliopiga kwenye Biashara Zenu,Inazidi kuonyesha kuwa Kila kitu KINAWEZEKANA Kwa yeyoye yule atakaeamua Kupambana Bila Kukata Tamaa.
ππ
πππ ππππ ππ ππππ πππ πππ ππππππππ πππππ, πππππ πππ ππππ ππ ππ πππ π
ππ ππππ πππ
ππππππππ.
πβ