Famo investment

Famo investment Famo investment

TANGAZOWanahitajika madreva wawili wa kuendesha gari ndogo kumpeleka bosi kazini na kumrudisha mshahara ni 250000, dreva...
29/02/2024

TANGAZO
Wanahitajika madreva wawili wa kuendesha gari ndogo kumpeleka bosi kazini na kumrudisha mshahara ni 250000, dreva mwenye leseni, mawasiliano 0748815353 au 0762094446

TangazoWanahitajika madreva wawili wa kuendesha gari ndogo wenye leseni,,, kazi kumpeleka bosi kazini na kumrudisha, msh...
29/02/2024

Tangazo
Wanahitajika madreva wawili wa kuendesha gari ndogo wenye leseni,,, kazi kumpeleka bosi kazini na kumrudisha, mshahara 250000, hii NI kwa wakazi waliopo dar es salaam tu, kwa aliye tayar apige 0748815353 au 0762094446, ahsanteni

TANGAZO TANGAZOAnahitajika dreva wa kuendesha gari ndogo kumpeleka bosi kazini na kumfuata mwanafunzi shuleni, mshahara ...
29/02/2024

TANGAZO TANGAZO
Anahitajika dreva wa kuendesha gari ndogo kumpeleka bosi kazini na kumfuata mwanafunzi shuleni, mshahara 250000, hii na kwa aliyeko dar tu, eneo la kazi ni ukonga banana, kwa aliye tayar anitafute kwa namba zifuatazo 0748815353 au 0762094446

Karibu ujipatie wadada bora wa kazi za ndani
12/01/2024

Karibu ujipatie wadada bora wa kazi za ndani

TANGAZOWanahitajika wahudumu watano wa bar, maeneo ni gerezan kariakoo, malipo elfu 80 kwa mwezi, kwa mawasiliano zaidi ...
08/11/2023

TANGAZO
Wanahitajika wahudumu watano wa bar, maeneo ni gerezan kariakoo, malipo elfu 80 kwa mwezi, kwa mawasiliano zaidi wasiliana na meneja kwa namba zifuatazo 0748815353, siku ya kuripoti NI kesho tarehe 9

Tangazo! Tangazo!Wanahitajika vijana 10 wa kiume kwa ajili ya kazi ya kuuza na kusambaza mayai, umri kuanzia miaka 17 mw...
14/10/2023

Tangazo! Tangazo!
Wanahitajika vijana 10 wa kiume kwa ajili ya kazi ya kuuza na kusambaza mayai, umri kuanzia miaka 17 mwisho 20, malipo kwa mwezi elfu 80 kula na kulala ni kwa bosi, unapata Milo mitatu kwa siku, kijana changamkia fursa! Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na meneja 0762094446, kazi hii utolewa bure kabsa hakuna malipo yoyote, epuka mataperi, ahsante.

14/10/2023

TANGAZO TANGAZO
Wanahitajika vijana 10 wa kiume kwa ajili ya kuuza mayai, malipo elfu 80 kwa mwezi, kula na kulala kwa bosi,, kwa anayehitaji awasiliane na meneja kwa namba 0762094446, umri unaohitajika ni miaka 17 mwisho 20

02/07/2023

Wanahitajika wahudumu wanne wa bar, piga simu Leo upelekwe kazin, mawasiliano 0762094446, wahi nafas ni chache

27/06/2023

Wanahitajika wahudumu watano wa bar maeneo ni gerezani kariakoo mshahara ni laki moja! Kwa mwezi,,mawasiliano 0762094446

20/06/2023

Wanahitajika wadada wawili wahudumu wa bar mshahara laki moja, kwa anayehitaji mpigie meneja 0762094446, wanahitajika kwa haraka

05/06/2023

Karibu famo upate dada wa kazi za ndani aliye Bora na mwaminifu kwa gharama nafuu kabisa
Karibuni sana

Address

Dar Es Salaam
PATAWAFANYAKAZIBORA

Telephone

+255762094446

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Famo investment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Famo investment:

Share