Fursa ya biashara

Fursa ya biashara KARIBU UJIFUNZE NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA KUBWA KWA MTAJI MDOGO mawasiliano zaidi piga:255711717053

Je….na wewe una Maswali K**a Haya?
06/10/2023

Je….na wewe una Maswali K**a Haya?

Hongeraa Mr Ramo kwa kujiingizia laki 900,000 kwa week.
26/09/2023

Hongeraa Mr Ramo kwa kujiingizia laki 900,000 kwa week.

AMUA KUWA MJASILIAMALI MAPEMA KABLA KUSTAAFU.
25/09/2023

AMUA KUWA MJASILIAMALI MAPEMA KABLA KUSTAAFU.

Online Marketing…..Watu wapo tayari kujifunza mbinu Mpya kuimarisha vipato vyao na ku copy na mazingira
23/09/2023

Online Marketing…..Watu wapo tayari kujifunza mbinu Mpya kuimarisha vipato vyao na ku copy na mazingira

NASAIDIA KUANZISHA BIASHARA KUBWA KWA MTAJI MDOGO SIO KUTOA AJIRA….
23/09/2023

NASAIDIA KUANZISHA BIASHARA KUBWA KWA MTAJI MDOGO SIO KUTOA AJIRA….

Mwaka 2013 migahawa ya KFC ulifanya mauzo ya dola Bilioni 23 sawa na Tsh Trilioni 50.Kumbuka muasisi alikua FUKARA hadi ...
22/09/2023

Mwaka 2013 migahawa ya KFC ulifanya mauzo ya dola Bilioni 23 sawa na Tsh Trilioni 50.

Kumbuka muasisi alikua FUKARA hadi uzee wake (miaka 65) na akadhani ameshindwa maisha.

Akajaribu kujiua.

Lakini baada ya kutafakari akaona bado ana nafasi ya kujaribu tena.

Akajaribu japo katika umri wa uzee, na hatimaye Mungu akamfanikisha.Akawa BILIONEA MKUBWA sana nchini Marekani.Je wewe umekata tamaa ya maisha? Ulitamani kusoma lakini ukashindwa kwa kukosa ada?
Umesoma lakini umekosa ajira?Miaka inapita na unaona wenzio wanaajiriwa wewe uko tu nyumbani?Je Umejaribu biashara lakini kila wakati unapata tu hasara?Unahisi kukata tamaa?Unahisi Mungu amekuacha?Usikate tamaa.
Mungu hajakuacha.
Jipange tena na uanze upya.
Haujakawia bado.... Kitu kikubwa ni"Mtazamo" ( Attitude).Usikate tamaa ....Haijalishi mambo ni magumu kiasi gani.Una kila kitu cha kukufanya Ufanikiwe.Amua kubadili mtazamo ili kubadili Stori ya maisha yako.Inawezekana, anza sasa.!K**a umejifunza vitu tafadhali SHARE makala hii na rafiki/ndugu/jamaa wengi kadri uwezavyo...kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi.

Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ...
22/09/2023

Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...

Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.

Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4.

Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa.

Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba.

Akiwa na miaka 20, Mke aliamua kuondoka na mtoto.

Alishindwa hata katika jaribio la kumpata mwanae, na kuamua kumshawishi mkewe kurejea nyumbani.

Akiwa na miaka kati ya 18-22, alikua msimazi wa njia za reli lakini alishindwa akafukuzwa.

Baadae alijiunga na Jeshi lakini akafukuzwa pia.

Akatuma maombi shule ya sheria ila hakupata nafasi.

Akawa muuzaji wa Bima lakini alishindwa pia.

Hatimaye akapata ajira k**a mpishi na mwosha vyombo wa mgahawa mdogo.

Akiwa na miaka 65 alistaafu ajira yake ya kupika na kuosha vyombo katika mgahawa,

Baada ya kustaafu alipata mafao yake kutoka serikalini dola 105$, k**a Tsh 262,500.

Alidhani serikali imemuona k**a hajiwezi kabisa.

Akafanya jaribio la kujiua, akiamini hakuna thamani ya kuishi tena na kwamba ameshashindwa sana.

Hakufanikiwa hata katik jaribio lake hilo.

Akaamua kukaa chini ya mti na kuandika matarajio yake, Ila aliona ayaandike yale aliyoyakamilisha tayari.

Akagundua kuna mambo mengi hakuyafanya bado.

Akagundua lipo jambo moja ambalo anaweza kulifanya vizuri zaidi kuliko mtu yeyote yule anayemfahamu.

Na ilikua ni namna gani ya kupika.

Akaamua kuchukua dola 87$ k**a Tsh 217,500 kutoka kwenye Hundi yake ya pensheni na kununua kuku.

Akawakaanga kwa kuwachanganya na viungo anuai akapata mchanganyiko wa aina yake (unaovutia).

Akaamua kupita mlango kwa mlango kuwauza kwa majirani zake huko Kentucky.

Mchanganyiko ule ukapendwa sana na akaamua kuanzisha mgahawa wake uitwao Kentucky Fried Chicken (KFC)...
..uliokua ukitengeneza mchanganyiko wa kuku alioubuni.

Hatimaye biashara yake ikakua na akafungua migahawa mingi ya KFC nchini Marekani.

Mchanganyiko ule ukazidi kupendwa na kutanua wigo wa biashara yake.

Huyu si mwingine ni Colonel Harland Sanders mwanzilishi wa migahawa ya KFC duniani.

Licha ya kustaafu akiwa "fukara wa kutupwa" katika umri wa miaka 65, lakini hadi wakati anafariki (1980)...
..akiwa na umri wa miaka 90 alikua katika orodha ya mabilionea wakubwa nchini Marekani.

Kwa sasa migahawa ya KFC imeenea kote duniani katika nchi 123, Tanzania ikiwemo.

Na ni mgahawa wa pili mkubwa ulioenea zaidi duniani baada ya migahawa ya McDonald's.

Mwaka 2013 migahawa ya KFC ulifanya mauzo ya dola Bilioni 23 sawa na Tsh Trilioni 50.

Kumbuka muasisi alikua FUKARA hadi uzee wake (miaka 65) na akadhani ameshindwa maisha.

Akajaribu kujiua.

Lakini baada ya kutafakari akaona bado ana nafasi ya kujaribu tena.

Akajaribu japo katika umri wa uzee, na hatimaye Mungu akamfanikisha.

Akawa BILIONEA MKUBWA sana nchini Marekani.

Je wewe umekata tamaa ya maisha?

Ulitamani kusoma lakini ukashindwa kwa kukosa ada?

Umesoma lakini umekosa ajira?

Miaka inapita na unaona wenzio wanaajiriwa wewe uko tu nyumbani?

Je Umejaribu biashara lakini kila wakati unapata tu hasara?

Unahisi kukata tamaa?

Unahisi Mungu amekuacha?

Usikate tamaa.

Mungu hajakuacha.

Jipange tena na uanze upya.

Haujakawia bado.... Kitu kikubwa ni "Mtazamo" ( Attitude).

Usikate tamaa ....

Haijalishi mambo ni magumu kiasi gani.

Una kila kitu cha kukufanya Ufanikiwe.

Amua kubadili mtazamo ili kubadili Stori ya maisha yako.

Inawezekana, anza sasa.!

K**a umejifunza vitu tafadhali SHARE makala hii na rafiki/ndugu/jamaa wengi kadri uwezavyo...
..kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi.

Cc:
Devise Nazar

ENJOY YOUR DREAM CAR IAN BFSUMA CROWN LEADER (cl~crown leader)
22/09/2023

ENJOY YOUR DREAM CAR IAN BFSUMA CROWN LEADER (cl~crown leader)

"When I was a boxer in the 1970s, I was punched in the face by Joe Frazier, knocked out by Muhammad Ali, and knocked dow...
22/09/2023

"When I was a boxer in the 1970s, I was punched in the face by Joe Frazier, knocked out by Muhammad Ali, and knocked down a few times by Ron Lyle before I got up and won. All the fights had one thing in common: when they were over, I couldn't remember the pain. I forgot about my weak knees, the cuts, the blood in my eyes. Without the films of my fights, I would have completely taken them out of my mind. It's the same thing when you're going through tough times: Don't let pain and disappointment lodge inside.
- George Foreman

NI RAHISI UKIJIFUNZA NA UKAANZA KUFANYA….
22/09/2023

NI RAHISI UKIJIFUNZA NA UKAANZA KUFANYA….

22/09/2023
FAIDA ZA KUFANYA KAZI NASI.✍️1. FAIDA YA REJA REJAkampuni inakuwezesha kujipatia kipato cha papo kwa papo, kila siku kut...
21/09/2023

FAIDA ZA KUFANYA KAZI NASI.

✍️1. FAIDA YA REJA REJA
kampuni inakuwezesha kujipatia kipato cha papo kwa papo, kila siku kutokana na mauzo ya bidhaa mpaka 20% ya faida ya reja reja kwa kila bidhaa unayouza.

✍️2. BONUS ZA KILA MWEZI.
Bonus/kamisheni ya utendaji, bonus hii inatokana na utendaji wako wewe mwenyewe, na mwisho wa mwezi mahesabu hufungwa na kupata kamisheni kuanzia 5%-28% kutokana na mauzo yako na ya team yako.
Bonus ya uongozi, hii unaipata baada ya kufika katika ngazi ya uongozi (leadership). Ambapo utapata nyongeza ya 3% ya mauzo ya watu ambao hawajafikia ngazi ya ongozi katika team yako.
Gawio LA faida ya ulimwengu. Hapa kampuni inakupa kuanzia 0.75%-3% ya faida ya mauzo yoote yaliyofanyika katika kampuni ya BF SUMA duniani

✍️3. TRIP ZA KIMATAIFA.
Hapa unajipatia nafasi ya kusafiri kwenda likizo ya siku 8 katika nchi moja wapo ambayo imechaguliwa kwa mwaka husika ambapo yaweza kuwa ni Safari yenye thamani ya
Tsh Milioni 9.9 ($4000) mpaka Tsh Milioni 4.8 ($2000)

✍️4. MAGARI
Hapa kampuni inatoa fursa ya wewe kujipatie gari endapo k**a utakidhi vigezo vya mauzo kwa mwaka kwenye kampuni. Gari yaweza kuwa yenye thamani ya kuanzia Milioni 28 ($12,500) au Luxury Car yenye
Thaman ya kuanzia Milioni 57 ($25,000)

✍️5. NYUMBA
Kampuni inakupa nafasi ya kumiliki nyumba yako yenye thamani ya kuanzia Tsh Milioni 400 eneo lolote chini, pale utakapokidhi vigezo vya mauzo kwa miaka mitatu
tuu.
Ungana nasi leo Piga

☎️☎️☎️☎️☎️☎️

+255711717053

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255711717053

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa ya biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fursa ya biashara:

Share