Tanzania Food Processing Club

Tanzania Food Processing Club Tanzania Food Processing club is a Consultancy firm dealing with agriculture products processing an

29/05/2026

Plastic crushee for sale
+255744160725/652821855/753728472/658034103

bei za mifuko transparent05kg 70010 kg 80025kg. 900Hizi zikiwa printedplain 05kg-65010kg-75025kg-850
19/09/2022

bei za mifuko transparent
05kg 700
10 kg 800
25kg. 900
Hizi zikiwa printed

plain
05kg-650
10kg-750
25kg-850

kesho itajijua yenyewe
18/09/2022

kesho itajijua yenyewe

18/09/2022

Kiwanda Cha kukamua mafuta ya n**i

25/12/2017

TFPC- would like to wish you all Merry Christmas and Happy new year 2018.May it be filled with health, happiness and spectacular success.

19/12/2017

Timiza ndoto zako kwa kusindika bidhaa zitokanazo na kilimo na ufugaji , Kampuni ya TANZANIA FOOD PROCESSING CLUB ikiwa na wataalam waliobobea katika fani ya usindikaji inakuletea huduma ya ushauri na upatikanaji wa mashine mbalimbali za usindikaji . Karibuni saaana ufufue ndoto zako za kumiliki kiwanda.

Jipatie mashine bora ya kukamua mafuta kutoka kwenye nafaka aina zooote. Ina uwezo wa kukamua mafuta kutoka kwenye n**i na mbegu za mlonge.

Specifications:
Materils: SS 304
Voltage: 220V
Power: 400watts
Production capacity: 4-6kg per hour
Raw Material: All Cereals

TUCHEKI KUPITIA HIZI NAMBA ZETU HAPA CHINI:-

0713084531
0744160725
0622595437




sangija

Karibu  ujipatie mashine bora na zakisasa kabisa za  kutengeza vyakula vya wanyama aina zote. WASILIANA NASI KUPITIA HIZ...
11/12/2017

Karibu ujipatie mashine bora na zakisasa kabisa za kutengeza vyakula vya wanyama aina zote.

WASILIANA NASI KUPITIA HIZI NAMBA ZETU HAPA CHINI:- 0713084531
0744160725
0622595437




sangija

  ()•  •  •KARIBU TANZANIA YA VIWANDA IMEWADIA. Kwa wale woote  wenye ndoto za kusindika bidhaa zitokanazo na kilimo na ...
28/10/2017


()
• • •
KARIBU TANZANIA YA VIWANDA IMEWADIA.
Kwa wale woote wenye ndoto za kusindika bidhaa zitokanazo na kilimo na ufugaji , Kampuni ya TANZANIA FOOD PROCESSING CLUB ikiwa na wataalam waliobobea katika fani ya usindikaji inakuletea Huduma ya ya ushauri na upatikanaji wa mashine mbalimbali za usindikaji . Karibuni saaana ufufue ndoto zako za kumiliki kiwanda *Jipatie mashine ya kutengeneza ice cream za rambaramba*

COMLETE SET MASHINE YA KUGANDISHA DAKIKA 15+MOLDS YAKE YA 40PCS+PACKING MASHINE YAKE+1,000pcs za packages za kuanzia kazi, bei 3.8M

TUCHEKI KUPITIA HIZI NAMBA ZETU HAPA CHINI:- 0713084531
0744160725
0622595437




sangija

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Food Processing Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Food Processing Club:

Share