Push Mobile TZ

Push Mobile TZ Mobile Marketing & Interactive Communications Firm: takes any idea and monetizes it to mobile content

PUSH is a wireless application services provider of mobile entertainment and Premium SMS Services. For content, PUSH partners with music industry leaders and key media and entertainment groups.

Kuwa wa kwanza kupata habari mbalimbali kupitia huduma yetu ya Bulk SMS.
20/11/2017

Kuwa wa kwanza kupata habari mbalimbali kupitia huduma yetu ya Bulk SMS.

Tunakutakia Jumapili njema.Tupia comment ya mstari wa bibilia unaoukubali sana.
19/11/2017

Tunakutakia Jumapili njema.

Tupia comment ya mstari wa bibilia unaoukubali sana.

Je unapata shida kuwafikia waumini wako kwa wakati na kuwapa taarifa mbalimbali au hata kuwakumbusha muda wa ibada na ni...
02/11/2017

Je unapata shida kuwafikia waumini wako kwa wakati na kuwapa taarifa mbalimbali au hata kuwakumbusha muda wa ibada na nini watarajie kusikia kuwatia moyo, Tumia huduma ya Push Mobile bulk sms inayokuwezesha kufanya hivyo kwa urahisi kabisa

"Je we ni msikilizaji wa Voice Of Africa?Juinge na wadau wenzako katika kushiriki kwenye kipindi cha Chaguo La Msikiliza...
01/11/2017

"Je we ni msikilizaji wa Voice Of Africa?Juinge na wadau wenzako katika kushiriki kwenye kipindi cha Chaguo La Msikilizaji kupitia njia ya message. Kushiriki, andika neno CGL likifwatiwa na chaguo ya wimbo wako kwenye eneo la message na utume kwenda 15678. Imewezeshwa Na M Chat.
"

Jadiliana na mwenza wako juu ya mahali ambapo mnaweza kwenda kukaa na kuzungumzia tofauti zenu. Kuzungumzia nje ya nyumb...
31/10/2017

Jadiliana na mwenza wako juu ya mahali ambapo mnaweza kwenda kukaa na kuzungumzia tofauti zenu. Kuzungumzia nje ya nyumbani husaidia sana kupatikana kwa utatuzi.

Tembelea Ofisi zetu tukujuze Zaidi au unaweza kuwasiliana nasi kupitia,+255684566398Karibu tukurahisishie biashara yako.
30/10/2017

Tembelea Ofisi zetu tukujuze Zaidi au unaweza kuwasiliana nasi kupitia,
+255684566398
Karibu tukurahisishie biashara yako.

Nani kuibuka kidedea leo???????
28/10/2017

Nani kuibuka kidedea leo???????

Monitor, Monetize and Mobilize your audience by leveraging SMS technology to handle all of your interactive needs TODAY!...
26/10/2017

Monitor, Monetize and Mobilize your audience by leveraging SMS technology to handle all of your interactive needs TODAY! With a robust platform that facilitates audience engagement, M Chat will allow you to communicate with your listeners and strategize according to real time data. Contact us Today for a feature presentation!

Unahitaji walau vipande 5 vya matunda na mboga za majani kwa siku kwani vyakula hivi vina nyuzi muhimu (fibre) na vitami...
25/10/2017

Unahitaji walau vipande 5 vya matunda na mboga za majani kwa siku kwani vyakula hivi vina nyuzi muhimu (fibre) na vitamini.

Kuwa wa kwanza kupata habari mbalimbali kupitia huduma yetu ya Bulk SmS
24/10/2017

Kuwa wa kwanza kupata habari mbalimbali kupitia huduma yetu ya Bulk SmS

Jambo la survey linaweza kuchukua muda mrefu sana na pia linaweza kuchosha sana.Ukiwa na huduma yetu ya mSurvey itakurah...
23/10/2017

Jambo la survey linaweza kuchukua muda mrefu sana na pia linaweza kuchosha sana.Ukiwa na huduma yetu ya mSurvey itakurahisihsia kila kitu na kukuwezesha kumaliza survey yako mapema na kwa urahisi zaidi.

Weekend hii utakuwa wapi na washkaji?
20/10/2017

Weekend hii utakuwa wapi na washkaji?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Push Mobile TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share