timiza ndoto

timiza ndoto fursa za biashara Kwa watu wote

MAFUNZO  YA  BIASHARA✓Napataje wazo la kuanzisha biashara?✓Vipi nitaanzisha biashara?✓Vipi naweza kujiajiri✓Biashara Ime...
08/09/2023

MAFUNZO YA BIASHARA
✓Napataje wazo la kuanzisha biashara?
✓Vipi nitaanzisha biashara?
✓Vipi naweza kujiajiri
✓Biashara Imekua ngumu?
✓Vipi nitaepukana na changamoto?
✓Nawezaje kufanya Biashara Kwa mtaji mdogo
Nikuhakikishie kwamba njoo upate mafunzo ya biashara.

0699 0699 712 444

KARIBU KWENYE MAFUNZO YA BIASHARA
Yatakayo kusaidia kukuza uchumi wako kutoka kwenye kipato kidogo kwenda kipato kikubwa
Ikiwa wewe ni mama wa nyumbani, ni Binti wa kazi za ndani ,mfanyabiashara mdogo , Mwanafunzi wa chuo unahitaji Fursa hakikisha usiikose niyakipekee.

Changamoto kubwa kwa Vijana wengi hivi sasa ni ukosefu wa KIPATO ENDELEVU kutokana na ukosefu wa Ajira , mishahara midogo au kushindwa kuanzisha Biashara.

Hali hii husababisha kundi kubwa la vijana kuwa tegemezi kwa ndugu , kushindwa kujikimu ua kujipatia mahitaji muhimu , na pengine kushindwa kumudu vitu wanavyo vitamani k**a vile Kula vizuri , mavazi mazuri , kuishi nyumba nzuri ,kumiliki simu nzuri au hata kusaidia wazazi wao walio wasomesha kwa Tabu.

Nipo nafanya Biashara yangu vizuri Online na hivi sasa nataka kukushirikisha wewe kijana namna ya kuweza kutengeneza Biashara yenye kukuingizia Faida ya Tsh Laki 5 Mpaka Milioni 1 kwa mwezi Kwa Mtaji Mdogo.

Ikiwa unatafuta au unafikira ufanye Biashara gani au hujui uanzie wapi , basi hii idea yangu inaweza ikawa suluhisho kwako..Tuzungumze tuone Jinsi tunaweza kufanya Biashara pamoja.
Nitafute ili uweze kuwepo kwenye huu mkutano.
Tuma neno

NAITAJI MAFUNZO kwenda no 0699 712444

Address

Sinza
Dar Es Salaam
16108

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when timiza ndoto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share