Trisha products

Trisha products we produce liquid soap products such as power wash shampoo, top clean body shower and power clean ha

TEAM     THUBUTU KUTUMIA UJIONEE UTOFAUTI........!!!!!!!!!!!!!!!!!
20/05/2017

TEAM
THUBUTU KUTUMIA UJIONEE UTOFAUTI........!!!!!!!!!!!!!!!!!

trisha_productsTOP CLEAN: - Ni sabuni ya maji iliyotengenezwa maalumu kwa kuogea kwa watu wa rika zote.    -    In haruf...
17/05/2017

trisha_productsTOP CLEAN: - Ni sabuni ya maji iliyotengenezwa maalumu kwa kuogea kwa watu wa rika zote.
-
In harufu nzuri ya kuvutia,inaondoa taka mwili zote inalinda ngozi yako na bakteria wa ngozi na inaacha ngozi yako ikiwa laini na yenye mvuto.

K**a ungependa kuwa wakala wetu wa usambazaji tafadhali wasiliana nasi kwa simu zifuatazo:

0715436477 au 0673202847
Namba zote zipo what's app

trisha_productsPOWER WASH    -Hii ni Shampoo nzuri sana kwa afya ya nywele zako. -Power wash shampoo imetengenezwa kwa m...
17/05/2017

trisha_productsPOWER WASH
-Hii ni Shampoo nzuri sana kwa afya ya nywele zako. -Power wash shampoo imetengenezwa kwa mmea wa Alovera na tunda la Ovacado ikiwa pia na vitamini E, nakuzifanya nywele zako kuwa safi zenye kung'aa sana na kuleta mvuto wa kipekee kabisa. -Power wash shampoo ina ondoa mba, inarefusha nywele na kuzifanya kuwa nyeusi na zenye afya bora kabisa.
K**a ungependa kuwa wakala wa usambazaji Tafadhali wasiliana nasi kwa simu:
0715436477 au 0673202847
Namba zote zipo what's app.

trisha_productsPOWER CLEAN: -Power clean ni sabuni ya maji yenye harufu nzuri ya kuvutia sana, inaondoa baktria kwenye m...
17/05/2017

trisha_productsPOWER CLEAN: -Power clean ni sabuni ya maji yenye harufu nzuri ya kuvutia sana, inaondoa baktria kwenye mikono yako na kuiacha misafi kabisa, haikaushi ngozi wala haichubui mikono yako. -Power clean huifanya ngozi ya mikono yako kuwa salama na asili,yenye muonekano mzuri. -Inapatikana kwa bei ya jumla na reja reja

K**a ungependa kuwa wakala wetu wa usambazaji tafadhali wasiliana nasi kwa simu zifuatazo:

0715436477 au 0673202847
Namba zote zipo what's app

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255754019239

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Trisha products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category