Wadau wadau wa kaskazini mwa Tanzania na kusini

Jumatatu amka na hiiPakua Application ya Yara Farm Care mkulima itakusaidia▪︎ Kupata taarifa muhimu ni kipi upande utumi...
21/10/2024

Jumatatu amka na hii

Pakua Application ya Yara Farm Care mkulima itakusaidia
▪︎ Kupata taarifa muhimu ni kipi upande utumie mbolea gani
▪︎ Kufahamu maduka ya pembejeo karibu yako
▪︎ Kutatua changamoto za shamba kwa msaada wa karibu kutoka kwa wataalam wa kilimo
▪︎ Kufahamu hali ya hewa na kujiandaa kupambana na ukame, mafuriko

Inapatikana Playstore: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.yara.farmhealth.production&pcampaignid=web_share

Appstore: https://apps.apple.com/tz/app/yara-farmcare/id6514303707

ni

Ingiza shamba lako kwenye ramani uhudumiwe na wataalam wa kilimo.Yara Farm Care ni application sahihi kwa wakulima ambay...
15/10/2024

Ingiza shamba lako kwenye ramani uhudumiwe na wataalam wa kilimo.

Yara Farm Care ni application sahihi kwa wakulima ambayo inawapatia nafasi ya wakulima kuingiza eneo la shamba wanalolima kwenye ramani maalum inabainisha
▪︎ Aina ya udongo ulipo
▪︎ Hali ya hewa ya wakati huo

Hii huwezesha wataalam wa kilimo kukupatia mbinu sahihi jinsi ya kulima kisasa, kuepukana na magonjwa na kutunza udongo.

Ipakue na ingiza eneo lako
Playstore: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.yara.farmhealth.production&pcampaignid=web_share

Appstore: https://apps.apple.com/tz/app/yara-farmcare/id6514303707

Yara Farm Care Mkulima mwenye ujuzi wa kisasa huvuna vyema.Tatua changamoto za kilimo kwa kutumia Application ya Yara Fa...
10/10/2024

Yara Farm Care

Mkulima mwenye ujuzi wa kisasa huvuna vyema.

Tatua changamoto za kilimo kwa kutumia Application ya Yara Farm Care ni huduma rahisi kiganjani
▪︎ Utapata taarifa za masoko mazao
▪︎ Utafahamu maduka ya pembejeo karibu yako
▪︎ Utajua viuatilifu na mbolea bora ya kutumia
▪︎ Utaingiza taarifa za shamba lako kwenye ramani

Pakua leo uitumie
Playstore: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.yara.farmhealth.production&pcampaignid=web_share

Appstore: https://apps.apple.com/tz/app/yara-farmcare/id6514303707

05/10/2024

Sisi wakulima wa Geita tunasubiri kwa hamu hili ili tufahamu msimu upi tulime matikiti, nanasi na nyanya kuepusha gharama

𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨 𝗞𝗨𝗦𝗨𝗛𝗨 𝗠𝗞𝗢𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗚𝗔 1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.2. Shule ya kwanza ya Sekondari- T...
02/09/2024

𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨 𝗞𝗨𝗦𝗨𝗛𝗨 𝗠𝗞𝗢𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗚𝗔

1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.

2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).

3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.

4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949.

5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern Hospital) - Tanga, Cliff Block 1895

6. Hoteli ya Kwanza ya Kisasa Tanzania - Tanga, Kaiserhof Hotel 1906.

7. Upandaji wa Mkonge wa Kwanza Afrika - Tanga, Pangani 1900.

8. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania ni msukumo kutoka kwa Kiwanda cha Mkonge Tanga kwani kilichangia zaidi ya asilimia 60 ya Pato la Taifa.

9. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mwaka 1891.

10. Tanga ilikuwa na Soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania - 1903 Soko la Uzunguni.

11. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Afrika ilipigwa Tanga - Novemba 1914.

12. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza Tanzania - Magila Msalabani Muheza - 1840s.

13. Tanga ilitoa padre mzaliwa wa kwanza (Mlutheri) nchini Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).

14. Zaidi ya 95% ya Kata za Jiji la Tanga zina maji ya kutosha, hivyo kuwa jiji pekee nchini.

15. Tanga ina mfumo wa maji taka kongwe na unaofanya kazi Afrika Mashariki.

16. Tanga inashikilia rekodi ya jiji lenye mpangilio mzuri zaidi Afrika Mashariki.

17. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania miaka ya 1950.

18. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme nchini Tanzania tangu mwaka 1905 huko Muheza Amani.

19. Bandari ya Tanga ndiyo bandari inayohudumu kwa muda mrefu zaidi Afrika Mashariki (Rejea Mtandao wa Bandari ya Tanga).

20. Tanga ina mnara wa saa kongwe zaidi nchini Tanzania (pengine Afrika) 1901.

Kuingia kwenye soko la sasa la ajira ujuzi wa kidigitali ni muhimu.Mwanzilishi wa  atakuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye ...
29/08/2024

Kuingia kwenye soko la sasa la ajira ujuzi wa kidigitali ni muhimu.

Mwanzilishi wa atakuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye warsha ya akibanisha ni Soft Skills zipi vijana wanapaswa kuwa nazo.

Fursa zipi ambazo zinaweza kumuajiri akiwa na simu yake tu

Kijana mhitimu wa kidato cha 6, chuo hii ni fursa kwenye

Gharama ya warsha hii ni Tsh 20,000 ambapo mnufaika utapata cheti, connection mpya, vinywaji na viburudisho

Ni 13.09 pale Buni Hub

Kupata tiketi piga 0694 490 578

Address

KINONDONI
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wadau posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share