Yuzo Company Ltd

Yuzo Company Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yuzo Company Ltd, Business service, rajabawami96@gmail. com, Dar es Salaam.

TUNATENGENEZA FORMULA BORA ZA VYAKULA VYA MIFUGO.Zaidi ya 75% ya gharama za ufugaji zinatokana na chakula.  Zipo njia mb...
15/09/2020

TUNATENGENEZA FORMULA BORA ZA VYAKULA VYA MIFUGO.

Zaidi ya 75% ya gharama za ufugaji zinatokana na chakula.

Zipo njia mbalimbali za kupunguza gharama za ufugaji mojawapo ni kuandaa "fomula" yako mwenyewe.

Fomula ya chakula ni muongozo sahihi wa jinsi gani utachanganya vyakula mbalimbali kupata chakula ambacho kinakidhi mahitaji ya mnyama husika.

Fomula za mifugo huwa hazifanani kwa sababu zifuatazo:

1. Mahitaji ya wanyama huwa yanatofautiana kulingana na umri na aina ya mfugo. Mfano: kuku kifaranga "chick starter" kinaprotini nyingi kwa ajili ya ukuaji wakati "finisher " kina protini ndogo.

2. Utofauti wa maeneo: kuna wafugaji wanakaa maeneo ambayo malighafi ya vyakula fulani vinapatikana kirahisi hivyo fomula zao zitaendana na maeneo husika. Mfano: mtu anaekaa singida basi tutamshauri atumie mashudu ya alizeti n.k.

Faida za kuwa na fomul yako yenye ubora:
1. Utakuwa na uhakika wa chakula unachokitengeneza kuwa kinakidhi mahitaji ya mnyama husika.

2. Utaboresha mavuno ya mazao ya mifugo.

3. Utapunguza gharama za kununua vyakula.

4. Urahisi wa kubadili fomula kuendana na upatikanaji wa malighafi za vyakula.

5. Utatengeneza chakula kwa gharama nafuu hivyo kuongeza faida. K**a inavyoonekana kwenye hizo picha hapo chini.

Sisi ni wataalamu wa mifugo ambao tunatoa huduma ya kutengeza fomula za chakula cha mifugo, kutoa ushauri wa ufugaji, kutoa ushauri wa wa vyakula na kubadilisha fomula kuendana na upatikanaji wa malighafi.

Gharama zetu za utengenezaji wa "fomula" ni nafuu sana zinategemea na aina ya fomula ambayo mfugaji atahitaji, na idadi ya fomula zitakazohitajika.

Kwa mawasiliano:
Simu: 0672476889 au 0678894753
Email: [email protected]

Karibuni sana
18/10/2018

Karibuni sana

16/07/2018

Get motivated

Karibu sanaaa
16/07/2018

Karibu sanaaa

hata mbuyu ulianza k**a mchicha.
16/06/2018

hata mbuyu ulianza k**a mchicha.

Makao makuu
24/03/2018

Makao makuu

Never ever
17/03/2018

Never ever

We never forget  you have a choice
03/03/2018

We never forget you have a choice

Ukweli usiopingika. Yuzo Company Ltd
02/03/2018

Ukweli usiopingika. Yuzo Company Ltd

Mzigo wa kutosha upo.  Piga 0672 476 889
02/03/2018

Mzigo wa kutosha upo. Piga 0672 476 889

24/02/2018

Yuzoinc

Address

Rajabawami96@gmail. Com
Dar Es Salaam
3000

Telephone

+255 672 476 889

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yuzo Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share