Darling drops

Call Directions

Darling drops wauzaji wa skin care products
body oils
scrub
body butter
serum
showergel
lipgloss

19/09/2026

Mabinti zetu nao wanapenda kupendeza 🥹🎀

Tumeleta dresses nzuri kutoka vetnam na za quality nzury kwajili ya baby girls. Perfect kwa birthday, sherehe au hata siku ya kawaida tu.

📩 DM/WhatsApp: 0683633964.

Made for her most special moments ​Gauni la kifalme lenye muonekano wa kipekee na vitambaa laini mno kwa ajili ya binti ...
06/09/2026

Made for her most special moments
​Gauni la kifalme lenye muonekano wa kipekee na vitambaa laini mno kwa ajili ya binti yako 🎀

​📲 Bonyeza link kwenye bio yetu kuweka oda WhatsApp.
🚚 Tunatuma mikoani kote Tanzania 🇹🇿
​

16/03/2026
Dry skin? Not anymoreOur bestselling Body Oil gives you that all day golden glow
11/02/2026

Dry skin? Not anymore
Our bestselling Body Oil gives you that all day golden glow

Je, unajua kwanini ngozi yako inahitaji Rose Rouge Body Butter zaidi ya lotion ya kawaida? 🤔​Body butter yetu imetengene...
05/02/2026

Je, unajua kwanini ngozi yako inahitaji Rose Rouge Body Butter zaidi ya lotion ya kawaida? 🤔
​Body butter yetu imetengenezwa maalum kwa ajili ya kuipa ngozi virutubisho vya ndani kabisa na kuacha mng'ao wa asili (soft glow).

Hizi hapa ni faida utazopata:
​✨ Unyevu Saa 24: Inatengeneza kizuizi asilia (moisture barrier) kinachozuia ngozi kupauka au kufubaa hata kwenye hali ya hewa ya jua au baridi.
​✨ Kulainisha Sehemu Sugu: Ni kiboko kwa magoti, viwiko na visigino vilivyokauka. Ngozi inakuwa laini k**a ya mtoto.
​✨ Harufu ya Strawberry: Inakuacha ukinukia vizuri sana siku nzima, bila kuhitaji hata pafyum.
​✨ Ngozi Yenye Afya: Inasaidia kurudisha rangi ya asili ya ngozi na kuifanya iwe na muonekano wa kuvutia (smooth texture).

💰 Bei: 25,000 Tsh tu!
📍 Tunapatikana: Dar es Salaam na Dodoma.
🚚 Mikoani: Tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
​
WEKA ODA YAKO SASA!
​Usikubali ngozi yako ipoteze mvuto. Jipatie yako leo:
📞 Piga/WhatsApp: 0683633964
📩 DM: Tutajibu ujumbe wako haraka

​ Dodoma NaturalGlow SelfCare

25 today Stronger, wiser, and more sure of myself than ever.I’ve grown, I’ve learned, and I’ve earned every version of t...
03/02/2026

25 today
Stronger, wiser, and more sure of myself than ever.
I’ve grown, I’ve learned, and I’ve earned every version of the woman I’m becoming.
Stepping into this new year with confidence, gratitude, and quiet power.
Happy birthday to me

Faida kuu za Body Butter:Unyevunyevu wa Muda Mrefu: Hufunga unyevu kwenye ngozi vizuri zaidi kuliko lotion, na kuifanya ...
02/02/2026

Faida kuu za Body Butter:

Unyevunyevu wa Muda Mrefu: Hufunga unyevu kwenye ngozi vizuri zaidi kuliko lotion, na kuifanya ifae kwa ngozi kavu sana.

Kulainisha na Kurutubisha: Ina mafuta mengi (k**a shea butter) yanayofanya ngozi kuwa laini, yenye afya, na mng'ao.

Kuondoa Ukavu na Mipasuko: Husaidia kurekebisha ngozi yenye mipasuko, hasa kwenye visigino, magoti, na mikono.

Kupunguza Makunyanzi: Huimarisha ngozi na kupunguza dalili za kuzeeka.

Ulinzi wa Ngozi: Hutoa safu ya ulinzi dhidi ya mazingira magumu k**a upepo mkali au baridi

Address

Mbez Beach
Dar Es Salaam
8888

Telephone

+255683633964

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Darling drops posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share