Soari online store

Soari online store Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Soari online store, Brand, Makumbusho stand, Dar es Salaam.

18/05/2026

MIGUU KUWAKA MOTO, KUA NA GANZI AU KUJAA . Haya ni matatizo ambayo yanaweza kukufanya ukakosa amani kabisa kwasababu kuna wakati hata kutembea inakua ngumu.

Suruhisho ni hivi viatu
Havitumii umeme Vinashtua misuli na kuchochea mzunguko wa damuvinaondoa shida za miguu kua na ganzi Miguu kuwaka moto Miguu kujaa Na shida zinginezo za miguu Pia vinachochea usingizi

Vinapatikana dukani kwetu MAKUMBUSHO DSM
Kwa bei ya sh 45,000 tu

K**a unahitaji tuwasiliane 0658 213 540.

13/05/2026

Mzani mmoja unakupa uwezo wa kujua uzito wa zaidi ya vitu 16, vilivyo mwilini kwako.

=unapima👇 Uzito wa mwili mzimauzito na asilimia ya mafuta mwilini BMIuzito na kiwango cha maji mwilini Metabolism protein kiwango cha misuli visceral fat- mafuta yanayozunguka organ k**a moyo figo N.k

Unatumiwa na watu wote na unabeba hadi kilo 180.
Bei yake ni 45,000 tu
Unaweza kuitumia hospital au hata nyumbani.

Mizani hii inapatikana dukani kwetu MAKUMBUSHO STAND DAR ES SALAAM.

Karibu Sana 0658 213 540





05/05/2026

Afya ya Moyo Wako Ndio kila kitu! ❤️

​Usisubiri mpaka ujisikie vibaya. Pata mashine ya kisasa ya kupima shinikizo la damu (BP Monitor) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Ni rahisi, haraka, na sahihi (accurate).

​✅ Inafaa kwa wazee na vijana.
✅ Rahisi kutumia ukiwa peke yako.
✅️inatunza kumbukumbu za Vipimo
✅️ya kuchaji
✅ rahisi kubebeka

​💰 BEI: TSh 45,000/= pekee!
​📍 LOCATION: Makumbusho, Dar es Salaam.
🚚 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
​📞 PIGA/WHATSAPP: 0658 213 540
​Bonyeza kitufe cha "Send Message" hapa chini kuagiza sasa! 👇



03/05/2026

Presha haisubili wala haikupi taarifa inapotaka kupanda au kushuka ,ufatiliaji wako binafsi ndo utakusaidia kukuepusha na hatari zinazoweza kujitokeza ghafra

Ili kukuwezesha kufatilia mwenendo wa presha yako hata unapokua mbali na daktari tumekuletea. DIGITAL BLOOD PRESSURE MONITOR

-Unaitumia ukiwa popote
-inakupa majibu ndani ya sekunde 55
-ni ya kuchaji na inakaa na chaji hadi siku 7
-inatunza kumbukumbu za majibu ya vipimo vyako
-rahisi kubebeka.
-rahisi kutumia

Hakichukui nafasi ya daktari ila kinakupa wepesi wa kufatilia afya yako hata ukiwa mbali na daktari

Tupo makumbusho stand Dar es salaam
Bei yake ni 45,000
Tupigie 0658 213 540

Karibu Sana 🌹



29/04/2026

Kufanya mazoezi ni kitu anachotamani kufanya kila mtu, lakini wengi tunashindwa kwasababu hatuna mda wa kwenda gym pamoja na gharama kua kubwa.

Suruhisho lililobaki ni kua na vifaa nyumbani ufanye kwa mda unaotaka wewe mwenyewe.

SPINNING BIKE ni baiskeli ya kufanyia mazoezi ambayo. Inachukua sehemu ndogo nyumbaniinasaidia kuchoma mafuta harakainaimalisha miguu inaimalisha afya ya akiliinaongeza stamina n.k

Ukiwa na hii hauhitaji trainer maana ni rahisi kutumia

kwa sh 400,000 tu hii baiskel utakua nayo nyumbani utaitumia wakati wowote unaotaka.

Zinapatikana dukani kwetu MAKUMBUSHO STAND DAR ES SALAAM.

Tupigie 0658 213 540

Karibu Sana kwa pamoja tujenge miili yetu♥️



24/04/2026

Ganzi inafanya viatu vinaanguka bila wewe kujua, hilo sio tatizo la kupuuzia.

Suruhisho ni DIGITAL THERAPY MACHINE Inachochea mzunguko wa damu inaondoa ganzi Inashtua misuli

Ni msaada wa uhakika kwa watu wenye stroke, matatizo ya miguu kuwaka moto, miguu kua na ganzi,miguu kujaa.

Bei yake ni 75,000 Tu

Karibu Sana 0658 213 540
Tupo makumbusho stand Dar es salaam




07/04/2026

MIKUNJO KWENYE NGOZI, MAUMIVU YA MIFUPA NA JOINT.

Collagen peptide ni supplement ambayo inasaidia sana
: kuimalisha afya ya mifupa
:kuondoa mikunjo kwenye ngozi
: kuimarisha nywere

Unakunywa k**a juice ina radha nzuri, haikeli wakati wa kunywa

Bei yake kwa chupa moja yenye vidonge 20 utaipata kwa 45,000 tu.

Tupo makumbusho Dar es Salam
Tupigie 0658 213 540

Karibuni




25/03/2026

UNAAMKA MIGUU INAWAKA MOTO, MIGUU INA GANZI HATA KUKANYAGA VIZURI UNASHINDWA.
Acha kuteseka na maumivu yasiyoisha, mwili wako unahitaji pumziko na matibabu ya asili.
Mkeka tiba ni tiba ya kichina Iliyothibitishwa kisayansi kua na uwezo wa kurudisha afya yako kupitia nyayo za miguu yako.

✅️unachochea mzunguko wa damu
✅️ Huondoa shida zote za miguu
✅️ Huondoa maumivu ya mgongo
✅️hufanya mwili uwe imara kupambana na magonjwa

Inawasaidia sana
🫴wazee wenye maumivu ya viungo na shida za miguu
🫴watu wanaokaa ofisini mda mrefu
🫴watu wanaosimama au kutembea sana
🫴yeyote anaetaka kuboresha afya yake kwa njia ya asili bila kemikali

Kwa sh 45,000 utaweza kuwekeza kwenye afya yako kupitia mkeka huu .
Tupo makumbusho Dar es Salam, ndani ya mkoa tunafanya delivery na mikoani tunatuma kwa haraka

0658 213 540





18/03/2026

PRESHA Ikipanda sana au ikishuka sana bila wewe kujua inaweza sababisha kupatwa na stroke au shambulio la moyo (heart attack).

Ila unapokua na kipimo nyumbani kitakusaidia kujua mwenendo wa afya yako, hii itakusaidia kuzuia madhara yanayoweza kujitokeza

Ni kifaa cha kuchaji
Uwezo wa kutunza chaji mda mrefu
rahisi kubebeka
Uwezo mkubwa wa kudumu

Bei yake ni 45,000 badala ya 65,000

Tupo makumbusho Dar es Salam.
Karibuni sana 0658 213 540




Address

Makumbusho Stand
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soari online store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category