TERA TECHNOLOGIES AND ENGINEERING LTD

Call Directions Website

TERA TECHNOLOGIES AND ENGINEERING LTD Speed,Quality and integrity

Fuatilia chombo chako cha moto WAKATI WOWOTE na MAHALI popote Ukiwa na Tera Track. Iwe gari , bajaji au pikipiki. Ukifun...
16/10/2026

Fuatilia chombo chako cha moto WAKATI WOWOTE na MAHALI popote Ukiwa na Tera Track. Iwe gari , bajaji au pikipiki. Ukifunga GPS Track kutoka kwetu usalama wa chombo chako cha Moto ni Asilimia 100% na bei zetu ni nafuu kabisaπŸ”₯
πŸ“ Tupo Lufungira, Mwenge Dar es salaam na Dodoma Uhindini street
πŸ“± 0754247576

Tunawatakia watanzania wote maadhimisho mema ya kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Raisi wa kwa...
14/10/2026

Tunawatakia watanzania wote maadhimisho mema ya kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Two way Audio ColorVu Fixed Camera βœ…24/ 7 colorful imaging βœ… Built in mic βœ… Built in speakerβœ… Smart Hybird Light βœ… Intel...
12/10/2026

Two way Audio ColorVu Fixed Camera
βœ…24/ 7 colorful imaging
βœ… Built in mic
βœ… Built in speaker
βœ… Smart Hybird Light
βœ… Intelligent noise reduction
βœ… Echo cancellation

Available at our showrooms
πŸ“ Tupo Lufungira, Mwenge Dar es salaam na Dodoma uhindini street
πŸ“± 0754247576

08/10/2026

Karibu sana Tera Technologies kwa kazi za Viwango na ubora wa hali juu, tunafikia na kuvuka matarajio yako.
πŸ“ Tupo Lufungira, Mwenge Dar es salaam na Dodoma uhindini street
πŸ“± 0754247576

Heri ya Wiki ya huduma kwa wateja, asante kwa kuendelea kutuchagua wewe ni wa muhimu sana kwetu , karibu Katika ofisi ze...
05/10/2026

Heri ya Wiki ya huduma kwa wateja, asante kwa kuendelea kutuchagua wewe ni wa muhimu sana kwetu , karibu Katika ofisi zetu uendelee kujipatia huduma zaidi ya matarajio yako.
πŸ“ Tupo Lufungira mwenge na Mbezi beach , Africana kwa Dar es salaam na Dodoma uhindini street
πŸ“ž 0754247576

Kila mradi ni nafasi ya kuonyesha kile tunachoweza kufanya na kitu ambacho tunajivunia basi  ni kufanya kazi zenye Viwan...
30/09/2026

Kila mradi ni nafasi ya kuonyesha kile tunachoweza kufanya na kitu ambacho tunajivunia basi ni kufanya kazi zenye Viwango na ubora mkubwa.

Huu ni mradi (Pichani) wa ujenzi wa Data center uliombatana na installation ya CCTV cameras, Access control, Local Area Netwrok (LAN )na Access point ambao tumeukamilisha hivi karibuni Visiwani Zanzibar,
Kila hatua ya kazi hii imepangwa na kutekelezwa kwa umakini na ufanisi kuhakikisha tunafanya kazi bora kwa ajili ya mahitaji ya sasa na ya baadae.

Kwa kuwa tuna wahandisi na mafundi wenye uzoefu na ujuzi, tumeweza kuhakikisha tunafanya kazi kwa muda mfupi na kwa kuzingatia ubora.

SPEED, QUALITY AND INTEGRITY πŸ”₯

πŸ“ Mbezi beach, Africana Dar es salaam na Dodoma, Uhindini street
πŸ“± 0754247576

Na hivi ndivyo tunavyofunga ukurasa wa Annual Engineers Day 2026! βš™οΈπŸ”₯Asante kwa wote waliotutembelea kwenye banda letu ,...
28/09/2026

Na hivi ndivyo tunavyofunga ukurasa wa Annual Engineers Day 2026! βš™οΈπŸ”₯

Asante kwa wote waliotutembelea kwenye banda letu , na kufanya Maonyesho haya kuwa ya kipekee .

Mpaka wakakati Mwingine

K**a tulivyoahidi na tumetekeleza, zawadi zipo za kutosha na Zinaendelea kutolewaa. WAGENI WAMEFURAHI πŸ”₯.πŸ“ Mlimani city  ...
25/09/2026

K**a tulivyoahidi na tumetekeleza, zawadi zipo za kutosha na Zinaendelea kutolewaa. WAGENI WAMEFURAHI πŸ”₯.
πŸ“ Mlimani city

25/09/2026

Address

Sinza Block A, Opp. Mlimani City Shopping Mall, Block No. 173, Off Sam Nujoma Road, P. O BOX 31257, Tel:+255 22 2701612
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TERA TECHNOLOGIES AND ENGINEERING LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share