02/09/2026
Hauwezi kuwa “fluent” kwenye lugha unayoitumia mara moja kwa mwezi (msimu), HAIWEZEKANI.
Utakuwa mzungumzaji MZURI wa lugha unayoitumia kila leo, na si vinginevyo.
Hii ndiyo sababu ya kuanzishwa kwa “3x-a-week English Practice Program”, yenye lengo la kuhakikisha UNAISHI Kiingereza, walau mara hizi tatu kwa wiki, badala ya kukizungumza pale tu unapohitaji kutimiza lengo fulani kikazi/kibiashara na matokeo yake lugha yako hubakia sehemu ile ile, haikupi KUKUA.
Hivyo tuma neno KIINGEREZA kupitia inbox au WhatsApp nambari 0755640633, kusajiliwa.
Ada ya mwezi: mafunzo + mazoezi endelevu (J’tatu, J’tano & Ijumaa - 12 Jioni) = 24,850
Mazoezi yanafanyika katika utaratibu wa simu ya sauti (audio call), hivyo usihofu kuhusu usiri.
1. Jifunze kanuni (Namna ya Kuboresha Uzungumzaji wa Kiingereza)
2. Jiunge na MAZOEZI
Tuma neno KIINGEREZA kupitia inbox au whatsapp nambari 0755640633, kulipia na kuanza mafunzo hivi leo.
Angalizo
Mafunzo haya yanamfaa mtu ambaye tayari amejifunza Kiingereza (anaweza kuandika, kusikiliza, na kusoma Kiingereza bila shida, ila ana changamoto kwenye kuzungumza kiingereza kwa wepesi na ubora - FLUENTLY).
Tuma neno KIINGEREZA kupitia inbox au WhatsApp nambari +255755640633), kulipia na kuanza mafunzo.
MUHIMU
Yeyote yule atakaye kufahamu namna ya Kuboresha Uzungumzaji wa Kiingereza anaweza kujiunga, hata hivyo ikiwa haujapata fursa ya kufika walau advance (kidato cha tano na sita), nashauri, ufanye KWANZA mafunzo ya English Grammar bure yanayopatikana YouTube, ndipo uweze kuchanganya maarifa yako ya Kiingereza na kanuni (mbinu) hizi ninazofundisha kwenye mafunzo ya Namna ya Kuboresha Uzungumzaji wa Kiingereza (itakuwa yenye manufaa MAKUBWA zaidi).
Tuma neno KIINGEREZA kupitia inbox au Whatsapp nambari +255755640633), kulipia, KUSAJILIWA na kuanza mafunzo.
Malawi Congo Rwanda career development