Mshauri wa biashara Charles Fan page

Mshauri wa biashara Charles Fan page Charles N**i ni Mshauri wa biashara, anayejishughulisha na kutoa ushauri wa biashara,kuandaa michanganuo na kuendesha semina za ujasiriamali.

About Mshauri wa biashara

MALENGO
Malengo yake ni kutoa huduma bora za ushauri kwa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa,kwa SACCOS na Asasi zisizo za kiserikali NGO ili ziweze kuendesha shughuli zao kwa ufanisi. DIRA
Anaamini kwamba matatizo yanayozuia maendeleo ya Wajasiriamali Tanzania ni pamoja na ukosefu wa mitaji na elimu ya biashara,hivyo lengo lake ni kuhakikisha anatoa elimu ya biash

ara na uendeshaji ili biashara na asasi ziweze kuendeshwa kwa ufanisi. MALENGO YAKE
1.Kutoa ushauri wa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa,
2.Kuandaa michanganuuo kwa ajili ya kuomba mikopo benki na misaada kutoka kwa wafadhili.
3.Kutoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa wafanyabiashara.
4.Kuandaa mifumo ya utunzaji wa mahesabu na kuweka mifumo ya Kompyuta kwenye utunzaji wa hesabu.
5.Kuandaa katiba za vyama na nyaraka za uandikishaji wa makampuni.
6.Kuandaa nyaraka za Tenda.
7.Kutoa ushauri kwa SACCOS ili ziendeshwe kwa ufanisi.
8.Kutoa ushauri kwa Asasi zisizo za kiserikali NGO ili ziweze kuendesha shughuli zao kwa ufanisi.
9.Kutunga vitabu za biashara ili kuwafikia wafanyabiashara wengi zaidi.
10.Kutoa ushauri nasaha na semina kwa wanafunzi. MIPANGO YAKE YA BAADAYE
Kuimarisha biashara yake ili iweze kuenea mikoa yote ya Tanzania. Blogu yangu ni; http://www.squidoo.com/mshauricharles

Address

Baruti
Dar Es Salaam
00255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshauri wa biashara Charles Fan page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mshauri wa biashara Charles Fan page:

Share