14/10/2026
Tarehe 2 Novemba 1978 katika hotuba yake dhidi ya uvamizi wa ardhi ya Tanzania uliofanywa na Nduli Idi Amin, Mwl. Nyerere alisema kuwa "Tuna kazi moja tu; nia tunayo, sababu tunayo, na uwezo tunao wa kumpiga"
Hii ilikuwa ni katika kilinda na kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi. TULIFANIKIWA, hivyo Ulinzi pamoja na Ujenzi wa taifa letu ni jikumu letu.