15/01/2026
Kikao kazi cha Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Mbopo, Suleiman Lyeme kwa kushirikiana na jeshi la .tanzania ocd kwa pamoja na wajumbe wa mashina tulijadili namna bora ya kuulinda mtaa wetu kwa kuanzisha ulinzi shirikishi.