21/10/2021
MAFASI ZA KAZI KWA VIJANA WAZALENDO WA KITANZANIA....Changamkia fulsa mapema....!
Fuata maelekezo haya hapa chini kuandaa nyaraka zako;
Vinavyohitajika;
1. Barua ya maombi ya kazi ya ulinzi
2. Barua yako ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
3. Nakala ya kitambulisho chako cha kura au nida
Pia utapaswa kuwa na wadhamini wawili ambapo kila mmoja;
1. Ataandika barua ya kukubali kukudhamini
2. Barua zao za utambulisho kutoka serikali za mtaa.
3. Vitambulisho vyao vya kura au nida au leseni ya udereva.
Anuani ni;
Meneja Mwajiri,
China-Tanzania Security,
S. L. P 19944,
Dar es salaam.
*Changamkia fursa*
*Karibu sana*
To provide effective and efficient innovative integrated security services, those not only are tailored to meet our client’s needs but also stay in keeping with the international standards.