Mpilipili Business Consultants

Mpilipili Business Consultants Its more than a year now we are providing consultation services on taxation especially VAT, Auditing, Accounting systems as well as internal controls.

Let us be part of your success via our services
Our other service is educational OT, PC English course

Chukua hii itakusaidia
13/07/2024

Chukua hii itakusaidia

SABA MARA SABINI NI SAWA NA 790.Siyo kwamba hauwezi kumsamehe, fact ni kwamba hujajiweka kwenye nafasi ya huyo aliyekuko...
24/05/2024

SABA MARA SABINI NI SAWA NA 790.

Siyo kwamba hauwezi kumsamehe, fact ni kwamba hujajiweka kwenye nafasi ya huyo aliyekukosea ila ungepata nafasi ya kuwa kwenye viatu vya huyo ungetamani hata kosa ulilofanya lingekuwa kubwa vipi mtu akusamehe so hata kwako na iwe hivyo dunia iwe mahali salama

kuwa vile unatamani dunia iwe bila kujali mrejesho.

Raphael Mpilipili
@2024

Tunapitia mambo mengi k**a wanadamu , mazuri (mafanikio) na mabaya (changamoto) lakini katika yote hayo tujifunze jinsi ...
21/05/2024

Tunapitia mambo mengi k**a wanadamu , mazuri (mafanikio) na mabaya (changamoto) lakini katika yote hayo tujifunze jinsi ya kuyakabili na kuyaishi.

Kwa yale mabaya jambo la msingi ni kuyakubali na kujifunza kwa hayo ili kupata ufanisi wakati mwingine ikitokea nafasi k**a hiyo au kukwepa kuangukia kwenye hali hiyo kwa mara nyingine na mwisho kuhakikisha unasaidia mtu mmoja au wawili kwa nafasi yako waliopo kwenye hali k**a hiyo na siyo tu kuwahamasisha ukaawacha kwenye hiyo changamoto ukiamini na wao watavuka my dear kuvuka salama ni neema hivyo usiamini watavuka tu fanya jambo na mwachie Mungu utukufu usijichukulie point mzee. Usione raha tu kutangaza uliwahi lala njaa, ulisoma bila viatu, ulitembea umbali mrefu kwenda shule, ulianza na mtaji wa buku, eti nililala vibarazani, all these zikupe muda kurudi kwenye jamii ya aina ile uone jinsi unavyobadilisha mambo yao.

Ila kwa yale mazuri hakikisha tu unayakumbatia na unaboresha ili yawe bora hautakiwi kuwa yule yule jana leo na kesho hapana jitathmini na jipe malengo yenye ukomo wa muda na jifanyie thamini.

Naomba kuwasilisha
Raphael Mpilipili
+255789618899

NOTE
ukiona mtandao wowote wa kijamii andikia tu Raphael Mpilipili utanikuta na hasa instagram ambapo tunaanza kukua tunahitaji support yako nenda follow ukurasa wetu ujifunze jambo.

SULUHISHO LAKO KATIKA MASUALA YA KODI AINA MBALIMBALI ZA KODI UNAZOTAKIWA KUANDAA NA KWASILISHA KWENYE MAMLAKA.KWA MAWAS...
22/02/2024

SULUHISHO LAKO KATIKA MASUALA YA KODI

AINA MBALIMBALI ZA KODI UNAZOTAKIWA KUANDAA NA KWASILISHA KWENYE MAMLAKA.

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANE TUZUNGUMZE TUFANYE KAZI.

USAJILI WA WATAHINIWA BINAFSI (PRIVATE CANDIDATES)Usajili unaendelea kwa gharama za kawaida na itaendelea mpaka tarehe 2...
30/01/2024

USAJILI WA WATAHINIWA BINAFSI (PRIVATE CANDIDATES)

Usajili unaendelea kwa gharama za kawaida na itaendelea mpaka tarehe 29.02.2024. Ikifika mwezi wa 3 usajili utaendelea kwa penati ambapo fedha ya usajili itaongezeka.

USHAURI WA MASOMO.
Mara nyingi sana tunatoa ushauri kwenye masomo ya kusajili baada ya kufanya mahojiano ili kuwasaidia wadogo zetu kujua wanaendeaje mafanikio ya kieleimu.

GHARAMA ZA KUSAJILI.
gharama ni zile za msingi ambazo zinakuwa na namba ya malipo (control number) ni jambo zuri kuwahi ili kuepuka penati.

TUNAPATIKANA
Posta mpya jengo la Phoenix house

MAWASILIANO
namba zetu za kuwasiliana ni +255789618899

Wakuu wa vituo vya elimu huria tunawakaribisha sana ili tuweze kuwasaidia kuwasajili wanafunzi wenu kwa mkupuo...

ITS ANOTHER 9TH DECEMBER WE WELCOME YOU TO OUR OFFICEFOR:Registration of companyRegistration of Business nameTIN number ...
09/12/2023

ITS ANOTHER 9TH DECEMBER

WE WELCOME YOU TO OUR OFFICE
FOR:

Registration of company
Registration of Business name
TIN number and certificates
Tax return filing and submission to revenue authority.
Accounting services.
Business plans
Online services TRA, NEST, RITA, POLICE CLEARANCE CERTIFICATES, PASSPORT, LICENSES GRADE A AND B. ETC

Just call us for more details

21/06/2023
Huduma zetu so farMasuala ya       Karibu sana Posta mpya Phoenix House
20/06/2023

Huduma zetu so far

Masuala ya



Karibu sana Posta mpya Phoenix House

God win 2023 nafasi ya kipekee kupeleka mawazo yetu mbali kupitia Redio ya taifa TBC FM nafasi ya kijana kwenye uchumi s...
19/01/2023

God win 2023
nafasi ya kipekee kupeleka mawazo yetu mbali
kupitia Redio ya taifa TBC FM

nafasi ya kijana kwenye uchumi shasa kupitia mitandao ya kijamii

NI KATIKA KUFUNGA MWAKA TUOFFA BAAB KUBWATUNAKULETEA OFFA YA KUKATA NASHOKA AMBAPO KWA MUDA ULIOBAKI MPAKA MWAKA UISHE T...
10/11/2022

NI KATIKA KUFUNGA MWAKA TU

OFFA BAAB KUBWA

TUNAKULETEA OFFA YA KUKATA NASHOKA AMBAPO KWA MUDA ULIOBAKI MPAKA MWAKA UISHE TUNAKUHUDUMIA KUKUFUNGULIA, KUIENDESHA, KUANDAA MACHAPISHO NA KUFUATILIA MREJESHO WA KILE TUNACHOCHAPISHA KUTOKA KWA WATEJA BUUUUREEEE KABISA

KARIBU TUUFUNGE MWAKA KIBABE....

USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA
USAJILI WA MAKAMPUNI
UANDAAJI WA TAARIFA ZA FEDHA
UANDAAJI NAUWASILISHAJI WA KODI
UANDAANJI WA MPANGO WA UKAGUZI WA HESABU
NA MENGINE MENGI UNAENDELEA

+255 789 618 899

An intern is urgently needed.A graphic designer is needed to join ASAP our organization in the department of Designing J...
03/11/2022

An intern is urgently needed.

A graphic designer is needed to join ASAP our organization in the department of Designing

Job location is Dar es salaam

For more details contact us direct via office numbers
+255 789 618 899

Address

KIGAMBONI
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpilipili Business Consultants posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share