Nyamwezi Kiungani Kariakoo

Nyamwezi Kiungani Kariakoo For any who needs assitance on taxation issues, business initiatives procedures, and marketing updates and business strategy... Have to call 0713781064

24/03/2020

weka Oder yako uletewe ULIPO
0713781064

29/10/2017

Tutafute JNB business consultant firm tukuhudumie ili ufanye biashara yako kwa uhakika wa kimahesabu na kodi stahiki
Kwa kufanya kazi na sisi tutakupa suluhisho la mambo makubwa yafutayo;
1) makadirio sahihi ya kodi kwa kampuni na ushauri sahihi wa makadirio kwa watu binafsi.

2)Tuna kite genres plan na kukumbusha ulipaji wa kodi na fees pamoja na tozo mbali mbali za kimamlaka ili kuepuka FINE na PENALTY ambazo ni hasara na gharama zisizo lazima ktk biashara yako.

Tunashauri na kukufuatilia kwa taratibu zote za ufunguzi wa kampuni BRELA na leseni ili kuanza biashara ya fursa uliyoichagua.

3) Tunatengeneza mahesabu ya audited financial account statements kwa matumizi ya TRA na bank ama uombaji wa tender mbali mbali.

4) Utetezi wa case za kodi kwa ueledi na uthabiti popote utapokuwa na file yako ya Kodi(TRA offices)

5)Tunatengeneza michanganuo ya biashara (business plan) na kukupa ushauri juu ya fursa mbali mbali zilizopo.

6)Tunaanda vitabu maalum vya utunzaji wa kumbukumbu kwa biashara yako ,vinavyoweza kukusaidia kufanya maamuzi na kutambua muelekeo wa biashara unayofanya kwa kampuni na watu binafsi.
NA MENGINE MENGI USIYOYAJUA KUHUSU FURSA NA BIASHARA UNAYOFANYA.. KWA NINI UWE NA WASIWASI NA HOFU YA KUFUNGA BIASHARA KWA KUKOSA ELIMU YA USIMAMIZI KWA GHARAMA NAFUU.

WASILIANA NASI KUPITIA
0713-781064/ 0783-602196
AU EMAIL at [email protected]
Kwa ushauri na uhakika wa biashara yako.

Hizo ni shughuli JNB Consultant firm tunafanya kwa ueledi na uhakika mkubwa, tutafute tukuhudumie...popote ulipo na ofis...
19/09/2017

Hizo ni shughuli JNB Consultant firm tunafanya kwa ueledi na uhakika mkubwa, tutafute tukuhudumie...popote ulipo na ofisi ya mamlaka ya mapato ilipo

11/09/2017

I have done a lot on tax and business issues for kariakoo business men and dar also upcountry as well, don't loose such opportunity for the better and accuracy tax and business procedures consult us JNB Business Consultant Firm we are solution to you. Call us through 0713781064 or 0622300256 ..We are there to help you..on Taxation and other business procedures.

03/05/2017

Wadau mnaonicheck nipeni na kazi basi ,mnajaza notification tu

22/12/2015

Nadhani mnaelewa maana ya taaluma na hali ya magufuli ya ukusanyaji wa kodi mmeiona sasa mimi ni mtaalamu wa kodi na mambo ya biashara sasa nipeni kazi my contact 0713 781064 call me any time.

21/10/2014

hapa ndipo tunapowesha kuonyesha maarifa na kusonga mbele kwa fursa zilizopo mimi nipo kwa ajiri yako na nimedhamiria kumkomboa mjasilia mali ambae ana nia dhairi ya kusonga mbele bila kuwa na mashaka juu ya masoko na mambo muhimu ya kodi,mahesabu na maamuzi ya msingi kuikuza biashara yake.fanya maamuzi sasa piga 0713781064 kwa maelezo zaidi

21/10/2014

wadau mbali mbali wa biashara kariakoo na wenye mlengo wa kufanya business formal way tuwasiliane ili tufahamishane na kusaidiana mambo kadha wa kadha katika markerting field,taxation matters as well as business planing,strategic management and lastly preparation of account/financial statements

Address

Nyamwezi Kiungani Kariakoo
Dar Es Salaam
022

Telephone

0783602196

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyamwezi Kiungani Kariakoo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share