Kuku_Solution

Kuku_Solution Kuku_Solution-ni washauli wa ujenzi wa mabanda bola ya kuku, bata na bata mzinga Design and construction poultry wherehouse

26/05/2025

Siku Mpya , Tumaini jipya, Ufugaji ni ajira

30/04/2020

KARIBU KUKU SOLUTION

👉Kuku Solution tunatoa huduma zifuatazo
🐤Ushauli wa njia bora za ufugaji --BUREE
🐤Mafunzo ya ufugaji kwa vikundi vya watu kuanzia 15 (seminar)--BUREE.
🐤Kusafisha mabanda ya mifugo na disinfectant.
🐤Ujenzi wa mabanda bola ya mifugo
🐤Tunauza vyombo vya kulishia mifugo na chakula cha Kuku.

Mawasiliano

✉Kuku Solution
P.O.Box 105159
Dar es salaam ,Tanzania
Simu 📞 : 0692828368.

MBEYA MBEYA MBEYA TUNAKUJA.Tunayofuraha kuwatangazia mwezi ujao tutazindua ofisi zetu mpya za Kuku_Solution tawi la Mbey...
27/04/2020

MBEYA MBEYA MBEYA TUNAKUJA.
Tunayofuraha kuwatangazia mwezi ujao tutazindua ofisi zetu mpya za Kuku_Solution tawi la Mbeya kaeni tayari

Mbeya moja watanzania tupo pamoja.

Je unachangamoto ya kusafisha mabanda yako?Basi usiangaike tena tunatoa huduma ya kusafisha mabanda ya mifugo na kumwagi...
04/04/2020

Je unachangamoto ya kusafisha mabanda yako?

Basi usiangaike tena tunatoa huduma ya kusafisha mabanda ya mifugo na kumwagia dawa kwa garama nafuu kabisaaa

.

26/03/2020
IJUE NDUI YA KUKU (FOWL POX )Sehemu ya pili Jinsi ya kumsaidia kuku aliye athiliwa na ndui🐔 kwanza watenge kuku wagonjwa...
25/03/2020

IJUE NDUI YA KUKU (FOWL POX )
Sehemu ya pili

Jinsi ya kumsaidia kuku aliye athiliwa na ndui

🐔 kwanza watenge kuku wagonjwa na wengine.

🐔Pili chukua maji ya uvugu uvugu yenye chumvi kiasi - osha vidonda vya kuku wagonjwa ,

🐔Tatu wapake iodine kwenye vile vidonda kuku ....iodine inapatikana maduka ya mifugo. Wakisha pona wape chanjo ya sindano k**a utakavyo shauliwa na wataalamu.

K**a una swali lolote usisite kuuliza. Au piga simu 0692828368 jumatatu mpaka ijumaaa..Asante kwa kuwa nasi

Share na wengine wajifunze.

IJUE NDUI YA KUKU (FOWL POX )Sehemu ya kwanzaUgonjwa huu husababiswa na virus.DALILI🐔 Kuku kupatwa na vidonda kichwani.🐔...
20/03/2020

IJUE NDUI YA KUKU (FOWL POX )
Sehemu ya kwanza

Ugonjwa huu husababiswa na virus.
DALILI
🐔 Kuku kupatwa na vidonda kichwani.
🐔Kuku hupata na uvimbe mweupe mdomoni na kushindwa kula.

TIBA
🐔 Ugonjwa huu hauna tiba

KINGA
🐔 Hakikisha unawachanja Kuku wako wa siku 60-90 kwa chanjo ya Ndui ya Kuku (Fowl Pox Vaccine)

Usikose sehemu ya pili....

Tuwe waangalifu Jikinge zidi ya CORONA
19/03/2020

Tuwe waangalifu Jikinge zidi ya CORONA

UJUE UGONJWA WA NDUIUsikose kesho kutembelea page yetu tutakuletea somo kuhusu ugonjwa wa ndui unao washambulia kuku.
19/03/2020

UJUE UGONJWA WA NDUI

Usikose kesho kutembelea page yetu tutakuletea somo kuhusu ugonjwa wa ndui unao washambulia kuku.

Formula ya kuandaa chakula cha kuku chotara / kienyeji 🐔 hakikisha kila kitu unachanganya kulingana na uwiano uliopo hap...
24/02/2020

Formula ya kuandaa chakula cha kuku chotara / kienyeji

🐔 hakikisha kila kitu unachanganya kulingana na uwiano uliopo hapo kwenye jedwali.

Address

D'salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255692828368

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuku_Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share