25/10/2026
Mmoja wa wanachuoni na wazee wenye maarifa, mapenzi "passionate" na wenye kuambukiza mapenzi juu ya tasnia. Pamoja na umri wake mkubwa, kuifanyia kazi tasnia sio suala la akiwa na muda bali ni sehemu ya muda wake. Ni mhamasishaji wa kutumia huduma za kifedha za Kiislam na kujielimisha kwa kila namna.
Mola ampe afya njema na malipo makubwa kwa matendo yake mema. Amin.