SokoHuru.Com

SokoHuru.Com SokoHuru.Com it is a business service aim to give everybody opportunity to ask what you want and what do you want to sell through facebook.

MIRADI TULIYONAYOGOBA_TEGETA AKILUVYA MAJUMBA SITAMLANDIZI CHALINZE
11/02/2026

MIRADI TULIYONAYO
GOBA_TEGETA A
KILUVYA MAJUMBA SITA
MLANDIZI
CHALINZE



TUNAJALI MALI YA WATEJA WETU
10/02/2026

TUNAJALI MALI YA WATEJA WETU

Kumbuka viwanja tulivyo navyo Chalinze kwa mwarabu Mlandizi Kiluvya Goba Tegeta AFika ofisini kwetu Mbezi LouisAu tupigi...
03/02/2026

Kumbuka viwanja tulivyo navyo
Chalinze kwa mwarabu
Mlandizi
Kiluvya
Goba Tegeta A
Fika ofisini kwetu
Mbezi Louis
Au tupigie 0679077638

Jipatie kiwanja chako sasa,Viwanja vyetu vimepimwa Ni 5km tu kutoka mlandizi stand, Umaweza kulipa kwa awamu,Tupigie 067...
23/01/2026

Jipatie kiwanja chako sasa,
Viwanja vyetu vimepimwa
Ni 5km tu kutoka mlandizi stand,
Umaweza kulipa kwa awamu,
Tupigie 0679077638
Au fila ofisini kwetu,
Mbezi Louis jengo la capri_point village.

Viwanja vyetu vya mlandizi bado vipoViwanja ni vizuri na vimepimwa Ukubwz ni 20*20Bei ni mil 1.5 tuUnaweza kulipa kidogo...
16/01/2026

Viwanja vyetu vya mlandizi bado vipo
Viwanja ni vizuri na vimepimwa
Ukubwz ni 20*20
Bei ni mil 1.5 tu
Unaweza kulipa kidogokidogo
Tupigie 0679077638

Anza kuwekeza sasa,Viwanja vyetu vimepimwa Vipo mlandizi, Bei ni mil 1.5 tu Ni 5km tu kutoka mlandizi stand. Mawasiliano...
12/01/2026

Anza kuwekeza sasa,
Viwanja vyetu vimepimwa
Vipo mlandizi,
Bei ni mil 1.5 tu
Ni 5km tu kutoka mlandizi stand.
Mawasiliano 0679077638




Viwanja vyetu vimepimwa Vipo mlandizi Ni 5km tu kutoka mlandizi stand, Tupigie 0679077638
09/01/2026

Viwanja vyetu vimepimwa
Vipo mlandizi
Ni 5km tu kutoka mlandizi stand,
Tupigie 0679077638




WEKEZA LEO NA LAYOS PROPERTIES
03/01/2026

WEKEZA LEO NA LAYOS PROPERTIES

ANZA MWAKA NA KUMILIKIVIWANJA VYETU VIMEPIMWA, NI 5KM TU KUTOKA MLANDIZI STAND.TUPIGIE 0679077638.
02/01/2026

ANZA MWAKA NA KUMILIKI
VIWANJA VYETU VIMEPIMWA,
NI 5KM TU KUTOKA MLANDIZI STAND.
TUPIGIE 0679077638.

Wishing you a prosperous merry Christmas and happy new year.
24/12/2025

Wishing you a prosperous merry Christmas and happy new year.

22/11/2025
29/06/2016

MRADI WA KILIMO CHA MATANGO (MRADI WA KUPUNGUZA UMASIKINI)

Matumizi: Matango hutumika k**a tunda, ijapokuwa ni aina ya mboga na huongeza vitamin A, C na maji mwilini. Pia, tango linaweza kutumiwa k**a saladi wakati wa mlo.

Hali ya hewa: Matango hustawi kwenye hali ya joto, hali kadhali kwenye sehemu yenye joto kidogo pia hustawi. Matango yanahitaji joto wastani wa nyuzi joto 20°C – 25°C. Zao hili pia huhitaji maji kwa wingi, ingawa unyevu ukizidi husababisha magonjwa kwenye majani na maua.

Udongo: Kwa ustawi mzuri wa matango,udongo unatakiwa kuwa na rutubaya kutosha, na chachu ya kuanzia 5.5hadi 6.7, mwinuko unaotakiwa nikuanzia mita 1000-1200 kutoka usawawa bahari

Tofauti na ilivyo mazao mengine, matango hayahitaji mwanga mkali sana kwa kuwa husababisha maua dume kuzaliwa, hivyo kuathiri uzalishaji wa idadi ya matunda ya matango. Mwanga kidogo husababisha maua jike kuchanua kwa wingi kuongeza kiwango cha mazao. Mwanga unapokuwa mwingi, inabidi kutumia neti au aina nyingine ya vizuizi ili kupunguza mwanga, ambapo pia itasaidia kulinda mmea dhidi ya upepo mkali ambao unaweza kuharibu maua na matunda, au mmea kwa ujumla.

Kupanda: Mara nyingi matango hupandwa moja kwa moja shambani. Wakulima wengine hupanda kwenye vitalu au makopo na baadae kuhamishia miche inapofikia sentimita 8-12. Endapo mbegu zimepandwa shambani moja kwa moja, inatakiwa ipunguzwe na kubakia mche mmoja tu kwenye kila shimo

Nafasi: Nafasi kati ya mche na mche ni sentimita60-70, na nafasi kati mstari namstari ni sentimita 70-90. Mimea inatakiwaiwekewe miti ili iweze kuzaamatunda mengi na kuepuka kukaachini ambapo matunda yanaweza kuoza au kuharibiwa na wadudu.
Mbolea: Mbolea ni muhimu sana, kabla yakupanda au kuhamisha miche.

Mboleainayoweza kutumika ni samadi au yaviwandani isiyokuwa na madhara kwamazingira na afya ya binadamu. Baadaya kupanda, tumia mbolea ya maji majikila baada ya siku 14-21, mpaka mmea uweke matunda
Palizi: Palizi ni muhimu, ili kuepuka magonjwa na kunyang’anyana chakula kati ya zao na magugu.

Wadudu waharibifu: Wadudu waharibifu wa matango ni pamoja na Vidukari, inzi weupe, na minyoo ya mizizi.
Magonjwa: Magonjwa yaliyozoeleka kushambulia matango ni pamoja na Ukungu, fusari, na magonjwa ya virusi. Dawa aina ya KARATE itasaidia kuua wadudu wa majani, maua na matunda na FUNGICIDE itasaidia kwa mashambulizi ya fangasi.

Kuvuna: Matango yanaweza kuwa tayari kuvunwa kuanzia siku 50-60 na matunda yanatakiwa yawe na urefu wa sentimita 15 mpaka 20. Makadirio ya mavuno ni tani 6 kwa ekari moja.
Ni vizuri kuwekea matango fito kwani matunda yake yakilala ardhini huoza.

Duuu Yaani siku 60 tu unashika pesa, hii k**a admini lazima niifanye na nitawapa mrejesho

Kupata majarida k**a haya ya Kilimo na ufugaji nicheki hapa Whatsapp 0767466761 nitakupa kwa bei nafuu kabisa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SokoHuru.Com posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share