Sola Bora Tanzania

Sola Bora Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sola Bora Tanzania, P. o box 50, Dar es Salaam.

Jipatie Sola bora za MYSOL
-Ufungaji bureee kabisa
-Matengenezo bure kwa kipindi cha miaka 4
-Ofa ya siku 30 baada ya kufungiwa.
-Ukitaka kujiunga nasi bonyeza hapa https://chat.whatsapp.com/DoBTfeGKwfdKHFU9vJpswj

18/05/2026

Hello Tanzania.

Jipatie Mtambo bomba wa kisasa kutoka Mysol kwa kianzio cha Tsh 100,800 tuu tunakuletea mtambo wa sola na TV24 HD inakuja kufungwa nyumbani kwako pamoja na TAA nne (4) unaanza kuangalia mpira live, Filamu na tamthilia za kila aina utaziangalia kupitia TV yako.

Kumbuka
- Warrantii mikaa minne (4)
- Ufungaji Buree
- Matengenezo Buree

Hello TanzaniaHeri ya siku ya Mama duniani kwa watanzania wote.TuwapendeTuwaheshimuTuwathaminiTuwazidishie tabasamu.Kwa ...
10/05/2026

Hello Tanzania

Heri ya siku ya Mama duniani kwa watanzania wote.
Tuwapende
Tuwaheshimu
Tuwathamini
Tuwazidishie tabasamu.
Kwa kuwapatia zawadi iliyo bora ya mtambo wa Sola ukiwa sambamba na TV bomba kabisa kutoka Mysol na zawadi zingine kemkem.

Hello Tanzania.Mysol Tanzania inakutakia heri ya siku ya mfanyakazi hakika wewe ni mchapakazi usiechoka.Sola bora maisha...
01/05/2026

Hello Tanzania.

Mysol Tanzania inakutakia heri ya siku ya mfanyakazi hakika wewe ni mchapakazi usiechoka.

Sola bora maisha bora.

26/04/2026

Mysol Tanzania inakutakia Heri ya siku ya Kumbukizi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

10/04/2026

Hello Tanzania.

Hello TanznaiaMtambo wenye ubora wa kiwango cha juu kabisa, mtambo unaambatana na warantii ya miaka minne na ufungaji bu...
09/04/2026

Hello Tanznaia

Mtambo wenye ubora wa kiwango cha juu kabisa, mtambo unaambatana na warantii ya miaka minne na ufungaji buree na matengenezo bure kabisa kwa kipindi chote cha miaka minne.

Chagua mtambo unaokufaa tukuhudumie leo popote ulipo Tanzania.

Tupigie/whatsApp 0742 431 325
Sola bora maisha bora

Karibu nawe, sambamba nawe na tuko tayari kukuhudumia.Sola bora Maisha bora.
07/04/2026

Karibu nawe, sambamba nawe na tuko tayari kukuhudumia.

Sola bora Maisha bora.

03/04/2026

Is is Finished on the Cross.

Hello Tanzania
03/04/2026

Hello Tanzania

Address

P. O Box 50
Dar Es Salaam
14113

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sola Bora Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share