APOYO Avoid Poverty for Youth (APOYO):
our organization deal with
-Agriculture
-Business
-Animal keeping
-

22/06/2018

VIJANA TUCHANGAMKIE FURSA ZA MIKOPO ISIYO NA RIBA. NAFASI NDO HII YA KIPEKEE TUWE WABUNIFU.

UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

UKUZAJI UJUZI

AJIRA

PATA HUTUBA HII KAMILI
http://www.parliament.go.tz/uploads/budgetspeeches/1524036385-Hotuba%20ya%20Waziri%20Mkuu%20kwa%20Mwaka%202018-2019.pdf

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2018/2019

15/03/2018

Jiunge na mfuko Wa Bima wa Afya Wa serikali NHIF kujipatia huduma za uhakika na zenye ubora ukiwa k**a kikundu familia mtoto hata mwanafunzi Kwa gharama nafuu Kwa mwaka mzima Kwa maelezo zaidi tembelea tovutu ya nhif.or.tz

15/09/2017

HAKIKISHA KATIKA MAISHA HAYA HUKOSI MOJA KATI YA HIVI UKIVIPATA VYOTE KWA WAKAT MMOJA NI JAMBO LA KHERI.

Muda.
Pesa.

Muda ukiutumia vizur utajenga mahusiano mazuri na ndugu, Jamaa na marafiki mpaka kupelekea kuwa mwenye network nzuri ya kutafuta pesa kwa njia moja au nyingine.

Kwa upande Wa pesa ukiitumia vizuri inakujengea mahusiano mazuri kwa ndugu, Jamaa na marafik hadi kupelekea kuwa muwezeshaji na muwekezaji mazuri katika biashara au shughuli zako.

18/10/2016

Who we are ?

We are CEOS’ HUB.

We are an international community of entrepreneurs who are driven to change the world by creating entrepreneurs in our local environment by offering an acceleration programme for entrepreneurs in the making. We offer a combination of training via events, networking, mentoring and idea development to help structure and develop ideas. We create opportunity for local entrepreneurs to pitch their ideas to investors and successful business leaders.

We believe in the concept of:
DREAMING BIG and STARTING SMALL

http://www.ceoshub.com/

18/10/2016

VIJANA TUJUE MIKAKATI YA SERIKALI JUU YA MAENDELEO YA VIJANA NA NCHI KWA UJUMLA

DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2025 NA MPANGO ELEKEZI WA MIAKA 15.

MPANGO WA KWANZA WA TAIFA NA MAENDELEO 2011/12 - 2015/16 NA MKUKUTA

CHF Mkombozi wa kweli kwa afya ya JamiiKwa kuonyesha kujali afya zetu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...
22/06/2016

CHF Mkombozi wa kweli kwa afya ya Jamii
Kwa kuonyesha kujali afya zetu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ilianzisha Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao k**a CHF ambao ulianza kwa majaribio wilayani Igunga, Mkoa wa Tabora mwaka 1996 na kuanza rasmi 2001 baada ya bunge kupitisha muswada huo.https://apoyo755.wordpress.com/

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeanzisha huduma ya bima ya afya kwa vikundi vya ujasiriamali,Shirika katika sekta binafsi ili kuweza kila mtanzania anapata huduma ya afya kupitia mfuko huo.

UNITED REPUBLIC OF TANZANIAMINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIESIJUE WIZARA YA KILIMO NA MIFUGO HAPA http://w...
20/06/2016

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES
IJUE WIZARA YA KILIMO NA MIFUGO HAPA http://www.mifugouvuvi.go.tz/

13/06/2016
KUJIAJIRI VS KUAJIRIWA
11/06/2016

KUJIAJIRI VS KUAJIRIWA

MSOMI MFANYAKAZI NA MSOMI ALIYEJIAJIRI WE UNAFIKIRI NANI MWENYE MAFANIKIO?
11/06/2016

MSOMI MFANYAKAZI NA MSOMI ALIYEJIAJIRI WE UNAFIKIRI NANI MWENYE MAFANIKIO?

CHIMBUKO LA UMASKINI KWA WASOMI NA WAAJIRIWA
TANZANIA.
ukiuza nguvukazi ghafi unakuwa umeuza "mtaji" wako
soma hapa zaidi
https://apoyo755.wordpress.com/

Address

MBAGALA
Dar Es Salaam
CHARAMBE

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when APOYO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share