Chuo Cha Mauzo Tanzania

Chuo Cha Mauzo Tanzania Mafunzo ya kukuza mauzo kwenye biashara.

* ; Mafanikio Yako Makubwa Ni Leo.*Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/964/Rafik...
14/08/2026

* ; Mafanikio Yako Makubwa Ni Leo.*

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/964/

Rafiki,
Unajikwamisha kufanikiwa kwa sababu unasubiri siku moja ndiyo upate mafanikio.

Ukweli ni kwamba mafanikio hayaji siku moja,
Bali ni mkusanyiko wa siku nyingi ambazo umeziishi kimafanikio.

Na unajikwamisha sana kufanikiwa kwa kuahirisha kuishi siku zako kikamilifu.

Kwenye nimekuonyesha jinsi ya kuiishi siku yako moja kimafanikio, kisha kuirudia kila siku ili kuwa na maisha ya mafanikio.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/964/

Usisubiri siku moja ndiyo ufanikiwe, ishi kila siku kwa mafanikio.

* ; Huhitaji Ushauri*Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/951/Rafiki,Ushauri ni k...
11/08/2026

* ; Huhitaji Ushauri*

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/951/

Rafiki,
Ushauri ni kitu kinachotolewa kirahisi sana,
Tena bure kabisa.

Na unaweza kuona ushauri mwingi unaopewa ni mzuri.
Lakini kiuhalisia, ushauri mwingi unaopewa ni hatari sana kwako.

Hata ushauri ambao wewe unawapa watu wengine,
Unawaumiza kuliko unavyowasaidia.

Kwenye nimekuonyesha kwa nini ushauri mwingi ni hatari na jinsi ya kujiepusha nao.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/951/

Kuwa makini sana na ushauri unaotoa au kupokea, unaweza kuwa majanga.

*Akiba Mbegu Ya Utajiri Wa Kudumu Kwa Vizazi Na Vizazi* Rafiki,Warren Buffett mmoja wa wawekezaji bora kuwahi kutokea am...
10/08/2026

*Akiba Mbegu Ya Utajiri Wa Kudumu Kwa Vizazi Na Vizazi*

Rafiki,
Warren Buffett mmoja wa wawekezaji bora kuwahi kutokea amewahi kunukuliwa akisema; *"K**a huwezi kuweka akiba, mbegu ya utajiri haipo ndani yako".*

Kauli hii inatupa msingi mkuu kabisa wa akiba na utajiri ambao ni *"Akiba Mbegu Ya Utajiri".*

Ni kupitia akiba ndivyo tunavyoweza kujenga utajiri mkubwa maishani mwetu. Bila kujali ni Akiba kiasi gani we iweke ty.

Maarifa zaidi ya namna ya kufikia utajiri mkubwa yapo kwenye kitabu cha *Mtaala Wa Utajiri*. https://vitabu.somavitabu.co.tz/ #/view/shop-item/39/

Mawasiliano 0752977170/0678977007
Karibu.

* ; Unataka Nini?*Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/950/Rafiki,Unapambana sana...
10/08/2026

* ; Unataka Nini?*

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/950/

Rafiki,
Unapambana sana ili ufanikiwe,
Lakini je, ni nini hasa unachotaka kwenye maisha yako?

Umewahi kukaa chini na kutafakari hilo kwa kina?
Maana k**a hujafanya hivyo, yote unayohangaika nayo sasa hayana maana.

Na usipochukua hatua sasa, utapambana, utapata mafanikio na utayachukia maisha yako.

Kabla hilo halijatokea, fanya kitu sasa.
Kwenye nimekuambia kitu cha kufanya.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/950/

Usiongeze mbio kwenye mwelekeo usio sahihi, badili kwanza mwelekeo.

* ; Imetosha Kujidanganya.*Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/945/Rafiki,Ni mar...
07/08/2026

* ; Imetosha Kujidanganya.*

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/945/

Rafiki,
Ni mara ngapi umeweka malengo na mipango mikubwa sana,
Lakini unashindwa kutekeleza kwa sababu mbalimbali.

Zinaweza kuwa sababu za kweli kabisa zinakuzuia.
Lakini k**a unaweza kukwamishwa kwenye kupata kitu,
*Je unakuwa unakitaka kitu hicho kweli?*

Tukiwa wakweli, umekuwa unajidanganya sana.
Na hilo ndiyo limekuwa linakukwamisha kufanikiwa.

Kwenye nimekuonyesha jinsi ya kuacha kujidanganya ili uweze kufanikiwa.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/945/

K**a unataka mafanikio, acha kujidanganya kwa malengo na mipango. Anza kufanya.

🚨 *USIPOUZA THAMANI, UTALAZIMIKA KUPUNGUZA BEI* Mteja halipii bidhaa.🎯 Analipia thamani anayoiona ndani ya bidhaa yako.K...
06/08/2026

🚨 *USIPOUZA THAMANI, UTALAZIMIKA KUPUNGUZA BEI*

Mteja halipii bidhaa.

🎯 Analipia thamani anayoiona ndani ya bidhaa yako.

Kupitia *CHUO CHA MAUZO* , utajifunza: βœ” Jinsi ya kuuza thamani badala ya bei βœ” Mbinu za ushawishi zinazofanya kazi βœ” Njia za kupata na kutunza wateja βœ” Mfumo wa kuongeza mauzo kwa weledi

πŸ”₯ *Ukijua kuuza thamani, faida yako huongezeka.*

πŸ“ž 0717 101 505
πŸ”— https://vitabu.somavitabu.co.tz/ #/view/shop-item/29/

*Siku Ya Mafanikio 04.08.2026** ;* _Kabla hujaona mafanikio ya wengine na kupata wivu, hakikisha umejua kile walichotoa ...
04/08/2026

*Siku Ya Mafanikio 04.08.2026*

* ;* _Kabla hujaona mafanikio ya wengine na kupata wivu, hakikisha umejua kile walichotoa kuyapata mafanikio hayo. *Kila aliyefanikiwa amepitia mateso makali, k**a unataka kufanikiwa, kuwa tayari kwa hilo*._

Hongera rafiki kwa nafasi nyingine nzuri uliyoiona leo.

Ni fursa ya kipekee kwako kwenda kufanyia kazi mchakato wako wa mafanikio.

Maarifa bora kabisa ya siku ya leo yako tayari kwa ajili yako.

1. inahusu *usionee wivu mafanikio, kuna mateso nyuma yake*, isome hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/ #/view/newsletter-content/4/938/
2. unajifunza kuhusu *kuacha dharau zinazokukwamisha kufanikiwa*. Soma hapa; https://amkamtanzania.com/2026/08/03/hizi-dharau-ndiyo-zinakukwamisha-kufanikiwa-zijue-na-uziache-ili-ufanikiwe/
3. zinahusu *falsafa ya FANYA TU (JUST DO IT)*. Sikiliza hapa; https://www.spreaker.com/episode/dzk058-wewe-fanya-tu-just-do-it--73358966
4. unajifunza *K Tatu za kujenga Uongozi, Ushawishi na Ubobezi*. Angalia hapa; https://youtu.be/R4A6Z6Gpww4

Rafiki, kupata *MAARIFA* ni hatua moja.
Unapaswa kuyaweka kwenye *VITENDO* ndiyo uweze kupata *MAFANIKIO* makubwa.

Kupata Mafunzo, Mwongozo, Ukocha na Usimamizi wa kukuwezesha kufanya makubwa, karibu uketi kwenye * *. Pata maelezo zaidi hapa; https://bit.ly/kitikocha

Leo ni zawadi, kaitumie vizuri.

Kocha

 ; Usivurugwe Na Mapenzi Kwenye Safari Ya Mafanikio.Angalia hapa; https://youtu.be/shIdEfMkIj8Rafiki,Fanya unachopenda n...
21/07/2026

; Usivurugwe Na Mapenzi Kwenye Safari Ya Mafanikio.

Angalia hapa; https://youtu.be/shIdEfMkIj8

Rafiki,
Fanya unachopenda ni kauli maarufu sana kwenye mafanikio.

Lakini siyo kauli sahihi mara zote.
Kwa sababu siyo yote unayopenda kufanya yanaweza kukupa mafanikio.

Wapo wengi wamepoteza muda kwa kuhangaika na mambo wanayoyapenda,
Na bado hawajapata mafanikio.

Kwenye kipindi cha nimekuonyesha jinsi ya kuepuka kuvurugwa na mapenzi kwenye safari yako ya mafanikio.

Jifunze hapa; https://youtu.be/shIdEfMkIj8

Usikwamishwe kufanikiwa kwa yale unayopenda.

; Usivurugwe Na Mapenzi Kwenye Safari Ya Mafanikio.Rafiki,...

19/07/2026

Wewe; Nikipata pesa nitakuwa siriazi, nitaweka akiba na kuwekeza.

Tabia zako; Tutaona.

Kinachokukwamisha kifedha siyo pesa zenyewe.

Bali tabia ulizo nazo inapokuja kwenye fedha ndiyo kikwazo.

Hata upate fedha kiasi gani, k**a tabia siyo sahihi, utaishia kuzipoteza.

Ndiyo maana kitabu cha *TABIA ZA KITAJIRI* kinakupa mwongozo wa kujenga tabia sahihi kwako kifedha.

Hakikisha unazijua na kujijengea tabia hizo ili kuwa bora kifedha.

Jipatie nakala tete (softcopy) hapa; https://vitabu.somavitabu.co.tz/ #/view/shop-item/36/mdbubd7o

Hardcopy piga 0752977170

Usikubali tabia zako ziendelee kukukwamisha kifedha.

Address

Mbezi
Dar Es Salaam
16113

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuo Cha Mauzo Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chuo Cha Mauzo Tanzania:

Shortcuts

Share