15/08/2026
Msimu huu wa Nane Nane, fanya uwekezaji utakaokupa amani ya moyo na umeme wa uhakika! ☀️🔋
Pata mifumo yetu ya kisasa ya Solar (Hybrid Inverter 12kW + Lithium Battery 7.7-23kW) na ufurahie faida za ziada:
✅ Free system design
✅ Free 2 years maintenance
✅ After-sales support ya uhakika
✅ Warranty ya Uhakika
Okoa gharama za umeme na uweze kuendesha nyumba au biashara yako bila hofu ya kukatika kwa umeme.
📞 Piga simu: +255 766 694 413
🌐 Tembelea: www.ensol.co.tz