Ufugaji WA Samaki sato/kambale

Ufugaji WA Samaki sato/kambale Ni sehemu utayojifunza ufugaji wa samaki kwa ufasaha na uhakika.

18/08/2026

Karibu ujipatie vifaranga vya kambale size nzuri kwa bei nafuu.
0715404400
0799212262

02/08/2026

OFFER YA VIFARANGA VYA KAMBALE KWA BEI YA SH 350 WAHI KUWEKA ORDER VIPO VIFARANGA 5000 TU.
0715404400
0799212262

30/07/2026

NANE NANE OFFER
KWA SH MILLION 2 NA LAKI 8 TU TUNAKUJENGEA BWAWA LA SAMAKI LENYE UWEZO WA KUCHUKUA SAMAKI 1500 PAMOJA NA VIFARANAGA VYAKE 1500 IKIWEMO NA CHAKULA CHA MIEZI 2. NI OFFER YA WEEK MBILI TU
WEKA ORDER YAKO MAPEMA KUEPUKA USUMBUFU.
0715404400
0799212262

15/07/2026

TAHADHARI

Kabla ya kuwekeza katika ufugaji wa samaki, wekeza katika maarifa. Kuelewa ubora wa maji, ulaji, wingi wa samaki, na afya ya samaki kunaweza kukuokoa kutokana na makosa ya gharama kubwa. Kadiri unavyojifunza zaidi, ndivyo nafasi zako za kujenga shamba la samaki lenye faida na endelevu zinavyoongezeka.
0715404400
0799212262

27/06/2026

Ufugaji wa samaki unalipa sana k**a utapata mtaalam sahihi wa kufatilia maendeleo ya samaki wako.
Karibu tukuhudumie
0715404400
0799212262
USHAURI BURE

27/06/2026

Address

Pugu
Dar Es Salaam

Telephone

+255715404400

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ufugaji WA Samaki sato/kambale posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ufugaji WA Samaki sato/kambale:

Shortcuts

Share