Loru Na Fursa

Loru Na Fursa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Loru Na Fursa, Brand, Dar es Salaam.

Nasaidia Wanawake Wenye Changamoto ya Mfumo Wa Uzazi Ikiwemo PID,UTI,FUNGUS,HORMONE IMBALANCE, KUTOKUBEBA MIMBA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO ZAO NA KUBAKI NA AMANI NA FURAHA NA AFYA ZAO

Matokeo na kwa yule aliyeamua tuK**a umechoshwa Wakati Ni Sasa kutatua Changamoto yakoHakuna aliyepona K**a hakuamua kuc...
17/10/2024

Matokeo na kwa yule aliyeamua tu

K**a umechoshwa Wakati Ni Sasa kutatua Changamoto yako
Hakuna aliyepona K**a hakuamua kuchukua dose na usimamizi wetu

Wahi tutatue hiyo Changamoto

03/10/2024

*Ujumbe Muhimu Kwa Wanawake Wote*

Wanawake wengi wamekuwa Wakisumbuliwa na Changamoto za Mfumo wa Uzazi ikiwemo PID,UTI,FUNGUS,HORMONE IMBALANCE, UCHAFU,HARUFU,MIWASHO

K**a Wewe ni Mmoja Wao Ningependa Kuongea na Wewe

Kwa Jina Naitwa LORU ROBERT

Ninawasaidia Wanawake Kutatua Changamoto Ya Mfumo Wa Uzazi Ikiwemo PID,UTI,FUNGUS, HORMONE IMBALANCE, UCHAFU MIWASHO,HARUFU

Wiki hii Nataka Kuandaa Darasa la bure Kwa Ajili yako la Namna ya Kutatua Tatizo lako Ukiwa Nyumbani

K**a Utapenda Kuhudhuria Darasa Hilo
Naomba Ubonyeze Kitufe Cha WHATSAPP Hapo Chini

Kisha Nitawasiliana Na Wewe ili Kuelewa Vizuri Kuhusu Changamoto Uliyokuwa Nayo Nipate Kukuandalia Wewe Pamoja Na Wanawake Wenzako Darasa bure Kabisa Kupitia Group La WHATSAPP.

Bonyeza Kitufe Cha WhatsApp Hapo Chini, Kabla Ya Darasa Letu Kujaa

Ni Mimi Mwenye Kujali Afya yako,

Loru Robert

Mkurugenzi, *Nabii's Women Clinic*

Habari za Mchana Namshukuru Mungu Kila Siku Napata matokeo mazuri kabisa ya watu wanguHuyu Dada alinitafuta miezi mitano...
02/10/2024

Habari za Mchana

Namshukuru Mungu Kila Siku Napata matokeo mazuri kabisa ya watu wangu

Huyu Dada alinitafuta miezi mitano iliyopita na aliniambia anasumbuliwa na PID na anatamani Sana Mtoto nikamwambia inawezekana Sana

Nilimuelekeza na Akachukua matibabu kutoka kwetu kwa Sasa Ni mjamzito wa miezi miwili😊

Nimefurahi Sana Kwa kuwa watu wanapona nafurahia Sana na natamani kila aloyepo humu apone na apate afya kabisa

Na kupona inawezekana kwa asilimia Mia ila kikubwa uamue Kupata Matibabu

Watu wanapona watu wanaanza Kupata amani na Furaha walizopoteza kwa Miaka mingi Sana 🔥☺️

Mimi ndo nazidi kufanya Kazi kwa bidii Kuhakikisha mnaendelea kupona

Hongera madam Mungu akulindie mwanao☺️

Habari za Asubuhi Watu wanaendelea Kupata matokeo Tena makubwa Dada huyu kasumbuka na Uchafu Ukeni kwa Muda Lakini saivi...
01/10/2024

Habari za Asubuhi

Watu wanaendelea Kupata matokeo Tena makubwa

Dada huyu kasumbuka na Uchafu Ukeni kwa Muda Lakini saivi Amepata matokeo mazuri kabisa

Hii inawezekana kabisa Tena Sana kikubwa Ni kuchukua matibabu kutoka kwetu Kwan lazima na wewe uje ushuhudie☺️

Hongera madam Yajayo Ni mazuri zaidi🔥

Mpaka tulikomeshe hili pepo la uchafu☺️

Sijajua wewe umepanga Kutoa shuhuda yako Mimi natamani na wew iwe mwezi Huu Huu

Milango IPO wazi📌

Mambo mazuri Kula na wenzako Dada kashare namna Ambavyo amepata matokeo kupitia Usimamizi wetu siwezi kuelezea Sana laki...
28/09/2024

Mambo mazuri Kula na wenzako

Dada kashare namna Ambavyo amepata matokeo kupitia Usimamizi wetu siwezi kuelezea Sana lakini

Mungu akulindie Mtoto wako

Nahitaji watu watano wa kupona K**a Unahitaji hii nafasi Wahi sasa

Mambo Mazuri Yanataka Imani Yanataka Usimamiwe na UtibiweHuyu Dada ameseka Sana kiukweli lakini kuwa mama kijacho Ni Nee...
28/09/2024

Mambo Mazuri Yanataka Imani Yanataka Usimamiwe na Utibiwe

Huyu Dada ameseka Sana kiukweli lakini kuwa mama kijacho Ni Neema Ya Mungu

Hongera Sana kwa kupata furaha yako

Sifa Ni Kwa Mungu

Ninafasi pia kwa Ajili yako Wahi whatsap Sema nataka Kupona

IJUE MBINU YA WEWE KUPONAWakati unafatilia Mbinu za wewe kafanikiwa kiuchumi, ama kufanikisha mipango yako yote Pia Tumi...
27/09/2024

IJUE MBINU YA WEWE KUPONA

Wakati unafatilia Mbinu za wewe kafanikiwa kiuchumi, ama kufanikisha mipango yako yote

Pia Tumia Muda Huo Huo Kuwekeza Katika Kufahamu Namna ya Kupona

Watu Wengi Hutumia Muda Mwingi Kutafuta Dawa Ama Tiba Ya Bei Nafuu na Hawekezi Muda mwingi kuangalia Ubora wa Matibabu yake

Wekeza Sana Kwenye kufahamu Ubora wa Matibabu yako ili Uweze Kupona Kabisa Changamoto yako na si Kuwekeza kupona na Kujirudia Tena

Katika swala la Uwekezaji kwenye Jambo Lolote Huitaji ufahamu wa Fikra na Imani kubwa katika Kutambua thamani ya Kitu unachokihitaji

Wekeza wekeza wekeza katika Kufahamu zaidi Afya yako na Kuijali hasa kwa Kupata Usimamizi uliosahihi na Bora Zaidi Kutibia chanzo Cha Tatizo lako

*AFYA NI BIASHARA YAKO*Biashara Ni Kupata faidaBiashara ni kuwekeza Pesa(Uwekezaji)Sasa maanisha Nini nikisema Afya Ni B...
27/09/2024

*AFYA NI BIASHARA YAKO*

Biashara Ni Kupata faida
Biashara ni kuwekeza Pesa(Uwekezaji)

Sasa maanisha Nini nikisema Afya Ni Biashara yako

Leo Asubuhi Wakati nimeamka nikapata dakika 5 za Kutafakari Mambo na katika tafakuri yangu nilimuwaza *PROFESSOR JAY*
Katika interview ya Siku chache zilizopita Professor huyu alihojiwa kuhusu Matibabu yake Kwani alionekana kupost kupitia mitandao yake ya kijamii kuwa anamshukuru "MUNGU* kwa uponyaji wake

Wakati wa mahojiano alisema kwamba alitumia pesa nyingi Sana katika matibabu yake

Akasema alitumia sindano kumi kwa Siku tano ambapo sindano *moja nilighalimu Million 5* ukiachana na matibabu Mengine

Kiufupi Niliogopa Sana na niligundua Sehemu ambayo mtu anawekexa Sana Ni kwenye Afya na Ukitaka Kuona Umuhimu wa Pesa Ni kuhusu Afya

Kwani Hukulazimu uwekeze pesa inayotqkiwa Kupata Afya yako

Hapo ndipo niligundua watu Wengi hawawekezi kwenye Afya Kipindi ambapo Uwekezaji wa fedha Ni mdogo lakini wanasubiri pale ambapo itabidi uwekexaji uongezeke na wao ndipo huwekeza Pesa Zao tena kwa Mawazo makubwa

*OGOPA SANA UGONJWA WOWOTE KWENYE MWILI WAKO*

KUMBUKA
*Chochote kinachoanzia Chini Hufika Juu Vivyohivyo hata Ugonjwa unaouona mdogo Leo kesho utakuwa mkubwa*

Stuka amka kwenye usingizi wa Kutibia kesho

By Dr Loruhama

*MATOKEO YA KUPUUZIA UGONJWA*Wakati nafikiria kuhusu kesho nikakumbuka kuwa Kesho haina MwenyeweKuna Rafiki angu Mmoja a...
27/09/2024

*MATOKEO YA KUPUUZIA UGONJWA*

Wakati nafikiria kuhusu kesho nikakumbuka kuwa Kesho haina Mwenyewe

Kuna Rafiki angu Mmoja alikuwa anauguliwa na Baba yake na alikuwa na *changamoto ya FIGO* moja ilikuwa haiganyi kazi

Na Bahati Nzuri kwenye Familia ya Rafiki yangu Huyu palikuwa papo vizuri Kiuchumi hivyo swala la Kupandikizwa Figo Haikuwa Kitu Kikubwa Kwao

Lakini walikuwa wanapanga Leo Tuende kukasimamie ile kazi pale Kwani tikiiacha lazima itakufa unajua Kuna project fulani inahitaji kuwekeza pesa kubwa Sana Ili isimame ngoja *tulimalize hili ndipo twende Hospital*

Siku moja akiwa katika miladi yake aliugua usiku na kwa bahati mbaya palikuwa Ni mbali kidogo na mjini

Walichukua Usafiri kumuwahisha Hospital iliyokaribu na pale lakini ilishindikana *Mzee Yule Alifariki Dunia*

Ilikuwa huzuni Sana na watu tuliumia Sana Kwani uwezo wa yeye kupona ulikuwepi lakini alipuuzia Jambo alipuuzia Ugonjwa ile ya kusubiri kill Siku iliendelea kumtafuna polepole bila yeye kujua

Kuna Wakati ukiambiwa kuhusu Afya yako jitahidi kufanya kwani Anayekushauri utibie Afya yako anakupenda Sana inawezekana unavitu vingi Sana unatakiwa Kuvifanya Huu mwezi lakini kumbuka

Kesho haikusubiri wewe ogopa Sana kufa na Ugonjwa Ambao ulikuwa na uwezo wa Kuutibia

Ogopa kuwa mgumba Kupata kansa ya shingo ya kizazi Wakati palikuwa na Uwezekano wa wew kuwa mama, wa wewe Kupona

Nakutakia Siku njema

Chukua dakika 5 tafakari hili🤔

Woow wooow Mtu mmoja Leo kaja kunipa motokeo mazuri ya Kuwa yeye mama mtarajiwa Ni Jambo Ambalo amelitafuta kwa Miaka 7S...
26/09/2024

Woow wooow

Mtu mmoja Leo kaja kunipa motokeo mazuri ya Kuwa yeye mama mtarajiwa

Ni Jambo Ambalo amelitafuta kwa Miaka 7

Siwezi kuizungumzia furaha yake lakini anafuraha Sana

Na Mimi nimefurahia pamoja nae na nimetudishia utukufu Mungu

K**a Na wew UNATAMANI kupakata Mtoto wako

Usipitwa na baraka hizi

Je unafahamu namna ya kuhesabu Siku zako kutumia kalender Vipi kuhusu kujua kuhusu Mtoto wa k**e na wakiumeNjoo nikutund...
26/09/2024

Je unafahamu namna ya kuhesabu Siku zako kutumia kalender

Vipi kuhusu kujua kuhusu Mtoto wa k**e na wakiume

Njoo nikutundushe utafahamu na kuelewa kwa Ufasaha zaidi

Kwanini utesekeUwezo wa wewe kuwa Mama upoWahi tutibie Chanzo Cha tatizo
16/09/2024

Kwanini uteseke
Uwezo wa wewe kuwa Mama upo
Wahi tutibie Chanzo Cha tatizo

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255676679981

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Loru Na Fursa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Loru Na Fursa:

Share

Category