01/05/2026
Kutoka Dar es Salaam ✈️ → Transit Nairobi 🇰🇪 → Hatimaye Cape Town 🇿🇦
Kuhudhuria event yetu kubwa ya kampuni, Forever World Tour 🔥🌍
Kitu nilichojifunza kwenye hii safari ni …
Kila Unaposimama kwenye Maisha yako sio mwisho wa safari, bali ni sehemu ya mchakato.
Nairobi haikuwa destination yangu…
Ilikuwa ni pause tu, transition, na ukumbusho kwamba mafanikio hayaji kila wakati k**a “arrival” moja kwa moja.
Wakati mwingine maishani utakuwa na “stops”,
vipindi vya kujikuta uko katikati, unasubiri, au bado hujafika…
lakini sio kuchelewa, ni maandalizi ya ukuaji wako na kuwa bora zaidi 🌍
Kutoka kuwa mwanafunzi… hadi kujenga kitu kinachoniruhusu kukua, kusafiri na kujitengeneza na kuwa bora zaidi.
Nashukuru kwa kila hatua ya safari 🙏
Huu ni mwanzo tu…Safari Bado inaendelea💪
Nitumie message DM yenye neno “INFO” 📩 k**a uko tayari kujifunza zaidi kuhusu MFUMO WA KUANZA KUFANYA BIASHARA KWA MDA WA ZIADA BILA YA KUACHA SHUGHULI YAKO YA SASA.
Happy New Month 🥂
✈️