04/01/2017
Agricultural Markets Development Trust(AMDT) ni taasisi ya Kuendeleza Mifumo ya masoko katika Kilimo. Lengo kuu la AMDT ni kuwezesha upatikanaji wa fursa za ajira na kuongeza kipato kwa ajili za vijana, wanawake na wanaume wapatao 500,000. AMDT inachochea kilimo biashara na masoko ili kuendeleza faida ya wazalishaji maskini.
Katika kuhakikisha inawafikia wadau wake wa sekta ya kilimo,
AMDT inatengeneza mkakati wa mawasiliano na ingependa kupata maoni ya jinsi ya kuwasiliana kwa urahisi na wewe mdau wa kilimo. Tafadhali jaza dodoso rahisi linalochukua dakika 2 tu. Asante na heri ya mwaka mpya!
The link is : http://svy.mk/2gDbElG
Web survey powered by SurveyMonkey.com. Create your own online survey now with SurveyMonkey's expert certified FREE templates.