Nywele Zetu

Call Directions Website

Nywele Zetu We offer hair services, saloon and make up

19/10/2026

Huu ni wasiwasi wetu mkubwa kwa sisi wazazi (uwe una watoto wa k**e au wa kiume).

Dunia ya Sasa hivi inatisha mno.

Ukimficha mtoto ndani ukasema aangalie YouTube, mafundisho ni ushoga na mambo ya kikubwa

Ukimpeleka shule boarding au kanisani au madrassa unasikia visa vya watoto wa kiume kuingiliwa kimwili (ushoga).

Ukimlea kwa kumwachia mtaani anakutana na watoto wanamatusi . Bangi, umalayaa

Akikuakua aingie mwenyewe mtandaoni . Ni mafundisho ya hasira against familia na makundi ya watu wenye trauma za kupigwa matukio (mafeminists). Wanahasira na kuchukia utulivu umoja upendo na mshikamano,

Wanafundisha watu wawe na hasira na ubinafsi. Wasiwe na upendo wajiangalie wenyewe tu, wanawarithisha hasira.

Na zaidi ya hapo wahuni mtaani hawaoi, mimba na kukukimbia,

Wanaume Wema wanaoweza kuoa wanakutana na mambo ya kutisha wanaogopa . Au wanakutana na mabinti washatembea hovyo wanajua size tofauti na hawawezi kutulia.

Na wakioa Mabinti zetu wasio na busara ndio kiburi na ugomvi kutaka nani aongoze maamuzi ya Nyumba na matokeo yake mauaji, wanakufa Mabinti zetu na wanakufa vijana wetu.

Na hii circle inajirudia. Kwa watoto wa watoto wetu

Dunia inatisha sanaπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί sijui miaka 20 ijayo Hali itakuaje. Maana hata Mabinti hawaambiliki vijana hawaambiliki...πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί

19/10/2026

Mafuta ya kuongeza Kasi ya ukuaji wa nywele ya Dopa ni elfu 20.

Shampoo ya kuzuia nywele kukatika ya Dopa ni elfu 15

Moisturizing conditioning steaming ya kuongeza unyevu na kurutibisha nywele ya Dopa ni elfu 15:

Wasiliana nasi:
Tupo kila mkoa Tanzania mzima..

Pages zetu / Kurasa zetu

wakala wa nywele zetu musoma.
Adrianna

Healthy hair

Nyele....zetu...Zanzibar
Nywele zetu Bukoba
Dee naturals
Dopa


shaneybeuty&cosmetics


Nasra Joseph
nywele_zetu_iringa




MAWASILIANO
Dar 0659536868
India :+919908134070
Arusha 0679014697
Mwanza 0757904218
Iringa 0755489067
Moshi 0742148259
Zanzibar 0655596686
Pemba: 0678289894
Mbagala 0785129076
Pemba 0776838344
Tanga 0659536868
mbeya 0765356733
Morogoro 0755722725
Dodoma 0620265937
Singida 0659536868
Songea 0765463502
Tunduru 0789432866
Sumbawanga/Rukwa 0765624077
Shinyanga 0757904218
Kigoma 0656087733
Njombe 0755 489 067
Tabora 0717 710 483
Musoma 0769031952
Simiyu 0753877984
Mtwara Masasi 0659536868
Bagamoyo 0629234990
Mtwara 0659536868
Kigoma 0656087733
Kahama 0767894530
Geita 0683163166
Manyara 0717014697
Dodoma : 0769329507
Sengerema-Geita 0756533820

Whatsapp +255659536868
Office location: makumbusho opp bus stand..

19/10/2026

Ahsante πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ˜πŸ˜πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ na kwako pia mteja wetu kipenzi

18/10/2026
18/10/2026

Haya tuje masaki International School of Tanganyika ( Dar is hereπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š)

17/10/2026

Unaweza kuanza kumfundisha mtoto mapema namna ya kuzitunza na kuzijali nywele zake

17/10/2026

K**a kichwa Chako kinawasha sana au una mba sugu na nywele zako zinakatika utafute huu mmea upande nyumbani kwako.

Pia uwe na set Yako ya Dopa x au dopa

17/10/2026

Wewe UNAOSHA UKIOGA AU una ratiba maalum ya kuosha nywele zako???????

16/10/2026

Asilimia kubwa ya watu wanapenda nywele nzuri tatizo gharama za kuzihudumia zinawakwamishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

KUWA mbunifu, Hadi ukijipata njoo tukupe set ya Dopa x utumie nywele zako zirefuke vizuri bila kukatika.

Whatsapp us 0659536868

16/10/2026

Tunza Nywele za watoto wako wa k**e pia tunza vipaji vyao katika dunia ya sasa inayoenda kwa Kasi kubwa sana.

Kila hatua ndogo ni hatua kubwa mbeleni na nifasi ya kusogea.

Tuwafundishe watoto upendo, umoja, mshikamano, amani na hofu ya Mungu.

Maadili mema , ukarimu, upendo na Nywele ndefu na nzuri kwa watoto wote πŸ˜πŸ˜πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š

Address

Makumbusho/kijitonyama
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 19:30
Tuesday 08:30 - 19:30
Wednesday 08:30 - 19:30
Thursday 08:30 - 19:30
Friday 08:30 - 19:30
Saturday 09:00 - 19:30
Sunday 09:00 - 19:30

Telephone

+255659536868

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nywele Zetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category