28/02/2022
Mashabiki wa simba tuacheni kutetea huu upumbavu wa huyu kocha huyu kocha ni dull hana skills ya aina yoyote
Tufanye analysis ya mechi iliyopita ambayo ni tumecheza na USGN tuliingia na mfumo wa 4-2-3-1
Yan nyuma walikua, zimbwe, Baka , onyango na kapombe, viungo, nyoni na kanoute na winger wamecheza banda na mhilu kiungo mshambuliaji pape osman sakho na namba tisa Kagere.
Niambie jana katika kikosi tulichocheza na Rs Barkane nani hakuepo? Tunatetea upumbavu wa kocha kwa kusingizia majeruhi kweli?
Mechi ya USGN ilikua ngumu kuliko ya Rs barkane.
Fine kocha ameanza na 5-4-1 kwa kumuheshimu mwenyeji tayari ushapigwa bao 2 half time tena goli za mipira iliyokufa sio magoli ya possesses na baada ya half time tunatarajia kocha mweny akili arudi na mbinu mbadala kwa sababu ile alioanza nayo imefeli amerudi na mbinu ile ile ya kukaba timu haichezi huyu kocha hafai kuwepo simba tuna mwendelezo mbovu na tusimtetee hii timu haijulii.
Jana tumefelishwa na kocha ile sio simba tunayoijua sisi tangu lini tunaogopa kufungwa angeacha wachezaji wakacheze wakafunguke una watu k**a Pape na banda na bado unataka ku defense sasa umewaingiza wa nini? Mbona Al ahaly tulifunguka wakatupiga 5 na tukaongoza group sasa huyu kocha gani anaogopa kufungwa Ana defense
Baadaye anabadili mfumo mbele nyuma anapasahau 😭 anaua winger anacheza na forward tu akijua hana kiungo wa kuchezesha uku umejaza mabeki karibia 6 uwanjani dah kocha mpumbavu dro haitafutwi hivyo
HUYU KOCHA TUMEPIGWA HANA MBINU.