BANO MEDIA

BANO MEDIA Ukurasa maalumu kwa ajili ya biashara

04/10/2020

Hizi ni njia ztakazo kuwezesha kufanya hesabu kwa uharaka na usahihi zaidi bila kutumia Calculator.

"Mchezo wa mpira wa miguu haukubadilika baada ya vita  kuu ya dunia na hautabadilika baada ya Vita dhidi ya virusi vya C...
22/05/2020

"Mchezo wa mpira wa miguu haukubadilika baada ya vita kuu ya dunia na hautabadilika baada ya Vita dhidi ya virusi vya CORONA"- Rais wa UEFA Aleksander Ceferin



Chanzo:WorldSport14

Mikoa ya Mwanza na Dar es Salaam,   imechaguliwa kuwa kituo cha michezo kwa ajili ya kumalizia michezo ya ligi kuu bara(...
22/05/2020

Mikoa ya Mwanza na Dar es Salaam, imechaguliwa kuwa kituo cha michezo kwa ajili ya kumalizia michezo ya ligi kuu bara(VPL), iliyobakia ya msimu wa 2019/20, kwa kuchaguliwa viwanja kadhaa ktk mikoa hiyo kutumika katika mechi mbalimbali,viwanja hivyo ni:-

1.Uwanja wa Taifa(Dar)
2.Uwanja wa Uhuru(Dar)
3.Uwanja wa Azam Complex(Dar)
4.Uwanja wa CCM kirumba(Mwanza)
5.Uwanja wa Nyamagana.(Mwanza)



Chanzo:World Sport 14.

MITIHANI KIDATO CHA SITA KUFANYIKA JUNI. Waziri wa elimu, Prof Joyce Ndalichako, amesema mitihani kidato cha sita itaanz...
22/05/2020

MITIHANI KIDATO CHA SITA KUFANYIKA JUNI.

Waziri wa elimu, Prof Joyce Ndalichako, amesema mitihani kidato cha sita itaanza kufanyika mapema juni 29 na kumalizika Julai 16,2020.

Mitihani hiyo kidato cha sita itaenda sambamba na ile ya ualimu katika vyuo mbalimbali nchini, hivyo Prof Ndalichako amelitaka baraza la mitihani nchini kusambaza ratiba zinazoonyesha tarehe za ufanyikaji wa mitihani hiyo.



Chanzo:EastAfricaMedia

 Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza Leo, kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika kaunti za marsabit na ...
22/05/2020



Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza Leo, kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika kaunti za marsabit na turkana.

Wizara hiyo imetangaza visa 550 ya jumla ya watu walioambukizwa na kusababisha vifo vya jumla ya watu 13.

Licha ya visa vyote hivyo, pia wizara hiyo imetangaza udhibiti wa zaidi ya watu 60, walioambukizwa ugonjwa huo katika kaunti za wajir, Garissa na Muranga.



Chanzo:EastAfricaMedia

 Rais wa serikali ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni,  amesema kuwa katika nchi yake raia wote kuanzia miaka 6, watapewa b...
19/05/2020



Rais wa serikali ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni, amesema kuwa katika nchi yake raia wote kuanzia miaka 6, watapewa barakoa ili kujikinga na ugonjwa hatari wa COVID-19 na itakuwa ni lazima kwa kila kuvaa barakoa awepo ktk maeneo ya umma.

Pia, Museveni ameongeza kuwa ifikapo juni 2, serikali yake itaruhusu usafiri wa Umma, ili kuweka ahueni ya maisha katika nchi hiyo.



Chanzo:BreakingNewsKiswahili.

 .Mbunge wa kilombero kwa tiketi ya chadema, Peter Lijuakali aliangua kilio jana bungeni jijini Dodoma,  baada ya kuelez...
19/05/2020

.

Mbunge wa kilombero kwa tiketi ya chadema, Peter Lijuakali aliangua kilio jana bungeni jijini Dodoma,
baada ya kueleza mazito wanayoyapitia katika chama Cha Chadema.

Mbunge huyo wa chadema alikiomba chama cha Mapinduzi(CCM), kimpokee, kwani ameeleza miongoni mwa mazito wanayoyapitia ni kuchukuliwa kwa fedha zao, wamekuwa wakichukuliwa fedha zao, katika chama chao cha Chadema.



Chanzo:EastAfricaMedia

 Rais wa Tanzania  Mh.Dr.John Pombe Magufuli, amefiwa na dada yake Gaudencia Felician Marko Msangwa, huko Chato-Geita.Da...
18/05/2020



Rais wa Tanzania Mh.Dr.John Pombe Magufuli, amefiwa na dada yake Gaudencia Felician Marko Msangwa, huko Chato-Geita.

Dada huyo wa Rais Magufuli alifariki jana tarehe 17,May,2020 na amezikwa leo buziramoyo wilayani Chato , mkoani Geita.





Chanzo:BreakingNewsKiswahili.

  Watu wa mataifa mbalimbali wampigia saluti,  Rais Mh. Dr.  John Pombe Joseph Magufuli.
18/05/2020



Watu wa mataifa mbalimbali wampigia saluti, Rais Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

 Mchezaji wa Bayern Munchen,  Robert Lewandowski, ametaja namba tisa zake bora duniani akijitoa yeye mwenyewe. Straika h...
18/05/2020



Mchezaji wa Bayern Munchen, Robert Lewandowski, ametaja namba tisa zake bora duniani akijitoa yeye mwenyewe.

Straika huyo wa miamba ya Munich amewataja wachezaji namba tisa bora duniani aliowaona yeye k**a:-

1-Karim Benzema

2-Timo Werner

3-Kylan Mbappe

4-Luis Suarez



Chanzo:Bild

Address

Lumumba
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BANO MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share