05/08/2018
Je wewe ni housekeeper mzoefu?
Au mtaalamu wa baby sitting?
Ungependa kufanya kazi k**a housemaid/housekeeper?
Unapenda house care na umebobea katika usafi wa majumbani au maofisini?
You have a passion for any domestic work?
Unahitaji ajira na imekua ngumu sana kupata?
Unaishi sehemu yeyote Tanzania?
Tafadhali jisajili kupitia website inayoonyeswa juu au fuata link kwenye BIO kujisajili.
Utapata nafasi ya kuonekana na waajiri wengi zaidi.