PEAK Performance International Tanzania

PEAK Performance International Tanzania Leading organizations subscribe to our human capital development solutions to increase their employee productivity levels by more than 60%.

Action nowπŸ’ͺπŸ™πŸΌWe arePeak Performance, consultancy
04/09/2026

Action nowπŸ’ͺπŸ™πŸΌ
We are
Peak Performance, consultancy

03/09/2026

Mambo 5 ya Kuzingatia Ili Kustaafu kwa Heshima

Kustaafu si mwisho wa safariβ€”ni mwanzo wa hatua mpya ya maisha. πŸ‘πŸ½

Kabla hujafikia hatua hiyo, ni muhimu kujiandaa mapema ili baada ya ajira uweze kuendelea kuishi kwa utulivu, heshima na mafanikio.

Katika video hii, tunaangazia mambo 5 muhimu ya kuzingatia unapokaribia kustaafu.

πŸ’‘ Usisubiri kustaafu ndipo uanze kujiandaa.
Maandalizi ya leo ndiyo yanayojenga maisha bora ya kesho.

πŸ“Œ Peak Performance β€” Tunakusaidia kujiandaa kwa utendaji bora kazini na maisha bora baada ya kazi.

PersonalDevelopment PeakPerformanceTanzania

PEAK PERFORMANCE | KUJENGA WATU, KUIMARISHA TAASISITimu ya wataalamu na Professional Coaches kutoka Peak Performance ili...
01/09/2026

PEAK PERFORMANCE | KUJENGA WATU, KUIMARISHA TAASISI

Timu ya wataalamu na Professional Coaches kutoka Peak Performance ilifanikiwa kushiriki katika Gala ya Askari na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, iliyofanyika mkoani Lindi.

Ushiriki huu unaakisi dhamira ya Peak Performance ya kuwa sehemu ya mijadala na matukio yanayolenga kuimarisha uwezo wa watu, uongozi, utendaji kazi na ustawi wa taasisi.

Kupitia huduma zetu za Professional Coaching, Leadership Development, Team Building, Employee Performance Management, Human Resource Solutions na Organizational Development, tunasaidia watu na taasisi kujenga uwezo, kuongeza ufanisi na kufikia viwango vya juu vya utendaji.

🀝 Peak Performance β€” Empowering People. Elevating Performance. Building Better Organizations.

Tunawashukuru waandaaji kwa kutupatia fursa ya kushiriki katika tukio hili muhimu na kuendelea kujenga mahusiano yenye tija na wadau mbalimbali.

EmployeePerformance OrganizationalDevelopment Lindi Gala Uongozi Performance

Pre-Retirement Program | Peak PerformanceBaadhi ya washiriki kutoka Tume ya Ardhi Zanzibar wakishiriki katika Programu y...
26/08/2026

Pre-Retirement Program | Peak Performance

Baadhi ya washiriki kutoka Tume ya Ardhi Zanzibar wakishiriki katika Programu ya Pre-Retirement, iliyofanyika jana katika ofisi za Peak Performance, Mikocheni, Dar es Salaam.

Programu hii inalenga kuwaandaa washiriki kwa maisha yenye tija na mipango madhubuti ya kifedha, kiafya, kijamii na kimaisha baada ya kustaafu.

Peak Performance β€” Kujiandaa Leo kwa Maisha Bora Kesho.

24/08/2026

Career Coaching Program inakusaidia:
✨ Kufanya maamuzi sahihi kuhusu taaluma yako
πŸŽ“ Kuchagua kozi na chuo kinachokufaa
πŸ“ˆ Kuweka na kupanga malengo yako ya career
🌍 Kutambua na kupata fursa za scholarship

Program hii ni kwa wanafunzi, graduates, young professionals, pamoja na wazazi/walezi wanaojali mustakabali wa vijana wao.

πŸ“… 10 Agosti – 31 Oktoba 2026
πŸ’° TSh 30,000 kwa session
πŸ“ž Wasiliana nasi: +255 782 222 130

Usiache future yako iamuliwe na kubahatisha. Panga career yako kwa uelekeo sahihi. Anza leo! πŸš€

CareerPlanning

PeakPerformance Career Coaching Program inakupa mwongozo wa kitaalamu unaohitaji ili kufanya maamuzi sahihi kuhusu maish...
14/08/2026

PeakPerformance Career Coaching Program inakupa mwongozo wa kitaalamu unaohitaji ili kufanya maamuzi sahihi kuhusu maisha yako ya taaluma.

Kupitia programu hii, utasaidiwa:

* Kuchagua taaluma inayolingana na uwezo na malengo yako
* Kuchagua kozi na chuo kinachokufaa
* Kuweka na kupanga malengo yako ya kielimu na kitaaluma
* Kutambua na kuomba fursa za ufadhili wa masomo (scholarships)

Programu hii inawafaa wanafunzi, wahitimu, vijana walioanza kujenga taaluma, pamoja na wazazi na walezi wanaojali mustakabali wa vijana wao.

πŸ“… 10 Agosti – 31 Oktoba 2026
πŸ’° TSh 30,000 kwa kila session
πŸ“ž Wasiliana nasi: +255 782 222 130

Usichague taaluma kwa kubahatisha. Pata mwongozo sahihi na uanze kupanga maisha yako ya baadaye leo!

04/08/2026

Mafanikio ya kweli huanza pale unapojibadilisha wewe mwenyewe.

Watu wengi hutafuta mbinu za kubadilisha matokeo yao, lakini husahau kuwa matokeo hubadilika pale mtu anapobadilisha fikra, tabia, na mtazamo wake.

Katika video hii, nimezungumzia faida za Personal Transformation na jinsi mabadiliko ya ndani yanavyoweza kuboresha uongozi, kujiamini, maamuzi, mahusiano, na utendaji wako binafsi pamoja na kitaaluma.

✨ Kumbuka: To become more, you must first become different.

πŸŽ₯ Tazama video, jifunze, kisha tuambie kwenye maoni: Ni eneo gani la maisha yako ungependa kulifanyia Personal Transformation?

πŸ“© Peak Performance tupo tayari kukuongoza katika safari yako ya ukuaji binafsi na kitaaluma.

SelfDevelopment Success ContinuousLearning TransformYourLife GrowthMindset

21/07/2026

We are
Peak Performance, consultancy

02/07/2026

Winfrida Michael Massawe mfanyakazi kutoka
Autoprotanzania Akizungumza baada ya kumalizika kwa
Training iliyolenga
kuona namna ambavyo nidhamu, ushirikiano wa timu, mawasiliano mazuri, na kujifunza kila siku vinaweza kuboresha utendaji na kuongeza thamani kwa Wateja

Kila siku ni nafasi ya kuwa bora kuliko jana. πŸš€

CustomerService Teamwork WorkplaceExcellence GrowthMindset ReelsTanzania

02/07/2026

Mkurugenzi kutoka Autoprotanzania
Akizungumza baada ya kumalizika kwa semina iliyolenga kuwaelekeza wafanyakazi wa Autoprotanzania namna ambavyo nidhamu, ushirikiano wa timu, mawasiliano mazuri, na kujifunza kila siku vinaweza kuboresha utendaji na kuongeza thamani kwa wateja.

Kila siku ni nafasi ya kuwa bora kuliko jana. πŸš€

CustomerService Teamwork WorkplaceExcellence GrowthMindset ReelsTanzania

Address

Mikocheni Kwa Warioba
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

0782222130

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PEAK Performance International Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share