fursa yako kibiashara

fursa yako kibiashara mafunzo ya biashara

All issues concerned with weight management,Can can be well managed and the management begins with personal desire , if ...
02/05/2024

All issues concerned with weight management,
Can can be well managed and the management begins with personal desire , if personal deaire fails them medical seek is needed

Don't wate you health on this
Whatsap or call us on

+255746291594
For more assistance

Kula protein kwa wingi inaweza kusababisha matatizo kwa baadhi ya watu. Hapa ni baadhi ya matatizo yanayoweza kutokea:Ma...
02/05/2024

Kula protein kwa wingi inaweza kusababisha matatizo kwa baadhi ya watu. Hapa ni baadhi ya matatizo yanayoweza kutokea:

Matatizo ya figo: Kula protein kwa wingi inaweza kuongeza mzigo wa kufanya kazi kwa figo, hii inaweza kusababisha matatizo k**a ugonjwa wa figo au kushindwa kufanya kazi vizuri.

Matatizo ya uzito: Protein ina kalori nyingi, hivyo kula protein kwa wingi bila kuongeza shughuli za mwili inaweza kusababisha uzito kuongezeka.

Matatizo ya saratani: Baadhi ya utafiti unaonyesha kuwa kula protein kwa wingi, hasa protein za wanyama, inaweza kuongeza hatari ya baadhi ya aina za saratani.

Matatizo ya kuhara: Kula protein kwa wingi inaweza kusababisha matatizo k**a kuhara, gasi, na maumivu ya tumbo.

Matatizo ya kichefuchefu: Baadhi ya watu wanaweza kuwa na matatizo k**a kichefuchefu, kutapika, na maumivu ya kichwa baada ya kula protein kwa wingi.

Kwa hivyo, ni muhimu kula protein katika kiasi cha wastani na kuwa na mchanganyiko wa vyakula ili kuepuka matatizo haya. Ikiwa una shida yoyote, tafadhali wasiliana na mtaalamu wa afya

Mtu mwenye tatizo la uzito kupita kiasi na kuwa na nyama zembe ana changamoto sana na huwa anaandamwa na magonjwa ambayo...
02/05/2024

Mtu mwenye tatizo la uzito kupita kiasi na kuwa na nyama zembe ana changamoto sana na huwa anaandamwa na magonjwa ambayo nihatari zaidi .

Kisukari, hii inatokana na ongezeko kubwa la sukari mwilini na kufeli kwa kongosho kufanya kazi vizuri

Coronary heart desease, milija ya damu inayosambaza damu kwenye moyo hushindwa kufanya kazi yake vizuri kutokana na kuziba

Osteoarthritis, maumivu makali kwenye viungo vya mwili hasa hukabiliwa na matatizo ya joints na kushindwa kutembea ama kukunja viungo vizuri

Badili mtindo wa mlo k**a njia ya kupunguza unene yaani nyama zembe,K**a huwezi kabisa kufanya mazoezi basi hakikisha un...
02/05/2024

Badili mtindo wa mlo k**a njia ya kupunguza unene yaani nyama zembe,
K**a huwezi kabisa kufanya mazoezi basi hakikisha unabadilisha mtindo wa kula , badilisha muda wa kula , ingawa sio rahisi lakini inawezekana vizuri sana

Wasiliana nasi kupitia
+255746291594
Kwa msaada zaidi

K**a mazoezi yangeweza kuwekwa pamoja yakafungwa kutengeneza kidonge , basi ingekuwa dawa moja haijawahi kutokea duniani...
02/05/2024

K**a mazoezi yangeweza kuwekwa pamoja yakafungwa kutengeneza kidonge , basi ingekuwa dawa moja haijawahi kutokea duniani

Fanya mazoezi kupingana na unene kupita kiasi , kupata kitambi na matatizo yote ya nyama zembe

Hakikisha unatembea walau kilometa mbili kwa siku , usikae mda wote bila kuushughurisha mwili ,

Usiache injini yako ikapoa kupita kiasi

Lishe bora: Punguza ulaji wa kalori na kuzingatia vyakula vyenye lishe k**a matunda, mboga, protini zenye afya, na nafak...
02/05/2024

Lishe bora: Punguza ulaji wa kalori na kuzingatia vyakula vyenye lishe k**a matunda, mboga, protini zenye afya, na nafaka nzima.

Mazoezi: Weka mpango wa mazoezi unaozingatia kuchanganya mazoezi ya kuchoma kalori na mazoezi ya kujenga misuli ili kuongeza kimetaboliki yako.

Kudhibiti sehemu ya chakula: Weka nidhamu kwa kudhibiti sehemu ya chakula unachokula ili kuhakikisha unapunguza ulaji .

Kunywa maji ya kutosha: Kunywa maji ya kutosha kila siku kunaweza kusaidia kudhibiti hamu ya kula na kuboresha kimetaboliki.

Kupunguza ulaji wa sukari na mafuta: Epuka vyakula vyenye sukari nyingi na mafuta mengi ambavyo vinaweza kusababisha ongezeko la uzito.Kupanga mlo:

Panga mlo wako mapema ili kuepuka kula vyakula visivyo na lishe na kudhibiti kalori zako.Kujali afya ya akili: Hakikisha unazingatia afya ya akili yako na kupunguza mlo wa hisia.

02/05/2024

We do busness then can make you find the world wounders

Kuna njia nyingi za kupunguza uzito, kuanzia mazoezi na lishe hadi mabadiliko ya mtindo wa maisha. Ni muhimu kuchagua nj...
01/05/2024

Kuna njia nyingi za kupunguza uzito, kuanzia mazoezi na lishe hadi mabadiliko ya mtindo wa maisha. Ni muhimu kuchagua njia ambayo ni endelevu na inafaa kwa maisha yako. Unaweza kuanza kwa kudumisha lishe yenye afya na kujumuisha mazoezi mara kwa mara. Pia, kuhakikisha unapata usingizi wa kutosha na kupunguza msongo wa mawazo kunaweza kusaidia katika safari yako ya kupunguza uzito

You can contact us on +255746291594

24/04/2024

🔥🔥🔥
Anza biashara yako leo

Chukua maamzi anza leo kazi , Mikoa yote , neolife inakufikia, haijalishi upo wapi utafanya kazi vizuri , Tumekuandalia ...
24/04/2024

Chukua maamzi anza leo kazi ,
Mikoa yote , neolife inakufikia, haijalishi upo wapi utafanya kazi vizuri ,
Tumekuandalia mfumo mzuri wa kazi , ili kufikia malengo yako

Baada ya kazi ni mapumziko, ñeolife inakupa nafasi ya kupata lunch nzuri kila baada ya mwezi mmoja  wa kazi, katika moja...
24/04/2024

Baada ya kazi ni mapumziko, ñeolife inakupa nafasi ya kupata lunch nzuri kila baada ya mwezi mmoja wa kazi, katika moja ya hotel kubwa Tanzania , kilimanjaro five star hotel, hii ni kwa watu wenye maamzi ya kufanya kazi tu, usikae kizembe

24/04/2024

neolife inakupa fursa ya kujitengenezea biashara yako mwenyewe, inakupatia mafunzo ya biashara, na unapata usimamizi wa kibiashara,

Usibaki kulaumu ulikotoka ukiona k**a huwezi , umasikini unasababishwa kwanza na fikra fupi na kutokuwa na moyo wa kufanya kazi,

wasiliana nasi kupotia +255746291594 kwa msaada zaidi na kuanza kazi yako mwenyewe

Address

Mwenge, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
1682

Telephone

+255746291594

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fursa yako kibiashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to fursa yako kibiashara:

Share