Jiko langu

Jiko langu Tunauza vyombo vya jikoni aina zote Jumla na rejareja karibuni sana
0614 165 058

Set nzima 6000Tupo kariakoo 0614165058
13/09/2025

Set nzima 6000

Tupo kariakoo
0614165058

Stand za plastic za kuwekea cake inch 6 30,000Inch 8 Tsh 35000Tupo kariakoo 0614165058
13/09/2025

Stand za plastic za kuwekea cake inch 6 30,000
Inch 8 Tsh 35000

Tupo kariakoo
0614165058

Taa za kuwaka unaweka kwenye mtu,kupambia piaTsh 5000 tuuTupo kariakoo 0614165058
13/09/2025

Taa za kuwaka unaweka kwenye mtu,kupambia pia
Tsh 5000 tuu

Tupo kariakoo
0614165058

Topper ya loveJumla 800 kuanzia 10 Rejareja 1000Mikoani natuma kwa uaminifu mkubwa sana 🥳🥳 Tupo kariakoo 0614165058
13/09/2025

Topper ya love
Jumla 800 kuanzia 10
Rejareja 1000
Mikoani natuma kwa uaminifu mkubwa sana 🥳🥳

Tupo kariakoo
0614165058

Karibuni katika ukurasa wetu tunavyo vyombo vya Jumla na rejareja mikoani tunatuma piaVifaa vya cakeVyombo aina zoteVifa...
11/09/2025

Karibuni katika ukurasa wetu tunavyo vyombo vya Jumla na rejareja mikoani tunatuma pia

Vifaa vya cake
Vyombo aina zote
Vifaa vya electronics
Nguo aina zote zipo kwetu karibuni sana

Delivery tunafanya ndani na nje ya Tanzania 🥳🥳🥳
0614165058
Usisahau kunifollow
Jiko langu

Ndoto imetimia katika ndoto zangu za mwaka ni kutoa zawadi kwa walimu wangu facebook 🥰🥰Moja ya walimu ni Moyowamama Ligh...
26/05/2024

Ndoto imetimia katika ndoto zangu za mwaka ni kutoa zawadi kwa walimu wangu facebook 🥰🥰

Moja ya walimu ni Moyowamama Lightness moja yà walimu wangu wa fb nilitamani kuacha tabasamu kwenye maisha yao.

Ni walimu ambao cjawah onana nao face to face ila najifunza kupitia wao hata nikiwataja bado ctamaliza mema yao na upendo wao kwa jamii.🙏🙏♥️♥️♥️

Nitakuwa mchoyo wa fadhila bila kumshkur Dada Mariam Mbano na Molito Brand waliofanikisha zawadi hii kukamilika.♥️♥️

Next section had mwaka unaisha nimetimiza Malengo yangu.🥰🥰

ZAWADI CHALLENGE inaendelea picha k**a hizi 15000 tuu badala ya 25000 🥳🥳

New new new new 🥳🥳🥳🥳🥳Offer Tsh 35000 tuu 🥳🥳🥳Inabeba kila kitu karibuni sana wateja wetu0746142923 Wakishua Store
17/04/2024

New new new new 🥳🥳🥳🥳🥳
Offer Tsh 35000 tuu 🥳🥳🥳
Inabeba kila kitu karibuni sana wateja wetu
0746142923 Wakishua Store

Upande wa logo Logo inabeba ufupisho na alama ya utambulisho wa bidhaa unazouza.Wengi wanadharau bila kujua kuwa mteja a...
08/04/2024

Upande wa logo

Logo inabeba ufupisho na alama ya utambulisho wa bidhaa unazouza.

Wengi wanadharau bila kujua kuwa mteja akiangalia logo anaelewa unauza nn unatengeneza nn mfano logo za CRDB,NMB, Vodacom wote Hawa ukiangalia logo lazma utamani kujua wanatoa huduma gani ya kibiashara.

Pia inaleta hamasa Kwa mteja anatamani kujua huyu mtu anauza nn tofauti na hiki kilichopo kwenye logo.

Wengi wetu tumetafutwa na wateja kupitia logo na matangazo tunayotoa kupitia picha.

Ushauri
Kila mfanyabiashara ni mbunifu usisubir kuona biashara inakufaa uanze kusema huna wateja wakat mangi na condacta wanakula nauli zako kila cku.

Itaendelea🥰🥰🥰

Ngoja Leo niwashauri wafanyabiashara woteUnapotaka biashara yako iwafikie watu wengi ZaidJitahid kuwa mbunifu Ili kuwana...
08/04/2024

Ngoja Leo niwashauri wafanyabiashara wote

Unapotaka biashara yako iwafikie watu wengi Zaid

Jitahid kuwa mbunifu Ili kuwanasa wateja wako.

Mfano umetengeza tangazo lako safi na logo kwenye dp(profile)

Hiii itasaidia kuitambulisha bidhaa yako hata Kwa mtu ambae hajui unauza nn na unafanya nn bila kuangalia status na kusubir upost kwenye group.🥳🥳

Sio wote wanaoview status na kusoma message kwenye magroup ilaaa 🥳🥳

Ukipost tangazo ni rahc kufunguka na mteja kulisoma hata k**a Hana mda wa kusoma

Inaendelea

Wakishua Store (Rispa Komba) nasema Asante sana Kwa zawadi hii ni furaha kwangu na team nzima ya Wakishua Store kupata z...
06/04/2024

Wakishua Store (Rispa Komba) nasema Asante sana Kwa zawadi hii ni furaha kwangu na team nzima ya Wakishua Store kupata zawadi ya picha Mungu awabariki 🙏🙏 team nzima ya zawadi challenge ikiongizwa na MoMolito BrandrMolito Brand

Address

Dar Es Salaam
20950

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jiko langu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share